asas

asas

sintah

sintah

NI MAGUFULI 2015

President Elect


WaTanzania wameaamuaaa, John Pombe Magufuli ndiye atakuwa Raisi wa 5 Nchini Tanzania, hongera kwa ushindi huuu Mh Raisi ndio zawadi Mungu aliyekupa maana siku yako ya kuzaliwa na unatangazwa mshindi kamwe hutoisahauuu.... kweli wewe ni chaguo la Mungu.

4 comments:

  1. makubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Hata yule mwingine mlituambia chaguo la Mungu. Mmeona katuacha wapi?

    ReplyDelete
  3. na yule si mlimshabikia kama mlivyokuwa mnamshabikia babu yenu el? so mlitaka kutuletea janga lingine? wapiii mungu katuepusha na mtandao this tym.

    ReplyDelete