asas

asas

sintah

sintah

SELFIE AMA VEPEEE?


Hizi social media hizi zinatupeleka puta na huyu naye anamtumia baby wake eeeeh basi sawaaaaa......

21 comments:

 1. OOT: Jamani mwenzenu nina-boyfriend mpya. Huyu kaka tunawasiliana sana kwenye simu tuuu, maana tunaishi mikoa tofauti. Yeye Rukwa mie Morogoro. Sasa anakuja kunitembelea. Nipeni dos and donts nisiharibu mwanamke mwenzenu. Yani jinsi ya kuishi nae hizo siku nitazokaa nae. Maana kwa kuharibu huwa sijambo. Nitampoteza hivi hivi. Lengo ni kuwa nataka aone nafaa kuwa mke. Walau na mie nije kutangaza harusi, nazeeka mwenzenu. Matusi yawekeni pending kwanza. Ushauri tu ndio nahitaji.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mkapime Ukimwi kwanza sio ukalie kujiandaa tu.Utakufa bure kwa kuforce ndoa

   Delete
  2. Ni inbox kibaridi@hotmail.com

   Delete
  3. mh haya ngoja nikupe yangu machache hapa..kwanza kabisa usafi kuanzia kichwani adi miguuni. make up usijisilibe utamchafulia nguo mbaba wa watu. uko kunako majamboz ambako ndo main point ya nyie kukutana kushughulikie ipasavyo. una vuzi nene lipunguze. najua utakuwa tayari unajua mwenzio anapenda nini..kama anapenda msitu haya..ka anapenda upara haya kama anapenda kibwenzi mpatie..muda wa matayarisho si unao bana. kichupi kipige perfume kwa mbaali then kipige pasi ndo huwa kinanukia muda mrefu. epuka kumpikia miharagwe siku ya kwanza. mtachafuliana hewa humo ndani adi msitake kuonana abadan. kunywa pombe kwa kiasi na uepuke kuropokaropoka atakuogopa. But cha muhimu ni be yourself. usipretend kuwa someone else..utaharibu. Kabla ya ku do osha k na maji baridii itabana na kumpagawisha ikiwezekana anza kufanya mazoezi ya kulamba koni..kama unaamini ni mzima wa afya lakini..siku ya siku onyesha ujuzi wako. usisahau korodani..gegedaa wee adi usikie anatoa mlio fulani then ndo unakurupuka sasa kumpa kile ulichomuandalia. Usisahau kinga shosti ni muhimu mnoo..pekupeku mtatembea mkishapimana na kupata majibu. asikudanganye kwamba kapima utajalia kilio cha mbwa mwenye ukame wa karne si unajua wanavoliaga!! Last but not list tumia ufundi wako wote kumdatisha kwani The first impression lasts..ukifanya haya nakuhakikishia mwakani unavaa shela kwa miraha yako..itakuwa ni kwaheri wana sintah kuolewa majaliwa aiyaya kuolewa nitarudi kwa sintah kuperuzi..

   Delete
  4. Asanteni wadau, hasa mdau uliyenishauri kuhusu kutopika maharagwe... hahhahaha.. umeongea maneno ya busara sana. Nakushukuru mnooo. Nitazingatia yote. Na hilo la UKIMWI duh!! atanikuta nimeandaa condoms zangu kabisaa. Mbarikiwe.

   Delete
  5. Wee shosti wa 2:48 haloo haloo shosti nilikua naburudika sikutaka hata uache kutiririka umegusa kila kona ya dunia usafi wa mwili na chumba unachokaa mashuka yafuliwe, ya maharage ni funga yote maharage hayana heshima wala hayajui vibaya shoga kazi kwako aiyaya kuolewa nitarudi kwa sintah kuperuzi

   Delete
  6. Tuongee yoote la kulamba korodani na koni simoo kichefuchefu bye

   Delete
 2. Unatafuta kiki
  Mungu akubariki usijemtoa mke wa mwenye bado bado AU watoto wa uswazi
  Watakufunza my dear
  We unaamka anatafuta negative ...,hutoishi positive Sintah

  ReplyDelete
 3. wewee!! wewew hapo ndani ya sink! toa viatu unachafua sink la watu! toka huko kavue nguo na viatu ujiself ukiwa unaoga kama shida yako ni kuonyesha una/wanasink!

  ReplyDelete
 4. Huyu nae jamani khee! hahahaaa duniani kuna vituko khaa. Jamani hapa nilipo nacheka mie adi machozi yananitoka. Anaitwa nani huyu shosti nimtumie Ipad azidi kuniburudisha roho yangu mie haa! kanimaliza sina hamu mwenzenu. Hehehe eee!

  ReplyDelete
 5. huyo hiyo sio selfie inaelekea baby wake ndio amemphotoa.
  dada usiact kwenye mapenzi kuwa wewe mtu akujue mapema aamue hayo mambo ya kuact utarudi tena kutaka msaada humu

  ReplyDelete
 6. Jamani nataka ile DSTV yenye chanel za kina Kim Kadashian

  ReplyDelete
 7. OOT: Jamani mchumba angu alikuwa safarini sasa amerudi tumefanya mapenzi mfululizo siku tatu sasa leo natoka ule ute unateleza mweupe ila umechanganyika na damu, naombeni kuuliza ni kitu cha kawaida au ni tatizo?? Na sijawahi kushika mimba je inaweza ikawa ni mimba??

  ReplyDelete
 8. Jamen Mboni Masimba yupoooo? Bado yupo na mganga wa kienyeji?

  ReplyDelete
 9. SINTAH UNAJUA SELFIE NININI?
  UMECHEMSHA SIJUI UMEAMKA NA STRESSSSSS ZA WATOTO AU HELA

  ReplyDelete
  Replies
  1. tuondolee stress zako nawewe ona unavyopumua kama mgonjwa wa pumu

   Delete
 10. jamani nimemwonea haka kabinti huruma! siyo ajabu anatamani kwao kuwe na sinki kama lile haya maisha jamani,yaani vitu kama hivi vinaonekana kwa baadhi ya watu kama ni vitu vya anasa kumbe kawaida sana.Ingetakiwa kila mtanzania amudu kuishi mahali pazuri na maisha bora lakini kwa ajili ya mafisadi hiyo tutayasikia redio tu labda huyo hapa kazi tu Mungu amuongoze aweze kutimiza haja ya watanzania wenye kiu ya maendeleo.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Na mie nimeona huruma masikini kaona sinki jambo la ajabu duniani kenda piga picha atakua ni housegirl kaletwa mjini kwenye bafu la sinki picha inatumwa kwa mashosti zake aliowaacha mkuranga

   Delete
 11. wewe na boyfriend anayetoa damu sijui na nini! shikeni njia to hospital mkapime magonjwa ya zinaa pengine mwenzio kashayakwaaa nawe pia upime labda kashakupa zawadi hiyo kutoka safari

  ReplyDelete
 12. fundi tiles wa ovyoo kabisaa ayo mengine nakubaliana na mdau wa 7;53 simlaumu uyu dada na pia ushamba uanaendaga na steji uyo ndio kwanza beginner ngoja ushamba wake upate upako atapiga na yeye kwenye vyoo vya hotel kubwa, bedroom, misosi nk

  ReplyDelete