asas

asas

sintah

sintah

TAIFA STARS??? WAZEE WA 7-0

makubwaaa


Taifa Stars yanyukwa 7-0 na Algeria haaaaa hili jambo si la kuchekelea bali ni msiba wa taifa, maana kila siku watu wanaongeaaa wewee hakuna linalofanyika ni wakati sasa tukubali hatuwezi mpira sie tunaweza majungu na kushindana vitu vya ajabu ajabu, uonekane una simu ya amana gari la maana huku pakulala mpaka uiname ndio uinge home, mpira tuachie wengine sie sio fani yetu.....

6 comments:

 1. BORA UMEIGUNDUA KASORO YAKO NA YAHAO RAFIKI ZAKO
  MAJUNGU .SINTAH

  ReplyDelete
 2. Aibu iliyoje. Tatizo wacheza mpira wa Tz wanaendekeza ubishoo badala ya kuwa serious na mpira. Wakiona mwanamke kakatisha mbele yao akili yote inahamia wanakojua wao. Wakiwa uwanjani wanawaza ngono tu badala ya kufocus kwenye kucheza. Na bado watatandikwa adi wapoteze mwelekeo. Si bora waache kabisa mpira kuliko kujiaibisha kiasi hicho. wanashindwa hata na watoto wa mitaani mfyuuu!

  ReplyDelete
 3. Na wanaume wa kibongo kwa umbea hawajambo. Mwenzao asipate kidogo utaona wanavopiga kelele vikaoni..oh yule anajifanya anaujua sana mji..oh sie katukuta hapa tunamwangalia tu..ooh anajifanya bab kubwa..oh kavamia mji kwa pupa na kazalika na vyazalika. Hapo wanapoongea wamejibweteka huyo wanaemsema anachapa kazi. wakiona kafanikiwa kweli sasa wanaanza kumkwepa au kumtafutia mabalaa kwa njia moja au nyingine wakati huo muda wangeweza kuutumia kwa kutafuta maendeleo yao. Acheni hizo nyie wababa na wakaka kama hamna ya kufanya kawasaidieni bibi zenu kuchota maji uko vijijini khaa!

  ReplyDelete
 4. wamuombe j akafute matokeo mpira haukuwa huru na haki! teheee teheeeee

  ReplyDelete
 5. Hivi Sinta mbona hujatuambia yaliyomkuta Irene Uwoya kwenye ubunge. Mbona hajaapishwa bana ama washamkata tayari. Manake CCM hakutabiriki

  ReplyDelete
 6. Irene jimbo limechukuliwa na mpinzani ccm chali na yeye Hana chake. nazani j alijisahau kufuta matokeo

  ReplyDelete