asas

asas

sintah

sintah

FURAHIIII DAY NEWS...

Hellowz

ikiwa leo ni weekend naomba tujadili kero mbalimbali za taifa hili zinazokusibu kiasi kwamba ungemuomba Mh Rais azifanyie kazi mara moja, naomba usitukane kwali tunajenga na si kubomoa, kama umeguswa kwa namna moja ama nyingine jiunge nasi katika comment  tuzungumze kero katika jamii yetu,....

34 comments:

 1. mama barry wa shy twnNovember 12, 2015 at 7:26 PM

  Kero yangu ya kwanza ni ule msemo wake wa hapa kazi tu msemo u sasa ni shida kwa wananchi toka ameapishwa vitu vimepanda bei kwa kiasi kikubwa ukiuliza unaambiwa apa kazi tu,ukija bili za maji na umeme zimepanda bei yani mi nimeletewa bili ya maji unit ni zilezile ila kuna ongezeko la elfu 10 nzima nauliza naambiwa apa kazi tu,haya vibaka,majambazi na wezi wamekuwa wakifanya uhalifu kwa msemo uo uo,kingine badala ya kufukuza wafanyaka wa serikali ni bora angewapandishia mshahara coz rushwa inafanywa ni kwa sababu mishahara ni midogo na akuna asiyependa rushwa tena atakaowaweka wana hasira ndio watakula mara 2 raisi abadili mishahara ya wafanyakazi wa serikali na makampuni watu wapewe mishahara itakayokidhi mahitaji yao,utakuta mtu anateseka na ni mfanyakazi maisha yamekuwa juu wafanyakazi waongezwe mishahara,kwenye makampuni binafsi afwatilie kuna makampuni yana unyanyasaji wa wafanyakazi na viongozi wa serikali wakipelekewa malalamiko wanapokea rushwa awafwatilii,mwisho izi hosp za serikali mbona malipo ni kama tu private kwa mwananchi wa kipato cha chini hawezi kulipa matibabu aliangalie ilo nimesahau na TRA pia aangalie wapunguze kod ya mapato bathi ijumaa kareen

  ReplyDelete
  Replies
  1. una mawazo mazuri sanaa dear, nimekupenda buuuuureeeeeeeeeeeeee....

   Delete
  2. Hakuna icon ya like..ningeweka mawazo mazuri sana hata kina mama sokoni wamepandisha vitu beli ukiuliza unaambiwa Hapa Kazi Tu

   Delete
 2. mm nakerwa tu na Mheshimiwa anavyovamia ofisini kwetu. Hapa nilipo sina amani, siwezi kutoka kwenda lunch hata kwenda ofisi ya jirani kupiga umbea. Hapa nimepungua kgs 5

  ReplyDelete
  Replies
  1. Shoga umechanganyikiwa unahitaji huduma
   Huyo Raisi gani asome kablog umbea kaa chako
   Hayo magazeti ya udaku tu hasomi

   Mtafute Wolper akupeleke kwa mchungaji wake upungwe pepo
   Au mtembeleee instagram utaona ni mchungaji gani anamtoa pepo

   Delete
  2. hhahaahahahahaaaaaaaaaa ndio ukome, ukitulize ufanye kazi..

   Delete
  3. hovyoooo, umeajiriwa upige umbea au ufanye kazi? nyie ndo mnarudisha maendeleo ya nchi hii nyuma. unalipwa mshahara halafu kazi hutaki kufanya. me nampenda rais kwa hii style yake wacha awakomeshe

   Delete
 3. mi nakerwa na watu wazembe ambao hawatak kufanya kaz , pia nakerwa na wala rushwaa

  ReplyDelete
 4. Kwanza hahakikishe rushwa inapungua kama si kwisha, foleni barabarani, foleni mahospitalini madaktari waongezwe na kulipwa vizuri wasichepuke kwenda privarte, huduma ya maji jamani huku kwetu gongo la mboto inafika lini? tunaumia mno! AJIRA kwenye wizara nyeti tunataka hata sisi watoto wa wakulima tukafanye kazi huko tunaweza sana, yaani zitolewe kwa haki, aimize manispaa kuzingatia usafi wa mazingira jamani takataka ni kero mitaani hasa uku kwetu majumba sinta kama hatuna serikali ya mtaa vile nazo akazitembelee wanajisahau sana ni hayo tu.

  ReplyDelete
 5. kero kubwa ktk jamii yetu ni wewe sinta. unafki ,umbea,wivu na roho ya kipare imekujaa sana. tunaomba uhamishwe somalia hahahaaaaaa, kidding bt i mean it. lol

  ReplyDelete
 6. me nauliza swali hivi roho ya kipare ikoje maana kila siku humu watu wanawalalamikia wapare kuna ukweli wowote hapo maana nataka kuolewa na mpare jamani!!!! hebu fungukeni

  ReplyDelete
  Replies
  1. Watu wangapi nae ni mtu mmoja huyohuyo sijui aliibiwa bwana na mtoto mkaree wa kipare hahaaa. Hebu waacheni wapare kwanza kaka zao wanajuaje kucare sasa uwiiii

   Delete
  2. Shosti kama unaamini yanayosemwa humu basi utakua na matatizo makubwa. Kwahiyo unaamini wanyaturu wote ni malaya manake humu kuutwa kuwananga wanyaturu kila ikija topic ya Wema.
   Inavyoonekana humpendi kwa dhati huyo mchumba wako ndio maana unataka ushauri kutoka bloguni kuhusu tabia za kabila lake.Haya basi olewa na mtu wa kabila analotoka rais mpya ukitegemea atakua mchapa kazi��. Pia Humu humu huwa wanamsema Wolper kuwa ni mchaga gani sio mtafutaji, sasa ndio ikufungue macho kuwa hiyo inaitwa stereotype..ingekua real wazungu nao wasingeoa blacks manake kuna stereotype kuwa black people are criminals.

   Delete
  3. Wapare ni watu wazuri mno ni watu wanaojitu ma kwa kifupi si tegemezi. Ni watu wazuri kwa roho japo wapo wabaya kama ilivo kabila lolote. Na wanajali sana elimu. Tatizo lao moja hawa kubali kuonewa, Yaani kwenye hili atauza ngombe akomboe kuku. So go ahead n have fun bibiarusi

   Delete
  4. jiandae mawifi kusapoti mchepuko wa kaka yao

   Delete
 7. Ndo mana ukajiita kichwa panzi, jina lako linatosha tu kupuuziwa... nyumbu we. ... huna la maana uanlofanya kazi kuandika ujinga tu humu .......... kwanza unampa tu umaarufu mwenzio km hujui,

  Middle figure for you bitch#

  ReplyDelete
  Replies
  1. middle finger kwenye tako la babako

   Delete
 8. Mimi kero yangu kuna watu wa chama fulani toka Mhe. awe rais wamejikweza utafikiri wao ndio raia na sisi wengine vikaragosi, yaani mhe. wetu (upinzani) akiongea kitu tu, mitusi inawatoka utafikiri kawaulia wazazi wao!! sasa namuomba Mhe. JPM atumie fulsa hii kuwaonya hawa watu wa chama lake!! maana alishasema atashirikiana na wapinzani kuijenga nchi, tena tuache itikadi pembeni tujenge taifa letu... sasa hawa jamaa wanakuwa vikwazo maana usikohoe utasikia hapa kazi tu!! ebu awakemee watulize munkari zao!! maana hiyo sera ya mabadiliko wakumbuke sisi ndio waanzilishi wake. Peoples Powerrrrrrr

  ReplyDelete
  Replies
  1. Point Mdau, yani hadi wanakera na kukwaza juu. Cha kusikitisha wengi wanaotumia huo usemi wa hapa kazi tu ni majobless namaanisha hawana kazi sasa hiyo kazi tu sijui inakuwaje vile? Uchaguzi umeishapita tujenge nchi yetu, Mungu ibariki Tanzania

   Delete
  2. asante mdau.. wanakera sanaa... powerrr

   Delete
  3. Na wanaosema power, wanayo hiyo power? Hebu acheni, mtenda akitendewa, hujihisi kaonewa, si mlikuwa mnatamba nyie na mitusi na mafujo yenu, mimi sina chama, ila hiyo mikero, mifujo, mineno ya shombo imenifanya mpk nimelichukia hilo lichama lenu na Gwajima wenu

   Delete
 9. Kero yangu kwa wasichana wadogo kufanya umalaya na kuiga mambo ya ki magharibi inaniuma sana wadogo zangu jitunzeni kuna maradhi...

  Heshima inaanza kwako mwenyewe vipi mwenyeo unajiweka ukiwa hujali utu na thamani yako hakuna atakae kuheshimu

  ReplyDelete
 10. hongera mdau agiza supu nitakulipia.
  watanzania wote wanatakiwa kufuta tofauti zote za uchaguzi hakuna haja ya visasi

  ReplyDelete
 11. hao wanaosema hapa kazi tu! waulize wana kazi gani? vip kiwango cha elimu, washajenga au wamepanga? washatoka kwa wazazi wao au wanategemea kula kwa shikamoo? kama bado sasa kazi gani??

  ReplyDelete
 12. Unaelewa maana ya "peoples powe"r au unajiongelesha tu!

  Kwanza mngeandama hadi kwa mwenyekiti wa lichama lenu la kaskazini awape mgao wenu ktk ile hela aliyoitoa mzee mamvi kununua nafasi ya kugombea uraisi.

  Km kawaida kidumu chama cha mapinduzi na tutaendelea kutamba na kujigamaba, mkivimba mkipasuka mtajijua wenyewe,,, .. kipindi mnafanya siasa za ushabiki mlitutukana sn tulishindwa hata kuvaa sare zetu za chama kwa uhuru kwa sabb yenu afu leo eti tumekuwa kero kwenu!! shame on you

  Mabadiliko tulishayafanya siku nyingi nyie mna copy na ku-paste,... na sijui 2020 mtakuja na sera gn au mtasubiri tn makombo yetu yawe chakula chenu!!!

  Mabadiliko muachie kinyonga,#Hapa kazi tu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kweli watu walinyanyasika sana wkt wa campaigns, hivi hawa wanyanyasaji walikuwa na uhakika gani? Sasa mmeona kama mungu si athumani? Kuna msemo unaosema, the one who laugh last, laughs longer, sasa ndo waelewe ili siku nyingine wajifunze.

   Delete
  2. Siyo kwamba tunawaogopa! ila heshima inatakiwa iwepo kwasababu sera ya mabadiliko ambayo Mhe. anaitumia ni sera ya EDO upo hapo...
   maana ya Peoples Powerrr (sauti ya wengi ni sauti ya Mungu). Tunachotaka kuheshimiana.

   Delete
  3. Ss km ni sauti ya wengi mbona mwenyekiti wenu alipiga hela peke yake!!

   Heshima ilishavunjika toka kipindi kile mnatuzomea tulipokuwa tunapita mitaani na jezi zetu za kijani na njano... ss hv kazi tu!

   Muanze kutengeneza kwenu kwanza afu ndo muangalie na kwa wenzenu nyie wenyewe mmeshindwa kuheshimiana .... tumeshuhudia juzi hapa kwenye ubunge wa viti maalumu yani mnapeana peana tu ... li chama la CDM halina maadili halina katiba, halina sera yan mpo mpo tu na siasa zenu za mihemuko!!!

   CDM hakuna upinzani wa kweli hata kidogo kilichopo ni makelele tu, huyo EDO ni mpigaji, tulimshtukia na tukamkataa,,,, alipokuwa CCM alikuja na sera yake ya safari ya matumaini baada ya kununua nafasi CDM akaja na sera ya mabadiliko,,,,, ndugu sifa ya kwanza ya mpigaji hubadilika kutokana na mazingira penye maslahi ye ndo huwepo siku zote .

   Delete
 13. Kwanza ningependa afanye mabadiliko kwenye mahospital aaajili madoctor wa kutosha maana utakuta kama Amana hospital wagonjwa mpo wengi ila mzalishaji ni mmoja nilishuhudia watu wanazaa peke yao na mimi pia ni mmoja wao hadi nilipomaliza ndio doctor akaja kunisaidia nashukuru m/mungu nilikua salama ila nilipoteza mtoto wangu na doctor anakwambia kabisa jitahidi uzae ukimaliza niite

  ReplyDelete
  Replies
  1. Duuuu...jitahid uzae ukimalizacniite?? Lord have mercy

   Delete
  2. Pole mwaya, Raisi wetu ameshakusikia na anaifaham changamoto hiyo nina imani ataifanyia kazi ili kesho ushike mimba tn na ujifungue salama, I'm truly sorry for your loss.

   Delete
 14. jamani naulizakuna mtu alisema bunju kuna mganga kipofu ni wapi nisaidie anaitwa nani

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mrudie Mungu wako ww, nyoooo ndo mana huolewi.

   Delete