asas

asas

sintah

sintah

KUELEKEA UCHAGUZI 2015 (BADO SIKU 4)


Akili za kuambiwa changanya na za kwako, hivi watu wamekuwaje? mama wa watu kashikwa pabaya na unachekelea je angekuwa mama yako? hivi hujui huyu mama ana watoto tena wakubwa wanaojielewa? unafikiri wanajisikiaje, jamani kuna maisha baada ya uchaguzi,na wewe mwanamke unafurahia kabisa na ku comment ujinga unapoona mama wa mwenzio anadhalilishwa? adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzie na wazungu wanasemaaaa its always funny until it happens to you....

Sijawahi kuona uchaguzi kama huu, khaa watu hamtupi sera za maana ni nani kafanya hili na ni nani kafanya lile au mtafanyaje kuutokomeza umasikini na maendeleo tutapataje ni kuchafuana tuuuu na kusengenyana, uchaguzi na upite aisee, halafu tatizo halipo kwa wagombea wala watu wa vyama, wapambeee nuksi waliolipwa watatusababishia matatizo  this is tooo much, hebu tuilinde amani yetu, nyie wapambe hamuoni hayaaa mmevamia siasa mwaka huu tunawakoma

13 comments:

 1. mimi naona kwanza hakumpa kipigo cha kutosha, mlevi tu anishike hivyo ningemtandika haswa, BIG UP first lady

  ReplyDelete
 2. Yaani sintah una akili na una busara, tatizo la wadada wengi wanaofurahia ni wale wasiojielewa wapo wanaishi kwasababu ya kumchukiza fulani na hio ndio furaha yao bila kuwachukiza watu wanakuwa hawana amani, ni maisha magumu na mabaya sana maana mwisho wake ni kulaaniwa na watu wengi, na huu uchaguzi wa mwaka huu upite kabisa nimekukpenda bure ulivosema wamevamia siasa, wamevamia hasa nimeamin njaa mbaya na pesa ya haramu mbaya sana, inaweza kukufanya ukasahau ata kushona vibatiki vyako vinavokuingizia pesa ya halali ukaanza kutukana watu tu, wengine wanavua nguo kama wehu yaani watu mwaka huu wamekuwa machizi kisa uchaguzi, sijawai kuona wala kufikiria.

  ReplyDelete
 3. Acheni wafanye wanavotaka..wasipofanya hayo mtaandika nini? Topic zenyewe za kuungaunga. CCM CCM shika hatamuuuuuu!

  ReplyDelete
 4. Off Topic: Wanawake punguzeni unafiki. Unakuta mtu anaandika comment na kujifanya anamtetea mtu kumbe yeye ndo mchochezi na chanzo cha ugomvi. Unamtetea mtu afu unaingiza familia yake katika mitandao unakuwa na makusudi gani kama sio uchonganishi. Haya watu wakianza kuisema familia yake vibaya utazuia vipi. Uchochezi huja kwa njia tofauti kama hii ya kujifanya unajali kumbe wewe ndio mbaya na mchochezi mkubwa. Nani asiejua kwamba mtu wa karibu ndo adui mkubwa? Hata kama unatetea, kuingiza familia inahusu nini? unless kama mwana familia mwenyewe ndio kaandika. Acheni hizo bana. Back to the topic NO comment.

  ReplyDelete
 5. Sinta umeongea kweli kabisa na umeonyesha busara yako, nyie ndio wadada wa mjini mnaojielewa. Hawa wapambe nuksi wanaotumika kama ..... kwa kipindi hiki cha mpito subiri uchaguzi uishe tuwaone, hawajielewi hata kidogo. Tatizo shule ndogo msiwalaumu, wangekuwa wanashule vichwani mwao wangekuwa na majukumu, either muda huu wangekuwa maofisini, au kwenye shughuli zao. Hawana shule, hawana shughuli ya halali hapa mjini, ni wale watu wanaoishi kwa kutegemea kitu Fulani, ndio maana wamevamia siasa na kutoa kauli chafu, ila wajue kabisa wanatumika tu kwa msimu huu, zimebaki siku 5 tu watupwe kule.

  ReplyDelete
 6. Samahani, sijaelewa labda nimepitwa na habari. Nini kosa la huyu mama?

  ReplyDelete
 7. tunampenda lowasaaaaaa na mke wake pamoja na chama chao. HUTUSHUGHULISHI SINTANA

  ReplyDelete
 8. UNABANIA COMMENTS EEER
  SASA WEWE NA HAO UNAOWASEMA MNATOFAUTI GANI ??

  ReplyDelete
 9. Mtajiju km viroba mnawapa wenyewe

  ReplyDelete
 10. Ungekuwa na busses zaidi ungelipotezae,kwani unapoliweka hapa ndo unazidi kuchochea!si kila kitu ublog...nazani nawe ni mwanamke na Huna tofauti na hao wanawake wengine waliolishikia bango jambo hili, Mwanamke mwenye staha anajua kuchuja chenga na mchele! Wewe ndo umeharibu kabisa!

  ReplyDelete
 11. sintah hapo umeeleza kweli lakn kama limange sijui ndo kalipwa sh ngapi kucha kutwa kumsimanga baba wawatu lowasa sijui kafanyaje sijui imekuwaje, jamani ivi ingekuwa baba yake yuko hai alafu anasimangwa kila kukicha angejisikiaje jamani aache tu maneno jamani.kila mtu duniani ni mgonjwa isiwe ni lowasa tu halina aibu ndo maana dar nzima amegombana na watu hata huyo mzungu aliyemuowa itakuwa anajuta

  ReplyDelete
 12. Huyo mama alihitakia mwenyewe kushikwa tako, kwenye hadhara hivyo unatamka nimekunywa beer huku umelegeza jicho namna ile, first gani wa kujitangazia mlevi... Nyooo kwanza hakukushika vizuri ilitakiwa amnyoso kabisa ndio apate adabu.... Non sense

  ReplyDelete