asas

asas

sintah

sintah

NATOKEO YA AWALI YA URAISI KUJULIKANA LEO

Watanzania wametakiwa kuwa wavumilivu na wenye utulivu wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikiendelea na zoezi la uhesabuji wa kura ili kupata matokeo ya uraisi kutokana na idadi halali za kura.   Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani amesema kuwa matokeo ya Raisi awamu ya kwanza yataanza kutangazwa LEO  Jumatatu saa 4 asubuhi, saa 7 mchana na saa 10 jion...

No comments:

Post a Comment