asas

asas

sintah

sintah

UCHAGUZI WA KIHISTORIA BADO SIKU 16

Silaha na Magufuli
Kingunge Ngombale Mwiru
Mama Anna

Wewe Mtanzania siku zinazidi kuyoyoma, je upo tayari kwa uchaguzi mkuu Octo 25? unaonaje campaign zinazoendelea sasa hivi?umejifunza kitu gani katika mfumo huu wa vyama vingi na jinsi watu na makada wengi wa chama cha mapinduzi kukihama chama kwa uroho wa madaraka? kwakuwa kama kukatwa wamekatwa wengi mbona hawakulalamika?kuna mchezo gani hapa umejificha? kura yako utampa nani na kwanini? 
Tusisitize Amani na Upendo ndio iwe kauli mbiu ya sasa, hatutaki machafuko....free and fair election.

26 comments:

 1. MIMI NA FAMILIA YANGU TUKO TAYARI KAK KUMCHAGUA RAISI TUNAYEAMINI ATATULETEA MAENDELEO ,AMANI NA UTULIVU NA TUNAAMINI MUNGU ATAENDELEA KUWA NASI

  KUHUSU CAMPAIGN NIMEJIFUNZA MENGINYANAWEZA KUTOKEA KWANI WATU WANATUKANANA ,WANATISHIANA NA WAMESAHAU NCHI ZOTE ZINAZOPIGANA VITA KWA AJILI TA SIASA NA MADARAKA YA KUPATA UTAJIRI NI ZILE ZENYE KUPIGIWA CAMPAIGN KWA VISHINDO MATUSI ,KEJELI NA KUHAMA VYAMA BILA MPANGO NA KUTOA SIRI YA CHAMA ULICHOKUWEPO.


  WANASAHAU IKITOKEA VITA HAKUNA MKUBWA HATA MMOJA ATAYEKUFA .SI WAGOMBEA WALA WABUNGE NI SISI WACHEZEA PEMBENI NDO TUNAATHIRIKA
  WAONENI WASIRIA WANAVYOHANGAIKA WANAKIMBILIA NCHI ZA EUROPÉ WENGI WAONWANAFIA NJIANI

  TUJIKUMBUSHE VITA YA WAHUTU NA WATUSI WANGAPI WALIKUFA?
  TUJIKUMBUSHE KWAMBA WALE WOTE WENYE UMASIKINI ZAID NDO WATABEBA MAPANGA NA KUTUMALIZA
  KWANINI TUPOTEZE SMANI YETU MA TUNAMAISHA BAADA YA UCHAGUZI
  KWANINI TUIFANYE NCHI YETU IRUDI NYUMA KWA VITA WAKATI TINAWEZA KUMCHAGUA MWA KUTUONGOZA KWA AMANI
  TUJIULIZE MASWALI NA KUTAFAKARI KABLA .

  SISI KUTA ZETU TUNAMPA MAGUFULI NA SIO SABABU YUKO CCM
  SABABU TUMEONA ALOYAFANYA WAKATI ANA MADARAKA

  SISI TUTAMPA MAKUFULI KWAKUA TUNAAMINI ATATUBADILISHIA NCHI YETU
  MUNGU IWEKE TANZANIA KTK AMANI
  TUTAZAME SOMALIA
  PALESTINA
  IRAN
  IRAQ
  SYRIA
  AFGHANISTAN
  BURUND
  NIGERIA
  NA NCHI ZINGINE ZILIZOPIGANA TUTAONA WATOTO WENGI WANAISHI KWA UMASKINI KWA KUACHWA NA WAZAZI WAO
  UCHAGUZI UWE WA AMANI 🙏🏽

  ReplyDelete
  Replies
  1. wewe utakuwa huelewi nini maana ya uchaguzi huru. Hakuna anayetaka vita. Vita ikitokea ujue imesababishwa na CCM kwa kutotenda haki maana wao ndio wana vyombo vyote vya ulinzi. Huu uchaguzi kama ukifanyika kwa haki na uhuru na uwazi wote hakuna atakayeleta vuruga...CCM wamekuwa wakiwadanganya watu kama nyinyi kuwa wapinzani wataleta vita kwa kuwa uelewa wenu ni mdogo sana. CCM wamezoea kutotenda haki kwa kuiba kura na sasa watu wameamka ndio maana wanaogopa na kuwadanganya baadhi yenu. It is so simple wafanye uchaguzi wa haki matokeo yawekwe hadharani pale pale kituoni nakwambia hata UKAWA wakishindwa watakubali kiroho safi.

   Delete
  2. Hali ya sasa inakumbusha historia ya wana wa Israel walipotoka misri kwenda kaanani. Hawakuijua njia ya kwenda wala huko kaanani kukoje. Ila walichoka na maisha ya Misri. Ndivyo walivyo wa-tz kwa sasa wamechoka na CCM na wapo tayari kuipa UKAWA madaraka hata kama UKAWA wanaonekana hawajui wanakoenda. Mungu aliyewasaidia wana wa Israel kufika Kaanani ndie Mungu huyo huyo atakayewaongoza wa-tz kupitia UKAWA. Hata enzi zile kuna baadhi ya wa Israel waliogopa kuondoka Misri wakifikiria masufuria ya nyama na kutokuwa na uhakika na wanakoelekea. Ila waliothubutu kwenda na Musa walifika Kaanani. Wa-tz wengi wapo tayari kuthubutu.

   Delete
  3. CHAUMBEA WA TANDALEOctober 9, 2015 at 5:17 AM

   POLE TENA POYEEEE KWA MAWAZO MGANDO HAKUNA VITA WALA NINI HAPA NI LOWASAA TU ANA MAAMUZI MAGUMU SIO MPAPARIKAJI KAMA HUYO WA KWENU. UNATISHIA WATU KWA VITA MTAANZISHA NYIE FISIEM NDIO MAANA NENO VITA HALIWATOKI MDOMONI KWENU. MIDOMO INAUNDA ATI. MPE KURA LOWASA KWA MAENDELEO YA TAIFA
   HUYO WA KWENU TUMEONA NA TUMESHUHUDIA UPAPARA WAKE KATIKA MELI YA SAMAKI BARABARA KUJENGWA CHINI YA KIWANGO HAZIDUMU UBOMOAJI WA NYUMBA WENGINE KUSHINDA KESHO NA KULIPWA NA HELA ZA WANANCHI WALIZOTOLEA JASHO. SASA ILI TAIFA LIENDELEE TUNAKA RAISI MAKINI MWENYE KUFIKIRIA KWANZA KABLA YA KUTENDA. upooooooo hapo

   Delete
  4. Bedui unakula saa ngapi, unalala saa ngapi, unashona saa ngapi, duh! Mwanamke, act your age basi atleast for once....Jitu zima ovyoooo. Au unataka urudie business yako ya mapauda nini? Naona charahani imekushinda

   Delete
  5. Chaumbea wa Tandale umeandika point Rais anapaswa kuwa mtulivu na si mkurupukaji maana atakuwa akifanya maamuzi yenye impact kwa Taifa akiwa mkurupukaji ataicost nchi a big deal

   Delete
  6. Babu yenu sio mkurupukaji? Alipotuwekea barabara tatu na kusababisha maajali? Madai yake anapunguza foleni, haya kiko wapi? Hebu atupishe sie, kwani hatukumbuki mautumbo yake? Halafu hawa CDM, hivi wakati wanamtangaza fisadi, mwizi, na meneno kibao, what if watu wangemdhuru, leo wangejibu nini? Kwa taarifa yenu, hatujasahau kama babu ni fisadi papa.

   Delete
  7. Chaumbea kama hujui vita, hebu nenda kalinde kura kama mlivyaminishwa, yn ni mtakula mkong'oto mpaka basi. Wenzenu wamekaa nje huko wanaitamani gas yetu, nyie jiulizeni, what's so special this time uchaguzi kila nchi inausubiria? Si wanataka tuanza ili wao wamalizie gas kama wanavyochukua mafuta iraq, libya, nigeria etc, Hebu acheni upumbavu wenu nyie, duh!

   Delete
 2. We sinta acha kupotosha watu wanataka mabadiliko wamechoka kudanganywa walituambia maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi vijana kuzunguka kuokota makopo ya plastik kama wendawazimu na kina mama kuzunguka na mabeseni hayo ndio maisha bora sasa hivi tunataka kubadilisha tumechoka.CCM wameishiwa pumzi wapumzike kijiti wakabidhi kwa chama kingine.

  ReplyDelete
 3. CCM ishinde tu. Wengine mibuzi yetu yote iko huko. wasiposhinda sijui tutakula wapi..CCM juu juu juu zaidi!

  ReplyDelete
 4. WEWE sintah acha itikadi zako na CCM , mimi nampigia kura President EL, yaani hapo sidanganyiki, mafisadi kibao wapo ndani ya chama cha mapinduzi mbona hauwa seme umemuona Lowasa peke yake, kwa taarifa yenu watu washachefukwa wanataka mabadilikoo hata kama jambazi hivyohivyo, kuna usemi unasema hivi, mchawi mpe mtoto akulele utaona atakavyomlea vizuri hatomzuruuu ng'ooooo, Lowasa mbele kwa
  mbeleeeeee , hapa kazi tuuuuu mzeee ananyota kali sana na nakuambia Mungu yupo watu tuna funga na kuomba CCM ipinduke

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mwenye umesema hapa kazi tuuuuu, halafu unajifanya huelewi, Magufuli ndio mpango mzimaaa, Hapa kazi tuuuuuu

   Delete
 5. HAMA KWELI SINTAH WEWE NI MPOTOSHAJI KABISAAA! AU NA WEWE UMEKUWA KAMA MAMA ANAYEHISHI KWA OBAMA?!!! MAKE AKIRI YENU NI SATU! HACHA KUPOTOSHA JAMII!

  KWANZA KABISA NAMKUBALI LOWASA. KWANINI NAMKUBALI?!!!
  1.ninacho mkubali Lowasa nimbunifu wa miradi na nimtendaji na mfuatiliaji ninacho mkataa magufuli ni msemaji na simtendaji wala mfuatiliaji na ni mtia hasra taifa mfano mmoja ni wale samaki aliokamata bila kufuatilia kwanza, ubunifu wa Lowassa mradi wa maji kutoka ziwa victoria ,shule za kata haya wewe unae msapoti magufuli nipe alicho buni. UPO HAPO SINTAH? TOROKA UJE BADO SIKU 16 ZIMEBAKI MAMA! UKAWA OYEEEEH!!!!! BAJAMENI KURA YAKO MPENI LOWASA NA HUTOJUTA LOWASA KUWA RAIS WAKO/WETU!

  ReplyDelete
  Replies
  1. huna lolote unamjua lowasa wewe au ni ujinga tuuu? jitambue, mnafikiri atawaletea hela na kuziweka mifuko mwenu mambuluza sana

   Delete
  2. ila kwenye jimbo lake Monduli kuna vijiji mpaka sasa hivi havina shule.

   Delete
 6. mimi msimamo wangu bado uko pale pale! kura yangu nampa LOWASA/UKAWA

  ReplyDelete
 7. Mimi mwenyewe Ni ccm lakin kura ntampa Lowassa,ccm umekaa madarakani miaka 54 umeme Tu mmeshindwa kutuwekea kila siku mgao manina zenu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wewe sio ccm, ungekuwa ccm ungejua huyo babu ni nani, acheni ushabiki maandazi hapa, na hao wanao waambia mlinde kura, subirini mtakiona. CCM ya sasa ni mpya, mana vibaka wamendoka, na juzi kikongwe kimeishia, kiacheni kikalipe fadhila za kulipiwa madeni. Na nchi hamchukuiii

   Delete
 8. Shida wana ukawa mnalazimisha hoja Muamini kama kun a watu pia wanayo mapenzi na bado wana imani na CCM ila huyo mtuakitoa hoja munahishia kulazimisha yenu nendeni tupige kura ndicho kitakackoamua nani haibe kura zenu wakuja nyie mmekuja mjini juzi sasa kuna magari lukuluku mlikuwapo Dar-es-salaam miaka ya 80's wakatiti gari nzuri wanaendesha magamachori kama Azim Dewji na Abbas Gulamali tu leo hata mwanafunzi wa vyuo vikuu wana uwezo wa kuwa na magari na bado mnadai hakuna maendeleo wakuja nyie.

  ReplyDelete
 9. HAMA KWELI WEWE NI MCHEPUKO WA WANA CCM MAKE JINSI YAVYO KUTOKA KHAAAH! NASEMA WEWE HAPO 7:04AM.

  ReplyDelete
 10. Hahahaaaaa Anonymous 9:10AM umenichekesha hapo juu!! Huo Mchepuko wa wana CCM povu la meno limemtoka duh!! Lakini kachelewa hampati mtu hapa piiiiiiipooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzz

  ReplyDelete
 11. Mtawatisha hao hao. Kura tunajua kwa kuzipeleka...............Kutishana mwisho huko huko kwenu................Madaraka matamu, mnawatisha watu sasa. Hamumpati mtu mwaka huu. Amani huenda na HAKI. Haki unabana halafu unajifanya unadumisha Amani, ulisikia na kuona wapi?

  ReplyDelete
 12. Mlivyogawana Gas na ile mikataba 17 ya siri mliyosaini chap chap na Wachina mmesahau? Mnakumbuka saa hizi tu ooh mataifa mengi yanatuangalia yanataka Gas. Gas ipi na nyie mmesha mpa Mchina mmegawana na wa kwenu? Halafu mnavyowafanya watu wajinga! Mnashangaza sana...............

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ongea kwa evidence mama, gas ipi iligawiwa, watu hata facts hamna mmekazana, soma basi japo magazeti, khaa! Ina mana hata hujui ni asilimia ngapi ya madini imechimbwa Tanzania? Huruma

   Delete
 13. lowasa ndo rais mmetaka wenyewe kwa sababu ya ahadi feki kila mwaka

  ReplyDelete
 14. Lowasa hawezi kuwa rais wa Tanzania, tukutane Jumanne tar 27 kama hamjarudi mmeshika kichwa au miguu.

  ReplyDelete