asas

asas

sintah

sintah

UCHAGUZI 2015

Yaani sijawahi kuona uchaguzi uliojaa makahikashi kama huu, kila mtu ni reporter IG mnatupa false information, jamani watu si msubiri tume itangaze? ama nyie wote mnafanya kazi tume ya uchaguzi? yaaani uchaguzi umeingiliwa na wanaochipukia katika siasa, huyu kashindwa huyu kashinda, iachieni tume ya uchaguzi, nyie ndio mnashabikia ujinga na kuchochea mambo katika mitandao, watu wanavamia kazi sio zao na zisizo wahusu , mnajifanya wasemaji wa tume aiseee, huu uchaguzi na upite tuu... 

mkisikia walioangukia pua katika uchaguzi please tutumie comment lakini iwe imetoka kwenye reliable source not IG gods.....

8 comments:

 1. Hawana kazi wengi wao zaid ya kuandika yasowahusu
  Ila wote tunajua Tume ya uchaguzi ndo chombo cha mwisho sasa usiumize kichwa na makashihashi yao

  ReplyDelete
 2. Hivi waafrika ,weusi wenzangu lini tutakuwa na ubinadamu ?
  Tunageuka kama wanyama !!!
  Kuna dada kafariki huku majuuu na anandugu zake wa damu. Kuna watu wanasambasa picha whatsap wameandika huyu dada kafariki hana ndugu na alikuwa na maisha ya kutangatanga tu ndugu wajitokeze
  Wamebandika na makaratasi kwenye maduka
  Hivi tunachukiana tukiwa hai mpaka maiti
  Nimeamini binadamu kawa sawa na mnyama
  Tusishindane au kukosana kwa ajili ya maisha
  Kila mtu na bahati yake jamani!!
  Umeniunganishia mwanaume sasa nikiishi maisha ya juu unaumia ulitaka nitesekeee
  Wote tunatafuta hata Bongo kuna matajiri na masikini
  Imeniuma !!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Una inner problems zako sio bure..
   Point yako iko very irrelevant,Ndugu wapo wapi mpaka picha zibandikwe??

   Delete
 3. Kama huyo linda bedui ndo mpaka anatia hasira na kinyaaa cjui TCRA hawamuoni

  ReplyDelete
 4. Sio Li mange hiloo

  ReplyDelete
 5. haaaaaaaaaaaa Sintah wewe mbayaaaaaaaaaaaaaa kumbe unajuwa waziiii kama Latiffah ni mtoto wa Mzamil Katunzi?daaaaaaaaaaaa kumbe sio wa diamond.lakini zari anajuwa kulenga mababa matajiri?ivan tajiri,katunzi tajiri,ila diamond kapewa mtoto elee,usupa star ukiisha anapewa katunzi damu yke

  ReplyDelete
  Replies
  1. Na wewe acha umbea ulimshika mguu wakati anamtia mimba? wenzio wapo kwenye uchaguzi waendeleze nchi, wewe umeng'ang'ani Latiffah Latiffah kha! embu tumia akili basi. Sintah kaandika mambo ya Uchaguzi hajauliza Tiffah ni mtoto wa nani umenipa?

   Delete
 6. Mtoto diamond kashapewa Wa bureee,wala siyo damu yake

  ReplyDelete