asas

asas

sintah

sintah

NANI ZAIDI?? QUEEN V vs HUDDA MONROE

Hudda


Vera ama Queen V

Hahaaaa leo ninakuletea wataalam wakukaa utupu EA, katika ubora wao, sijui wanafundisha nini watu wanao wa follow? na haswa vijana kwamba kubadilisha hotels, kupanda business class ndio maisha not other stuff?? haaaaaaa yagaaaa wewe unaona nani zaidi??

14 comments:

 1. OOOT nina mdogo wangu mdogo ila sasa maziwa yake yamekua makubwa kupitiliza mpaka analoose confidence jamani hana raha na kila siku yanaongezeka kuna anayejua dawa ya asili jamani sio ya kichina apunguze mpaka analia kila siku namuhurumia ndo kwanza form four yani mpaka anaona aibu mbele ya wenzake na alikua hana maziwa ghafla yakaanza kuongezeka mpaka familia tunashangaa ni makubwa mno na yanazidi kukua akikuvulia nguo unaweza lia ni mzigo afu sasa yamemlemea plz mwenye msaada anisaidie au ni tatizo aende hospital ila kuuma hayamuumi ila ni kama amebebeshwa mzigo mzito

  ReplyDelete
  Replies
  1. Pole sana sana kwa mdogo wako. Mimi yalinipata kwa miaka. Mwishoni daktari akasema lazma yapunguzwe. Hakuna dawa na usitafute ya mchina. Pia labda hormone zake anvyokuwa sasa hivi haziko sawa. Nenda nae kwa gynecologist na aangalie pia levels zake za hormones. Lakini nafikiri atabidi yapunguzwe. Maisha yangu yamebadilika sana toka nifanyiwe operation ya kupunguzwa. Sijuti na siumi tena mgongo wala mabega. Confidence yangu 100% imerudi na sasa nina avoid maziwa, na mavyakula ya kopo na ambayo yana expeiry date ndefu. Nakula fresh tu, sili processed foods. Humo ndio unakuta magrowth hormones. Avoid any food products from China and Asia in general. Wanaweka growth hormones nyingi sana zinazotudhuru na wengine tunaota maziwa yenye ukubwa usio wa kawaida. Wasia wadogo sana kwahiyo wnaengeza ma chemicals kwenye vyakula vyao ili wawe wakubwa. Usitafute ya mchina...anything from China is rubbish and harmful. Mpeleke mdogo wako kwa gynecologist...tafuta gynecologist mwanamke...ataelewa huo mzigo na maumivu yake ya moyo kuliko mwnamme. Good luck.

   Delete
  2. Mmmmm mbona nimeogopa vipi Haya maziwa ya makopo cerelac nk ambayo tumekuwa tukiwapa watoto hivi hayana madhara Kama Haya?

   Delete
  3. am interested mdau eti ulipunguzaje

   Delete
  4. Nimejibu chini kidogo...kwa muhusika. Nilikuwa 36 B / C. Nikaja kuwa 36 J!!!! Sasa nimefanyiwa operation, wamenipunguza, na nimerudi 36 B / small C.I am very very happy. Na kuna gel unapaka on the scars zikipona, na scars zinapungua. Lakini hazionekani hivyo. Kwa jumla nilitolewa kama kilo tatu na zaidi kidogo tu kwa jumla.Google it...breast reduction, nilikatwa using a T anchor cut. I can only recommend it if your life is hell becaus of big boobs. I feel reborn. I am thankful and grateful. Maybe we need more education on this in TZ?

   Delete
 2. Hivi najiuliza hao kina vera na kina Masogange ,Zamminaj,Tunda ,tuerny na wadada wengine kutwa wanasafiri sijawahi kuona labda wapo somewhere kikazi Ina maana maisha ya bongo ni laini kiivyo kila siku mara hotel asubuhi mda wa kazi usiku wapo maclub hyo source of income wanapata wapi?Au wauza nyapu hawa

  ReplyDelete
 3. Napita ntarudi usiku

  ReplyDelete
 4. Huddah has it all.

  ReplyDelete
 5. Asante mpendwa wangu uliyenielekeza kuhusu maziwa sasa mamie ww ulifanyiwa wapi ?And atleast ukiniambia na gharama mydear nimpeleke mdogo wangu yani analia kila siku maziwa yamekua too much na ni mdogo sana 16 years of age na huo mzigo alionao utashangaa plz help nijue ni wapi ww ulifanyiwa operation na cost zake

  ReplyDelete
 6. Naona kwamba haya matatizo siyo yangu au ya mdogo wako tuu. Hapo juu kuna pia ambao wako interested. Mimi ni mtanzania lakini ninaishi Europe. Bahati nzuri daktari wangu wa miaka 17 sasa ananifahamu sana na anafhamu vipi nilikuwa nilipokuja huku. Madawa, na myavyakula huku yamenidhuru sana...because of growth hormones kwenye myavyakula, hasa maziwa kwa sababu ng'ombe wnapewa growth hormones ili waweze kuproduce maziwa mengi kwa wakati mmoja. Baadaye sisi binaadamu ndio tunakunywa hayo maziwa yenye madawa ya kutudhuru. Huku ninakunywa sas only Bio Milk. Maziwa ya kopo na yale ya UHT ndio zina madhara...fresh is better. Huku, maziwa ya kifua yakizidi gram 500 kila ziwa, una apply kwa insurance na daktari wako ana andika barua kwa insurance na picha zinatumwa. Bahati nzuri nilikubaiwa, pia kwa sababu sikunenepa, lakini maziwa yalikuwa sana. Insurance yangu ililipa kila kitu mpaka sidiria za kupona, na until today wanalipa check up ya operation. Kwa hiyo, samahani sana siwezi kukuambia gharama. Niko Ujerumani na huku wana huruma sana na hayo matatizo...rafiki zangu wa Denmark na England walikataliwa na insurance zao. Nilitolewa zaidi ya kilo moja na nusu kila ziwa na mimi mfupi na sio mnene. Nafikiri, mdogo wako itabidi asubiri mpaka afikishe 18 years, ahakikishe amemaliza kukua. Ningekushauri kuuliza in South Africa. Medical system yao top rate, kama ya huku tu. Anza kuuliza kwa kule. Lakini, very very important is what she eats. Na please please please, don't believe in anything Chinese or rely on anything Chinese. Asia nzima no one buys into them...only sisi wa Afrika ndio wanatudanganya. Hao wachina wametufool kweli in TZ and Serikali imewaachia. They are rubbish. And yes, growth hormones is also found in powdered milk from Asian countries. Niilikaa Asia sana pia na huko ndio I became so bad na mwili ulivimba kabisa. I wish I could get your email so we can stay in touch and I can help you. I really feel for your sister. Good luck and I hope you find a solution. I know her tears and I wish I could help more. Take care and eat fresh.

  ReplyDelete
 7. Hudda yuko juu sana kuliko vera

  ReplyDelete
 8. Apollo india wanafanya hiyo operation, around USD 7000

  ReplyDelete