asas

asas

sintah

sintah

RAIS MAGUFULI AFUTA SAFARI ZOTE ZA NJE


Jamaniii mbona raha hakuna kitu ninachofurahia sasa kama kupunguza matumizi ili Nchi irudi katika mstarii, nawaona wafanyakazi wa serekalini wanavyonimindi ndiwooooo, hebu fikiria mwanawani kodi tunazolipa za mishahara, magari, sijui road license,   insurance imepanda khaaaa wananchi wa kawaida tunabanwa sana na kubanika hata hatujui tupumulie wapi, ili kudhibiti matumizi ya hela ili afanye yale aliyoahidi anaaanza na zile safari ndogo ndogo za kujitungia no moreee, safi sana Mh Rais, sisi walala hoi tunaburudika sanaaa, hebu niambie mpaka sasa wewe hujafurahia mambo anayoyafanya Mh Rais? na kipi kingine unataka Magufuli akifanyie kazi , tundika comment yako hapa, tinga tinga ameshaingia ikulu watamjua yeye ni nani.....

3 comments:

 1. ununuzi wa mashangigi serikalini afutilie mbali anunue magari ya kawaida kama toyota HILUX Yako vizuri kwa masafa marefu na posho za wabunge apunguzekwani nao wana mshahara kama watumishi wengine otherwise namtakia utendaji mwema mungu atamsimamia.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Sense, sense, sense...yaani wewe umeongea vitu vyenye akili. Na wewe nakutakia utendaji mwema.

   Delete
 2. Na mishahara waangalie upya maana kuna watu wanalipwa hela nyingi sana wakati wengine wanalipwa kidogo.Kuna wakubwa wanalipwa mshahara 3700000,posho ya nyumba 600000,umeme 260000 na simu 230000,anapewa na gari ya kutembelea.Halafu watumishi wa ngazi ya chini ndo wanaumia zaidi na kazi na salary ni ndogo na hawana motisha yoyote.Kwakifupi fedha zinaliwa na walio juu tu.Hili muheshimiwa alifuatilie sana.Watu wa chini wanaumia sana serikalini.

  ReplyDelete