asas

asas

sintah

sintah

KYLIE JENNER ATOA MPYAKylie atoa mpya, kumbe na yeye yumo kwenye  watu wanaohonga, haaaa kampatia baby wake, 800$thouuuu, mama yake alivyosika katoka baruuuu chezea baby weweee, mapenzi ni kitu kingine bana, watoto kama Kylie huwa hawasikii mpaka yawakute na  unamuacha maana mtoto akililia wembe unampatia....

11 comments:

 1. Uwiiiiii Unapenda Maisha ya watu
  Atajijuuuu hayatuhusuuuuu

  ReplyDelete
  Replies
  1. nimekupendaje wewe njoo upate kinywaji
   Sintah huwezi kuwa sawa na wote unaowaandika blog yako .
   Wao muda mwingi wanafikiri watapigaje hatua moja kufikia ya pili na wende mbele kimaisha .
   Wewe sintah unafikiria utafute cha kuandika kuhusu wao ili uwachafue majina yao uwadidimize nyota zao ili warudi datua moja nyuma .'
   Wao muda mwingi wanatafuta watu sahihi wa kukutana nao na kupanga mtandao wao mzuri wa kuingiza pesa

   wewe Sintah unatafuta watu sahihi wa kukupa umbea wa watu wengine na kufatilia maisha yao binafsi

   Amini usiamini Sinta haitakuja kutokea mkawa sawa kimaisha
   na mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe Sintah na udaku wako

   Delete
 2. kweli sintah umeishiwa duuh nkinkii?

  ReplyDelete
 3. hivi siku hizi umeamia new york sintah? naona habari zote za mamtoni tu alafu nahisi wewe ni familia ya kina KIM sio kwa kutuletea habari hizo

  ReplyDelete
 4. Haya,

  Mie naomba niwekee hii link ila watu waweza kuperuzi mtandaoni huku wanatengeneza fedha.

  this is the link http://Job4Living.com/?ref=105378

  ReplyDelete
 5. Dollar 800?!ndio unashangaa kweli utakua umechacha sana karibu kunuka

  ReplyDelete
 6. jaman mana ya kubeba box nin mana me wa usoto

  ReplyDelete
 7. mbona ye alipewa ferrari tatizo liko wapi
  acha ushamba we bb na blog yako ya kiuanafunzi
  hubadiliki
  tuambie na mambo yako basi

  ReplyDelete
 8. mbona ye alipewa ferrari tatizo liko wapi
  acha ushamba we bb na blog yako ya kiuanafunzi
  hubadiliki
  tuambie na mambo yako basi

  ReplyDelete