asas

asas

sintah

sintah

HALIMA MDEE AKOMAA NA JIMBO LAKEKama ameshinda kihalali mpeni jimbo, mbona mnachelewesha kutoa matokeo ya  majimbo ya Dar, wasimamizi wa vituo vipi?

4 comments:

 1. Hilo wala hupaswi kuuliza unajua kwanini yanacheleweshwa! Ufisadi upo wa aina nyingi hata kuwanyima wananchi haki ya kuongozwa na waliyemchagua ni ufisadi mkubwa! Ufisadi umejaa wa kila aina katika nchi hii ee Mungu tukomboe

  ReplyDelete
 2. Hapo wameshindwa kwajina la yesu.mdee hoyee

  ReplyDelete
  Replies
  1. hana lolote hata kazi hawezi na jimbo hajalitendea haki angekwendaaaaa tuuuuuuu

   Delete
  2. Woyoooooooooooooooooooooooooooooooooooo
   Woyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
   Wapi wazee wa always and everything kuchakachua? Wameshindwa kuchakachua vifo vyao tu. Wakienda India holaaaaaaaaaaaaaaaaa

   Delete