asas

asas

sintah

sintah

SHIKAMOO MIMBA


Kama wewe umebahatika kupata mtoto hebu tupe experience yako mambo yalikuwaje, kwa Kim yeye anasema hahitaji kuongeza mtoto kwani being pregnant is the worst experience of her life wewe je? kununa, kula sana? kutapika?

47 comments:

 1. tuambie wewe na mimba zako za vichochoroni, watoto waliokosa baba mikosi kweli maskini,pole sinta mwayaaa

  ReplyDelete
  Replies
  1. unaita watoto wa mwenzako mikosi wanawake muachege kufuru mtukane sintah mwenyewe watoto wake wamekukosea nini?

   Delete
  2. Kweli mdau. Mambo ya watoto wa Sinta yametoka wapi hapa.....!! Na huyu aliye comment lazima ni mwanamke mwenzetu. Angalia mtoto kama Diamond anavyompenda na kumtunza MAMA yake alafu wewe unawaita mikosi....!!

   Taratibu naanza kuamini adui wa mwanamke ni mwanamke. OMBA MUNGU AKUSAMEHE

   Delete
  3. mwache atukane mwaya, I hope nae ana watoto yeye maana wanae hawana hatia.

   Delete
 2. sasa sintah si ungeanza kwanza wewe kutiririkaa? mie nilitema mate kama nyoka yani nilitemaaaa hadi mtoto alipotoka tuu nayo yakakati ghafla kiru.. utamu sasa ni huku majuu wazungu walikuwa wanashangaa ati wao hawatemagi nyoo kumbe wapo baadhi wanatema sana ila ndo wanajificha sanaa.

  apart from kutema mate sikuwahi kutapika hata siku moja wala kusikia kizunguzungu na sikuwahi kuchagua chakula yani nilikuwa kama sina mimba vile na tumbo langu lilikuwa dogo dogo vizuriii ni hayo tuu.

  haya na wewe ilikuwajee?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tema mate ni janga la Taifa usinikumbushe huo mziki wake

   Delete
  2. Swali langu wanawake wa kizungu wakiwa na mimba wanafanya mazoezi kwa kwenda mbele kukimbia kutembea nakadhalika sisi wabongo ukiwa na mimba tunaambiwa tupumzike wakukute unatembea au unakimbia hata wasiokujua watakupigia kelele wewe usifanye hivyo una mimba, wakukute umesimama wanakupisha kiti ukae ss kufanya mazoezi ni hatari kwa mimba?

   Delete
 3. Mimba zangu zote(3)huwa namchukia sana mume wangu,kutapika sana,nakula vitu vya baridi zaidi kuliko vya moto,chai siigusi mpaka mwisho.Cha ajabu natamani sana kuzaa wa mwisho lakini mume hataki,anadai yeye ndio anapata shida kuliko mimi,mmmh ya dunia.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Uko kama mimi mdau, yani nimebeba vitu vyote hapo juu..kinachoniudhi zaidi ni kutembea na kikopo cha kutemea mate..

   Delete
  2. Ni kwa nini wanawake tunapenda kuficha mimba?

   Delete
 4. Kwaupande wangu namshukuru sanaa Mungu sikuwah kuumwa chochote, sikuwah kumwaa UTI wala malaria, sikuwah kutapika, kuwahi kubagua vyakula nilikula kila kitu mpk pilau, sikukataa pafume lotion ya queen Elizabeth tuu ndio iligoma harufu na sipend mpk leo, niliva skin tait na vitop mpk na jifungua na highl heelz sikuwah kuvaa dera wala magaun halafu tumbo lilikua dogo sijui vile nzao ya kwanza watu wameanza kuhisi ninamimba tayar nina miez 8 mana nilinenepa ikawa sio rahis kujua mpk naenda kujifungua wengine hawajui km namimba......all in all sikupata tabu yoyote kwakweli na siku ya kuzaa niliumwa uchungu lisaa limoja nikajifungua kawaida..........ninachomiss kwenye mimba ni mateke ya mtoto akiwa tumboni ambacho simiss wakawat wa mimba ni ile kulala upande mmoja ubavu tuu na ile mwishon kubanwa mkojoo kila saa ilikua inanikera hasa nikiwa nimelala, ninachoshukuru sikuwah kupata stretch mark sehem yoyote kwenye mwil wangu nikivua huwez ukajua km nimezaa.........so far mwanangu anamiez 11 hajawah nae kusumbuliwa na chochote wala kuumwaa kwakweli am so great fully....Nashukuru mnoo mnoo Mungu kwa Wema wake na upendo wake mkuu......next year nataman tena mimba kwakweli..........all my pregnant sikuwah kuvimba miguu wala presha km ilivyocomon kwa mamaz wajawazito......GOD IS AWESOME

  ReplyDelete
  Replies
  1. Una bahati shogaangu au ndio nyie mnaokulaga mboga za majani na matunda na maji kwa wingi mwili unakua na virutubisho mpaka mtoto akizaliwa virutubisho vinamkinga na maradhi ya hapa na pale wanawake tujitahidi kula chakula chenye virutubisho kuepusha matatizo ya mimba

   Delete
 5. Tuambie wewe Sinta kwanza ilikuwaje kwa watoto wako

  ReplyDelete
 6. Tuambie wewe yako ilikuwaje

  ReplyDelete
 7. si uanze na wewe tena umeingia reba mara 2

  ReplyDelete
 8. She just ask people haters lol.....

  ReplyDelete
  Replies
  1. Shosti umewaonaeh haters kama huna cha kukomenti kajambe mbelezz tuachie sisi tuliobeba mimba tuongelee prego diary zetu mnakera nyie haters topic nzuri mnatoa mapovu

   Delete
 9. Wema ataishia kusikia kwa wanawake wenzie ati kuzaa ni baraka wengi wanatafuta hawazipati ati.......ataishia kuvuliwa chupi na kila mwanaume uwiii danguro la mjini

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wema anawanyima usingizi, sasa hapa wema katoka wapi au ni chuki binafsi amchoki jamani na huyo Wema wenu, inatosha sasa tufanye mengine

   Delete
  2. na wewe je? maneno yanarudi. we haya tu, ujue kama umezaa huna lolote uliwahi fanya kukupa hiyo Baraka ya kuzaa ni MUNGU tu. shauriyo

   Delete
 10. Cha ajabu nini sasa hapo?kuingia labor au?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Yote ya ajabu shosti kuingia labor ni ajabu kwa mwanamke yoyote aliezaa umeleta binadamu mzima duniani lazima iwe ajabu au mwenzetu hujawahi kuingia labor? usituletee za kuleta humu

   Delete
  2. hajawahi ingia labor huyoo mbona atahadithia??

   Delete
 11. Sintah we mbeaaaa
  Sie ndo tukwambie !!!
  Siungeanza zake bwana muosha huoswa
  Andika yako nasi tuandike zetu

  ReplyDelete
 12. awww jamani hadi raha hizo experience natamani na mm mwee .Ila sasa mchumba ambae niko nae na ameshatoa posa ni full gubu yani nimepata kazi nzuri kidogo kuzidi yake na kakipato namshukuru mungu kwa sasa nikaona nateseka na daladala nimenunua kausafiri basi nakoma eti mm napenda maisha ya juu napenda kujionyesha mara simshirikishi katika maswala yangu mweee ni shidaaa jamani hali hyo hatuishi wote nimepanga kwangu ..Haitoshi kaenda kunitangaza kwa ndugu yake eti mm namuona yy hafai mambo kibao nikimjibu hivi mara oooh kwakua umepata basi una jeuri kila nifanyalo namdharau .Wanawake wenzangu tabia kama hizi je tukioana ataziacha?Au ndo najiingiza mkenge ?Kuna mwenye experience na mwanaume mwenye gubu?

  ReplyDelete
  Replies
  1. yani unajiingiza mkenge vibaya mnoo mwanaume mwenye gubu always anakuwa na kisrani limtu ,inaenda kukusema hadi kwa ndugu zake unadhani watakuwa wanakupenda? yani likitokea umegombana na mumeo watakuchangia ukoo wote kuwa hufai kuanzia mwanzo unamg'ang'ania mtoto wao ndo hapoo wataanza kumtafutia mwanamke mwingine kukukomoa.
   halafu kama bado hajakomaa akili huyo ana mambo ya kiform two form two inakuaje akutangaze ovyo wakati wewe ndo mke mtarajiwa? uchumba gani huo sasa? wakati kipindi cha uchumba ndo kudekezana na kupendana kama kumbikumbi hiyo ndoa itakuja kuwa chungu huko mbeni manake jamaa ni mtu wa gubu, heri ukosee kujenga kuliko kukosea kuolewa.

   Delete
  2. hawezi kuacha ana shida kutojiamini kuacha kwake awe amepanda kipato kukuzidi umeshamjua mueleze tatizo unaogopa mafanikio ya mwanamke tushirikiane tujijenge au vepee

   Delete
 13. MM natamani kweli kuzaa ila mwee nina michirizi katikati ya mapaja hadi kero imepasuka na mm wala situmii mkorogo na si mnene nawazga nikizaa si ndo hua inazidi?Si nitatisha yani ukiiona hadi naonaga aibu kuvua nguo mbele za watu mchumba yy kashaizoea lkn inatisha ni mieusiiiiiii na imepasuka hatari kwa kifupi natisha yani nisaidieni walau ipungue

  ReplyDelete
  Replies
  1. shoga kama una vijcent panda ndege ukaitoe india bei cheee, tafuta cosmetic sugery huko india google, panda ndege ya bei chee hadi india. kuondoa hiyo michirizi itakucost maybe dola 700 au nane ikizidi buku. ukiwa na milioni tatu unaiondoa fastaaaa… anza kujibana shost.
   nashangaaa watu wana dai wa pesaa michiri imewajaa kama ramani ya dunia nendeni mkatolewe unakuwa freshiiiiiiii ngozi kama ya kigoli.

   Delete
  2. Umezaliwa na ngozi ya michirizi jikubali shoga ukibeba mimba jiandae na michirizi kuna matangazo ya lotion za kupaka sintah alitangaza humu tafuta ujaribu unaweza kupata ufumbuzi

   Delete
  3. pia me nina products za kuondoa michirizi nipigie kwa 0758499539 or wasap kwa 0768509332

   Delete
  4. acha kudanganya wenzio hakuna dawa wala cream wala lotion ya kutoa michirizi hata laser sugery inapunguza tu haionekani sana, manake michirizi ni sawa na kovu upo weye cha urongoo?!! unataka kuibia wenzio tuu ilhali unajua hiyo dawa feki yako haifanyi kazi, dawa ya michirizi ni sugery tuuu wanabandua hoiyo ngozi yenye michirizi, naandika hapa manake niko majuu na nimefanya, na nilifanyiwa na best surgeon…
   nasema tenaa hakuna dawa ya michirizi dawa pekee ni SUGERY FULL STOP!!

   Delete
 14. huyo Kim naye asijishaue kwani hiyo mimba ndio ya kwanza?? kama mimba is her worst experience mbona hakukomea kwa North west mpssssssssssy kazi ku brainwash watu tu yeye alikua na mpango wakupata watoto wawili wakike na kiume''kijacho'' ndo mwisho wa bajeti yake asiseme haitaji kuongeza mtoto mwingine nadhani kama ni experience ya mimba alianzia kwa North ''helloooow'' au labda kwamfano alizani experience ni nini?hahahaaaaaaaaa well again she just proved how stupid she real is... Beeing educated but not learned.........same as this blogger woman here stupid stupid (^;^)
  peace out

  ReplyDelete
  Replies
  1. umeanza vizuri mwisho umechafua hali ya hewa ongelea brain wash anayofanya kim blogger wetu unamtukana wa nini? na wewe stupid kim education ya stnd seven unaita educated hiyo ishia zako kule

   Delete
  2. We umechemsha ki tanzania .Eti bajeti we unadhani ni TZ .watu wanazaa kwa mpango dada sio kwa kuwa anahela basi azae tuu.
   Mimba zinatofauti unaweza kubeba mimba ukasema sizai tena hilo ulijue. na ukumbuke yy ni star na wana reality show yao anapoongea kitu mapaparazi kaa kina Sintah wanakiweka blog na kuhusu kuhadithia mimba mbona hii story ya siku nyingiiiii
   mwacheni sintah aendelee kuwaweka mjini
   kama unavisent ktk simu yako
   ingia google usome utajiri wao kisha uandike kuhusu bajeti
   mfyuuuuu

   Delete
 15. girl please....................

  ReplyDelete
 16. kuingia labor kwa mara ya kwanza ni maajabu but second time its just experience the more you have kids ,
  the more you experience

  ReplyDelete
 17. hapa walipaswa waongee wanawake waliozaa period! maana ndo wanajua wthat they went through otherwise if your a woman and you don't have a child stay aside please

  ReplyDelete
 18. yeeeeep kim we are waiting our black baby boy honey can't wait to due date December 24 blessed my kanye your a man.............

  ReplyDelete
 19. kim hajishaui wala nini sema she's a reality celebrity star so whatever she gonna do it, its gonna be into news I wonder somebody try to compared her with kim girl please its not even close.do you know how much she worth?and her worth its not coming from kuhongwa honey she work her butt off..........by the way she own starbucks in 7 different European countries apart from dash store she has..........that's how a man does to a woman that's all, so keep chuna buzi wema may be into 10 years you might be like her but I don't think so...........

  ReplyDelete
  Replies
  1. kama kawaida yenu watanzania kutwa kusifia weupe wa kwenu mnawaponda badala ya kuwapa moyo..what a shame! mxiuuuu!

   Delete
 20. girl you don't know wthas kim go through with her pregnancies, lemme tell you she had problem with her uterus she is not a girl who does abortion at all she has being tried to be a mom so badly since her 2ex marriages but it didn't work out so why not shared your experience with other women? I give her credit for that

  ReplyDelete
 21. by the way keep up with the kadarshian that's number one show in America if you didn't know that's for sure and they get paid for that its not free

  ReplyDelete
 22. Jennifer bernard Mwashile unasoma Esami chuo Arusha nakuona tu una chati na mume wangu mie sipendi kiroho safi tu 0715 098080 u had ur time sa hv bwana kashaoa mume wa mtu tambua hilo kiroho safi tu...

  ReplyDelete
 23. I am not even a shame girl it is what it is she got credit we gave her credit, tuwape moyo wa nini kwa kipi hasa wanachokifanya? if its happen we gonna talk about that why not? snap fingers..........annoy ay 11:29 pm Hashim Thabeet is here what's he doing now? for those who knows sports he was number 2 draft overall pick, he is not even in DL means development league not even intp nba team right now .then you tell me...........that's the only Tanzanian guy to play nba here in us and he messup, stupid very stupid.

  ReplyDelete
 24. Mimba ni issue jamani Sintah, naweza kuagree with Kim yaani unaweza kutapika tu, perfume hutaki kabisa wala manukato yoyote wala sabuni za kuogea za kunikia. Unaanza kutafuta mbuni yaani jamani Mimba ni bad experience realy even if Kids are blessing. Ila kama mwanamke hali hii ukipitia ni nzuri sana.

  ReplyDelete