asas

asas

sintah

sintah

RAIS MPYA NA TANZANIA MPYA (HAPA KAZI TU)

Rais John Pombe Magufuli

amekabidhiwa mkuki na ngao
Rais na makamo wa Rais
byebye Jk we shall dearly miss you

Serikali  ya awamu ya tano  imeanza kazi na kauli mbiu yake hapa kazi tuu, na tayari imeshaanza kazi na kuteuwa mwanasheria mkuu wa serikali ndugu George Masaju, na shughuli za bunge kuanza  Dodoma tarehe 17th November , na atakwenda Dodoma na jina la atakaye pendekeza kuwa  waziri mkuu na kiongozi wa serikali bungeni.... hapa kazi tuuuu.....

5 comments:

 1. we shall dearly miss you mfyuuuu… sema utamnisi wewe hapo siwezi kummisi mzee wa mtrip bin visasi ati maisha bora kwa kila mtanzania nyoo kule mvomero morogoro watu wanashea maji ya kunywa na wanyama machafuuu full taifodiii na bado .. halafu slogan mpya hapa kazi tu ngoja tuone manake maisha bora yamebuma kila kona except kwa mafisadi na watoto wao hata wewe unajua sema we ni panya buku unauma na kupuliza… usibane hapa ni kazi tu he he heeeee….. vipi huko bongo leo kuna umeme?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Koma wewe, we unavyobeba hiyo mibox yako sio kazi? Ndio Sintah atam-miss we hutaki, hebu kafie kwenu huko. Mnahasira eeh? Na mtakasirika, vimbeni hata mpasuke, ila rais wa URT ni JPM, upo nyonyoooo

   Delete
  2. Koma wewe, we unavyobeba hiyo mibox yako sio kazi? Ndio Sintah atam-miss we hutaki, hebu kafie kwenu huko. Mnahasira eeh? Na mtakasirika, vimbeni hata mpasuke, ila rais wa URT ni JPM, upo nyonyoooo

   Delete
 2. Asante kwa kutujuza tarehe ya bunge kuanza ili nasie tujipange vizuri tu tayari kwa msafara wa Dom kukamatia vigogo wapya na wa zamani. Shukrani sana kwako mamaaa wa bulogi..wachape kazi tu sie tuwasaidie matumizi..

  ReplyDelete
 3. Tingatinga lishatinga ikulu wizara ya fedha macho yanewatoka hongera sana jembe nakuaminia sana

  ReplyDelete