asas

asas

sintah

sintah

KITABU KIPYA KUTOKA KWA EVARIST CHAHALIKitabu hiki kinahusu Uchaguzi Mkuu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, utakaofanyika Oktoba 25, 2015. Kinachambua chaguzi kuu zilizopita, na mazingira ya sasa ambapo uchaguzi huu unafanyika. Kadhalika, kitabu hiki kinachambua michakato ya kambi kuu mbili katika kupata wagombea wake wa urais. Kambi hizo ni Chama tawala CCM na UKAWA, na wagombea wao Dkt John Magufuli (CCM) na Edward Lowassa (UKAWA). Katika uchambuzi huo, kitabu kinaangalia nafasi na vikwazo kwa kila kambi na mgombea wake. Lengo kuu la kitabu hiki ni kuwapa Watanzania uelewa wa kutosha kuhusu zoezi zima la Uchaguzi Mkuu, sambamba na kuzielewa kambi hizo kuu na wagombea wake, ikitarajiwa kuwa itawasaidia kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura....

Kitabu kinapatikana online....

5 comments:

 1. Hebu pita kule. Nani asiyejua Magufili ndio rais?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kama umepanic hivi! Kila mtu ana uhuru usilazimishe chaguo lako liwe la wote

   Delete
 2. Lowasa ndo chiboko yenu....anajinyea saws tushanunua pampas dazan! Kingine??!!! Viva lowasaaaaa

  ReplyDelete
 3. Viva Lowasa!! piiiiiiiiiiipooooooooooozzzzzzz

  ReplyDelete