asas

asas

sintah

sintah

EAST AFRICA, TANZANIA TUNA SHINEEEEE

Hongera Diamond

Hongera my pachaaa #Gemini power

13 comments:

 1. Sijutii kuwa Team Daimonds, hapa kazi tu... team KUMANYOKO mtajijuuuuuuuuu

  ReplyDelete
  Replies
  1. team kumanyoko ndo nani

   Delete
 2. hahahahahahahahaah team kuma nyoko

  ReplyDelete
 3. team zari njooni basi kha mpk saa 11 hii sms 2 tu kha

  ReplyDelete
 4. hongera diamond, hongera sana

  ReplyDelete
 5. anaongeza matoy ya tifaa, hongereni team KUMANINA.

  ReplyDelete
 6. hana kiki vifuuu tu vya kuchezea hivyo, team wazee msipanik bure.

  ReplyDelete
 7. mie sioni ka kuna team yenye hadhi ya kujilinganisha na diamond. ni kama vile mtu alinganishe Barcelona na coastal union..Come on!

  ReplyDelete
 8. haya nendeni aerport mkakimbizane ili mpigwe picha Doma akirudi kwake anawacheka mnavyo tokwa mijasho wakati pesa anachukua yeye. mijinga mkubwa

  ReplyDelete
 9. punguzeni wivu wajameni, mwenye cfa yake mpeni, mond ametisha sana mbona huyo wa kwenu hajapata hata moja. atasubili hizo za kupewa na ktm. mda wake umekwisha, sasa ni mond tuuuuuuu, mtaisoma number mbona. hongera sana diamond, hayo ndio matumda ya jasho lako,

  ReplyDelete
 10. air port tutaenda, kama ni jasho wacha litutoke..mmejaa chuki tuu zisizo na maana.huyo kibakuli km angefanya vzuri naye angecfiwa, tatizo amekalia majungu tuu. mwache aendelee kulala, mond mbele kwambeleeeeeeeeeeeeeeee

  ReplyDelete
 11. mwenzenu akitoka nigeria anaenda kulala na zarina mtasubili sana aeropot,daa zari kajishusha ku date diamond,kweli mapenzi hayana mwenyewe.

  ReplyDelete