asas

asas

sintah

sintah

HONGERA JOJOHongera Jokate kwa kushika ujauzito na ukaribie katika shughuli za umama, ila  uwapende watoto wa hubby kama wako kwani ukipenda boga penda na uwa lake..... Hongera baby mommma mtarajiwa.

22 comments:

 1. mwacheni ajizalie jamani naona wazazi wameweka ngumu ilobaki ni kujibebea mimba tu. Bora wangewaruhusu kufanyike bonge la harusi waweke kumbukumbu nzuri. sasa matokeo yake ndo yamekuwa hivi..hamtaki tuoane basi tutazaa! Hongera sana Jokate, raha ya mwanamke watoto! Usipojaliwa wako hata wa ndugu waweza mlea kwa mapenzi tele.

  ReplyDelete
 2. I wish angesubiri ndoa ndio abebe mimba. isije ikawa anaongeza tu idadi ya mababy mama wa kiba. ila namuombea Mungu amsaidie waoane

  ReplyDelete
 3. atajibeba binti mremboo kuandamana na yoyoo ambayo haina hata banda la kuku, huyu malaya angetulia angepata mwanaume wa maana mnoo tena CEO flani hivii angenoga mnoo sasa kabanana na hilo bwege linalokula kwa mama tena kariakooo mfyuuuuuuu…… iko siku atajuta mnooo bora zari yeye kahifadhiwa kwenye jumba la maana kuko south tena mjumba msafiii kama ikulu hata wale waswazz wa mond wakileta zao bibie ana kwake full time….. na sio ati kijichumba nooo ni lijumbaaaa, nyie vibinti wa bongo jitunzeni mpate wa kuwahifadhi vyema na sio mnaishia kupangishiawa kijichumba kunya kwa foleni he he hee kazi manayo.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Haya. Pumua sasa mama naona ulikuwa na mzigo mzito rohoni unakusokota naona umepata pa kuutua

   Delete
  2. shika adabu yakio mayala mbwa weye mzigo mzito anao huyo mbwa mwenzio asojitambua nenda kashee naye bolo na huyo zoa zoa mwenzake mwenye watoto kila jimbo mamayeeee hamjitambui nyie maku maku siku mkijitambua mtajutia maamuzi yenu ya kimavi maviii mxiuuuuu…… kenge mfu wahed ukamkoti mamako

   Delete
  3. Mapovu yanakutokaje hahahahahaha ni stress za kuachwa? maisha magumu? au haujapata bolo kwa muda mrefu hahahahahaha pole sana

   Delete
 4. Hongera sana Jojo Mungu akubariki na wanawake wote wanaotaka watoto wabarikiwe.
  kwani kikubwa atulie tu asiendelee kuzaa kwa kila mdada na wewe uwe mvumilivu

  ReplyDelete
 5. Raha ya kuzaa ukute mwanaume au mwanamke hana mtoto wote mnakua na furaha moja lakini ukishakuta baby mama waliokutangulia hakuna raha yoyote ndio nishasema Jokate ningekupa kaka yangu muanze wote maisha

  ReplyDelete
 6. Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu

  ReplyDelete
  Replies
  1. huyu kunguni jike kadumbukia choo cha shimoo… nukaaa….

   Delete
 7. Tumuache Jojo historia inaonyesha akishapenda huwa haangalii wala hasikii aliyemvamia halali yake

  ReplyDelete
 8. Tanzania bwana, yaani huyu ni star naye? Wekeni vitu vya maana vinavyo eleweka siyo kuandika tu anything. Kama huyu change anataka kuzaa bila ndoa hiyo ni shida yake. Wengi wanaanzaga hivi hivi, kuzaa tu wanaume tofauti na kutupwa baada ya maziwa kulala kisha wanabaki kuchezewa na wanaume mwishowe wanakuwa bitter.

  ReplyDelete
 9. tatizo hajielewi na kutaka ustaa mavi, jojo ni wakuzaa na kiba kweli??nini umuhimu wa elimu yako kama huwezi kutofautisha kati ya tui la nazi na maziwa? poleee jojo pole sana mamii

  ReplyDelete
 10. Jamani nashindwa kujielewa ivi nilazima mtu akiwa kwenye mausiano kwa mda mfupi Abebe mimba? Mnayajua mazara ya kubeba mimba paaipo kuwa na mpangilio? Jamani mtoto anaitaji matunzo nasio kumzaa na kumwacha kwa bibi yake alafu unasema bibi ndio ataye mlea no, mtt anakuitaji wewe mama yake, anaitaji dawa, malazi matunzo na time pesa shule nzr , na mengineonmengi tu kama kusomea adithi na vitu vingine vingi sana , mnazaa na kuwacha watoto wakitabika kisa sifa za kisenge, jaribu kufikira kabla amajajibebea mimba zisizo kuwa na baba, mwishoe amna pesa za clinic , Sina ugomvi bali nimewakumbusha tu msije tuongezea Omba omba tz na watt wasio na family

  ReplyDelete
  Replies
  1. Maneno pambee.. bora uchelewe kuzaa lkn ukawa na uwezo wa kulea mtoto fully

   Delete
 11. Of ol the guys yani jojo na elimu yako nikajua bonge la mjanja, nikajua una akili utatulia uje ufunge ndoa na mtu wako wa maana kumbe na wewe ni wale wale unaganga na wasanii wasanii wenyewe hit and run dakika mbili mbele leo skendo hii kesho hii, ulikuwa na haraka ya wapi? did you pray well and settle with God au umekurupuka tu, mwanaume mwenyewe ana lundo la watoto na baby mamaz, are ready for baby mamaz drama,anyway who am i to judge ni maoni yangu, kama nimekukwaza nisamehe sana. we still love you jojo. rethink n rethink, repray n repray. love is blind-confirmed

  ReplyDelete
 12. Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu,kutenbea na mare machache unashuka mpaka kwa kiba???na degree ya choo kikuu?kiruuuuu

  ReplyDelete
  Replies
  1. yani hili limalaya koko halijitambui elimu aijamkomboa nnini kutoka na hayo matap tap?

   Delete
 13. kwani mbona nyie mnakua na opition sana kwenye maisha ya wengine if we only mind our own this world would be a better place
  let us be happy for each other nyie mnae sema sijui elimu sijui ujanja kwani huyo ali kiba sio mwanaume jamani jamani mapenzi nikama majani huota popote let them be
  if she is prego congrats to both kiba and jojo the rest hayatuhusu wacheni watu wapendae mweh

  ReplyDelete
  Replies
  1. Yaani umeongea POINT

   Delete
  2. Swadakta mapenzi hayana mwenyewe waacheni kikubwa tuwaombee waweze kuoana tu kwisney hapo kuna watu wanatamani lakini hawajapata bahati hiyo.

   Delete