asas

asas

sintah

sintah

WAZIRI MKUU MPYA... KASSIM MAJALIWA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amependekeza jina la Kassim Majaaliwa kuwa waziri mkuu wake, na bunge limepiga kura ya kumpitisha, hivyo sasa hivi tuna waziri mkuu mpya, hali hii imezidi kushangaza wengi kwamba Rais ameamua haaaa hataki wale wanaomfuata fuata kuomba vyeo, anataka watu wake anaowaamini watatusaidia wa Tanzania, sio wapenda kupanda ndege muda wote... tunakuhukuru sana Mh Rais endelea kutushangaza wananchi

No comments:

Post a Comment