asas

asas

sintah

sintah

WASHINDI WA TUZO ZA AFRIMMA

Ommy D, Dimondo n Vee
Hongereni sana washindi wetu, Tanzania ina'ngaa, ila msilewe sifa jamani wengine sasa hawashikikii watu wengi wanalalamika maringo yaamezidi, jiulize kabla ya kushangiliwa ulikuwa nani katika jamii shukuru na mheshimu sana shabiki wako kwakuwa yeye ndiye aliyekuweka hapo...

6 comments:

 1. HILO NENO USISAHAU ULIPOTOKA NA NANI KAKUWEKA HAPO
  HONGEREN SANA KWA KUIPEPERUSHAVTANZANIA C

  ReplyDelete
 2. Umewapa ujumbe mzuri maringo siyo dili kabisa!

  ReplyDelete
 3. Anaye fahamu gharama za kupima kipimo cha HSG Mnazi mmoja aniambie, Nahitaji kujua gharama zake kabla sijaenda.

  ReplyDelete
 4. Kweli KAbisa hapo Sintah umeongea point sana. Maringo kando heshima kwa mashabiki.

  ReplyDelete
 5. Unamanisha Diamond?????? maana nkiangalia hapo washindi wawili wala hawana dharau kwa watu wala mashabiki zao huyo diamond ndo anajiona kuwa yeye ndio yeye na hakuna zaidi yake...TanzaniaOne hongereni washindi na ambao hamkushinda it's just the beginning it's not the end tomorrow nayo ni siku nyingine keep the good music alive I respect all our Tanzanian musician yo all doing a good job

  ReplyDelete
 6. Umbea utakuua hapojuu kamfulie mama vigodoro chupizake,maana mkiona dai tu roho zinadundia utosini kilabaya lisilomuhusu umtupie muacheni na tuzo zake3kazileta,tandale wanampenda wenyewe we ukaseme anajisikia kisakaacha kufunua lile shimolenu nyoo.

  ReplyDelete