asas

asas

sintah

sintah

IJUMAA KAREEM


33 comments:

 1. vip hiyo ni nyumba yako au yakupanga???? kama yako hongera ndg pazuri

  ReplyDelete
  Replies
  1. mwenzetu huna macho??hiyo sio nyumba,imekaa kama bar vile na viti vya plastiki..hongera mwaya sinta kwa kupiga picha bar

   Delete
  2. Sintah usije ukatulipua siku hizi kuaminiana kwishney

   Delete
  3. amlipue nani? atajilipua mwenyewe ka alivolipuka kwa mkorogo. jini si jini mwarabu si mwarabu alimradi tafran..

   Delete
 2. Umependeza. Kwa kujiongezea kipato follow the link. http://theyouthjob.com/?ref=8835

  ReplyDelete
 3. Jumaa l Kareem .
  Hayo ndo maisha kuliko kuwaza ya wenzako
  Ijumaa njema Mola akupe imani uachane na na kuandika vibaya ya wenzako

  ReplyDelete
 4. Sinta mpenz kwani mumeo ni muislam au ni baibui tu hilo umevaa kama fashion....

  ReplyDelete
 5. Mwenye file la sintah aje alitililishe hapa pliz.

  ReplyDelete
  Replies
  1. hhahahaha. sintah akishaona wadau wametiririsha file lakee hato post.

   Delete
  2. hhahahaha. sintah akishaona wadau wametiririsha file lakee hato post.

   Delete
 6. MASHAALLAH MWANAMKE STARA

  ReplyDelete
 7. hahahaaa sio kwa sugu ya mkorogo vidoleni.

  ReplyDelete
 8. shikamoo mkorogo hahaa

  ReplyDelete
 9. Jumaa Kareem
  Tunaamka na mapya hawa ISS wanatuchafua waislam hivi mi kwanini ?
  Kama wanaamini pepo ipo kwa kuuwa wangerid kusoma vizuri
  MALI nako kumechafuka
  Mola hana hasira sijui kwanini BINADAMU hatuna imani
  Tutangaze amani pepo inapatikana kwa mema tuuu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Asante mdau kwa hili
   Mungu atupe imani

   Delete
  2. Well said mdau ISSI wanachafua jina lote la usilamu majangili wachache wenye chuki binafsi na binadamu wenzao wakikuta mahali pana neema na furaha watavuruga kwa jina la Yesu washindwe na walegee

   Delete
  3. Shosti 3:30 imefika wakati waislamu waanze kuwakemea Iss wanatumia kivuli cha dini kufanya uhalifu

   Delete
  4. vita kuu ya tatu ya dunia inachungulia..mngeanza kwa kuwakemea al sababu kule kenya. mmekaa kimya. sasa ufa umeshindwa kuzibwa kuta hiloo laanguka. siku za mwisho ndo hizi. Tubuni muingie peponi.

   Delete
 10. UNACHEKESHAGA SINTAH! MBONA HUJUHI KUFUNGA USHUNGI? UMEKABANA KAJICHO KAMOJA UTAFIKIRI UMEBANWA NA MLANGO! FYUUUUUUUUUUUUUUUH!

  ReplyDelete
 11. Replies
  1. Hongera kwa mashavu kushuka. Kibibi kizee mikorogoro na roho mbaya kwa kusema hasa wanawake wenzio. Msonyoooo

   Delete
 12. Kwan ni is tu al shabaab al quida boko haram wote waislam shda iko kwenye iyo dini wanataka dunia nzima iwe ya waislam na awataweza kwa jina la Yesu

  ReplyDelete
 13. haya Sinta sema basi shoga yako bi mavuzi kashanyanganywa bwana na Kajala. toboaaaaaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kajala hanasifa zakuwa na dai atalalwa na kufirwa nakuachwa kama Shoga yake wazamani michirizi,dai siomjinga kama mnavyofikiri,endeleeni kujichosha mkisubiri waachane na zari kisa kajala Au mikundu mingine ya ustar mavi.

   Delete
 14. KAJALA KASHAMCHUKUA DAI. SINTA UPOOOO! AU UTAKAA KIMYA?

  ReplyDelete
 15. sinta jamani huo ushungi ulivyoufunga....ngachoka

  ReplyDelete
 16. inawezekana uislamu sio dini mbaya labda tu kuna mahali aliyeileta hii dini alikosea hasa katika mafundisho like an eye for an eye, ear for ear kafiri, hating non muslims, haramu, killings/suicide and the like wakati ingetakiwa apreach peace from the beginning of introducing islam the world cud be a better place, ni maoni yangu tu samahani kama ntakuwa nimemkwaza mtu

  ReplyDelete
  Replies
  1. take your time to read islamic teachings in deep, as for now you are totally wrong.islam means peace do not confuse some muslims behaviour with islamic teachings.islam is perfect and complete way of life.if you have azam decoder watch MTA you wil learn alot about islam and peace, islamic treatments to non muslim etc.

   Delete
  2. take your time to read islamic teachings in deep, as for now you are totally wrong.islam means peace do not confuse some muslims behaviour with islamic teachings.islam is perfect and complete way of life.if you have azam decoder watch MTA you wil learn alot about islam and peace, islamic treatments to non muslim etc.

   Delete
  3. take your time to read islamic teachings in deep, as for now you are totally wrong.islam means peace do not confuse some muslims behaviour with islamic teachings.islam is perfect and complete way of life.if you have azam decoder watch MTA you wil learn alot about islam and peace, islamic treatments to non muslim etc.

   Delete
 17. Sintah sijui kwnn unajikondesha sana unapoteza uzuri wako asilia..Enzi zile za kaole ulitikisa mbayaa mana ulikuwa mzuri ww nora na nina..ss hv sikuelewi

  ReplyDelete