asas

asas

sintah

sintah

HONGERA SANA KAYUMBA....

mshindi halali wa BSS
Kayumba na Nasib walienda final
Kayumba ameshinda kihalali kabisa, Kayumba alijua wa Tanzania wanataka nini alisoma crowd inataka nini na yeye akaenda nayo, watu mmeumbwa kusema na hamjawahi kunyamaza kila anayeshinda mnasema maneno mbofumbofu, mie binafsi niliona huyu kijana atashinda from the beginning, but huyu Nasib alijua kabisa Kayumbaa atashinda na ndio maana baada ya kutangazwa alieenda kumkumbatia na kushangilia yaani that was so sweet Nasib, asiyekubali kushindwa si mshindani, mauno maunoooo ya kayumba ni hatareeee masugar mummies mumkome mtoto wa watu ndio kwanza mdogo msije mkamuharibia future yake ana malengo yakee maana sikuhizi wamama kwa watoto wadogo ndio habari ya mujiiiii.....

sifa ya mwanaume ni kugonga na sio kuhongwa ma sugar moms mumuache mtoto wa watu mtamuona handsome sasa hivi hamnaga maana nyiee

25 comments:

 1. pale mama kubemenda watoto wa watu anaopotoa ushauri!!!

  ReplyDelete
 2. HONGERA SANA KAYUMBA
  SINTAH WATU HAWAELEWI BBS NININI???TUMPONGEZE MADAMU RITA KWA KUTULETEA WANGEANGALIA ZA AMERICA NDO WANGEJUA UTAKUTA WASHINDI WOTE HUONI KASORO LAKINI MSHIND NI MMOJA TU

  HABARI MJINI ROSE NDAUKA TUKAELEKEZWA MKAO WA KUSUTW A TU
  YAKIANZA
  MONDI INSTAGRAM:MASHABIKI MU WISHIN MDADA MREMBO NA MCHEZA FILM MZURI TANZANIA TUKAWISHI
  IKAJA PART YA BIRTHDAY YA MOND
  KWENYE PICHA MOND ,Queen Darlin ,Rose wakazugia na mwimbaji fpembeni

  Project ikaendele
  KEKI IKALETWA WASAFI NDO SAIN YAKE
  PATAMU HAPO LOOH WANAUME JAMANI WATATUPELEKA PABAYA

  ReplyDelete
 3. IMEKIPISTI NA POLEPOLE TUTAFIKA TUU
  zarithebosslady
  Never date when your lonely & never go to the grocery store when you hungry... what lessons are to be learnt from this statement????
  ROSE NDAUKA HABARI MJINI HII SIO MOVIE WALA PROJECT
  ITAKUWA UKANDARASI AU HAPA KAZI TU

  ReplyDelete
  Replies
  1. We anony kiboko umeiona kumbe eee
   Movie inaendelea.

   Kajala binti Masanja
   Kila mtu anamapungufu yake hata mie na yangu.

   Kajala amekazana kuweka mafumbo kila kukicha
   Yaani mswahili kuliko Snura,Shilole
   Yeye alishaachana NA Wema sasa siafate yake jamani
   Hata akifanya nini akubal Wema ndo kamtoa Segerea
   Mumewe mpaka Leo ananyea ndoo sasa akae Kimya kuliko kufumba juzi Kati alibwabwajaaa anakumbushia ya Wema si amwambie open KAA Wema afanyavyo
   Mie sitaki marafiki
   KAYUMBA HONGERA

   Delete
 4. Fonabo ktk ubora wake, talented, cool, relaxed n' confident! I guess atafika mbali

  ReplyDelete
 5. OOOT kuna mtu alisema tuwachambe hawa mapapa ya mjini Tuerny Agness masogange husna kwa wizi wa waume za watu hebu leteni data zao tuwanyee hapa leo alafu hivi huyo masogange anamiliki nini mjini hapa maana namuona tu hotelini kuuza kote tako hana ata kibanda ina maana loh?Kutwa mahotelini hebu tuwadadavue hawa kama mada maana ndo wanasababisha wengine wasisome waone kumbe short cut ni rahisi maana sielewagi kazi hawafanyi kutwa mara swimming mara kusafiri hizi pesa wanatoa wapi kuna huyu zaminaj anajiita nae simuelewi ni punda au changu sioni kazi yake ila kutwa safari .

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kama kweli wewe ni bingwa wa kuchamba kwanini usiwafate makwao uonye kama awajakuchakaza hadi ujikojoleee punguani wewe

   Delete
 6. umbea wa rose ndauka nautamaniiii mkuje basi mtoe habari ya kamili ya mjiniii wapi birthday party wapii muke ya dangoteee lol

  ReplyDelete
  Replies
  1. Subiri shost
   Kwa picha Angalia kwa chibu ali mu wish Rose Kisha Andika birthday part ya diamond Angalia picha uone alipiga Yuko na Nani
   Kisha angalia keki ya Rose alopewa NA WASAFI , TAFUTA Kati ya madansa wa MOND Nani anatoka na Rose Jibu hakuna,
   Kisha rudi picha ya Diamond ya juzi alopata ushind Angalia kwa ZARI alipewa MUDA NA Rose
   Jibu unalo hii ndo hasara ya bwana akae mwanza WEWE Dar
   WATAJIBEBE MWAKA HUU
   Instagram hii ndo HABARI
   zarithebosslady
   zarithebossladyNever date when your lonely & never go to the grocery store when you hungry... what lessons are to be learnt from this statement????

   Delete
 7. Ndio maana mlifeli darasa la saba mada nyingine nyie mnaleta umbea fanyeni kazi kwa bidii umbea ausaidiii wanga nyie nyooooooooo

  ReplyDelete
 8. Wewe dada hapo juu kuyachamba haya mapapa hapa hata haisaidii;wala sio hayo tu mapapa yapo mengi tu hapa mjini,hayana ishu ila kuzengea waume za watu,kama imewahi kukukuta dawa yao maombi na kutolea sadaka ndoa yako,utakuja kuniambia hapa,hamna laana mbaya ya kutembea na mume wa mtu hasa akiwa anajua,kuna yule dada facebook anaitwa irene mbowe,kule ndo utapata shuhuda za kutosha,hii ndo dawa ya kulinda hao waume na sio kuchamba,upoooo?

  ReplyDelete
  Replies
  1. hii laana iwapate na hao wanaume watu wazima sio watoto hadi waibiwe wanajiiba wenyewe. mfyuuuu laana kuiba mume wa mtu au laana huyo mume anayetoka nje? lol mimi mume wangu kasema siku akijua nacheat atadili na mimi maana mimi ndo niliyemdhulumu yeye, same applies to me.

   Delete
 9. Sintah,sikiliza ombi la mdau hapo juu,tenga siku tuwachambe hawa wezi wa waume za watu,wapo wengi sana sana!

  ReplyDelete
  Replies
  1. SINTA TULETEEE TUWACHAMBE KABLA HAWAJAINGIA KWENYE MAPENZI YETU

   Delete
 10. Ha haaaaa,naona jizi moja limepanick hapo juu,ndo uache wizi ili usichambwe kama unaona soo!

  ReplyDelete
 11. Ha haaaaa,naona jizi moja limepanick hapo juu,ndo uache wizi ili usichambwe kama unaona soo!

  ReplyDelete
 12. Ha haaaaa,naona jizi moja limepanick hapo juu,ndo uache wizi ili usichambwe kama unaona soo!

  ReplyDelete
 13. Umeona eeh shoga jambazi limepanick hapo juu shenzi ww nahisi unatumia papuchi kuishi na mtakoma manina zenu wezi ndo mana wanawafumua marinda kwa viela mbuzi vya kununua iphone wenzenu twaringia vyetu bibi weee nyumba tumejenga magari tunayo mwanmke akili na kutafuta sio nyie mnazalilishwaa kisa mtu anakupa milioni moja loh si bora ufanye kazi uipate mwenyewe nyoko zako ww uliyepanick in mama wema's voice

  ReplyDelete
  Replies
  1. sasa kama mnaringia vyenu tatizo nini, si mrelax jamani? mmejengew nyumba sijui mmejenga na magari mnayo sasa mnapanick nini? onyesheni kwa vitend kwamba mnaringia vyenu khaaaa.mnalilia hiyo milioni moja wanayopewa wa nje?

   Delete
 14. Mwenye faili la Kayumba jamani naliomba mie yale mauno tu na ule mwanya akicheka yaani ni shigidi sheeeeeedeeeeer.

  ReplyDelete
  Replies
  1. wewe unataka kumpwelepweta mtoto wa watu ushindwe

   Delete
 15. Mmh mashuga mumy yamezidi karne hii, wengine wanaishi nao kabisa ila kimyakimya shida inakuja ktk matembezi mmoja mbele mwingine nyuma maana ni aibu kuongozana, kijana mdogoooo kazaaa na jimama. Wakifuatana wahuni wanasema fataki fataki labda muwe na gari hapo fresh lakini kwa mguu ni shidaaaa!

  ReplyDelete
 16. Umesema kweli sinta maana mijimama haikawii kum'bemenda na kumharibia mtoto wa watu. Kwenu wabemendaji tiririkeni kulaumu sasa maana humu ndani pia wamo kibao.

  ReplyDelete
 17. Kayumba kajituma alikua na nidhamu na msikivu bss ya mwaka huu ilikua ngumu cz vpaj balaau knw guys kuimba KTU kmoja nyota KTU kngine , ndo rizq yake , congrats kayumba

  ReplyDelete
 18. Kufumuluwa Marinda Hata huko ndoani mnafumuliwa sana Wala hamuheshimuwi. Kwani hatujui? Kutwa kiguu na njia Kwa baba paroko kushtaki. Kutoka hamuwezi mnavumilia hivyo hivyo. Sema jingine Lakini hili la kuendeshwa skuta nyie ni wahanga wakuu. Upo Bi shosti?

  ReplyDelete