asas

asas

sintah

sintah

NANI KAMA MAMA.....Nani kama mama? mwanamke aandaa harusi yake ndani ya masaa manne alipogundua mama yake ana muda mchache wa yo, mwanamke huyo Sarah Dawson 22, anaoana na hubby wake wa umri wa miaka 27, Sarah alipogundua tu mama yake ana muda mchache wa kuishi akaamua afunge harusi fasta ili mama yake awepo katika siku hiyo tamu katika maisha yake... hadipo nilipojua kwamba mama ni mama tuuuu....

No comments:

Post a Comment