asas

asas

sintah

sintah

JE UTAMPENDA???

Haaaaa minyoosho bado inaendelea hiyo ndio raha ya kunyamaza kimya hapana jibu binaadamu wewe fanya kazi tuuu, wataisoma no? sasa hapo vepeeeeee kitu kipo okay or not? hebu toa maoni yako ila nimeona hashtag nyingi hukusu hii nyimbo moja iliyonifanya nicheke mpaka nigaregare ni ile mtu aliyosema he Utanipenda na kibamia changu? haaaa maana majimama yanatoroka ktk ndoa zao, maduuz wanakimbilia kwa mariooos kisa ni mpenengee sasa ukiwa na babe ana kibamia utampenda???
Big Up Diamond Platnumz shemejiiiiiiii... mwisho tutakuita Dimond minyooosho wanyooshe wanyooke...... na bado mtanyoka hapa kazi tuuu.

55 comments:

 1. zari na utajiri anaojitamba nao kashindwa kununua mawig ya maana?kila nikimwona mawig yake yamechachamaa kama mwiba. alafu hii video imemfanya mzee hawajaendana na dai hata kidogo. sikujua zari ana mikono mikubwa hivi😦😨

  ReplyDelete
  Replies
  1. ITAJIRI ALIKUWA NAO ZAMANI MAMY
   ALIPOACHIKA ALIACHIWA NYUMBA ANAYOISHI TUUU
   WEWE ANGALIA WENYE MADUKA WANAWEKA PICHA INSTA NA MATANGAZO YA BIASHARA ZAO
   ZARI ANATANGAZA. WHITE PART
   ZAMANI UNGEONA DUKA LA DHAHABU
   LA NGUO VYOTE VILIPOTA
   KWA SASA TUTAONA AKIBADIL NGUO NA MAWIGI ALITOA TANGAZO LA WHITE PART NA ALIRUD MADALE ATAYUONESHA PICHA AKIWA KWA BI SNURA
   CHEZEA KUTAFUTA MABWANA WENYE MAJINA MJINIII   Delete
  2. mweeeee kumbe yale maduka ya sijui zari fashion sijui nini yalikua ya ex wake???eeeeh ndo akome kuzaa na tandale,kawa mdogo kama piritoni anajizeekea tuu sasa

   Delete
 2. Jamani jully noma sana yani ana dendeka live na baba watoto wa tina ogotu hahaaaaaaaa jully noma sana

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndo Naniiiiiiiiiiiii !!!

   Delete
  2. we nae usituchoshe kutuandiaki story zisizo na kichwa wala miguu

   Delete
 3. Ni mnyoosho wa hatari umuoni mchawi wa marekani anaponda biashara ya dr mwaka amedata hatari kweli ugua maradhi yote ila sio wivu njiti wa kwa obama kuna siku utachizi maisha ya dr mwaka yanakupa homa na utaugua sana degedege dr mwaka mshitaki iyo ngedere joyce kiria umeyaona ya uliyeenda kumsaidia sege danse kila kitu unachofanya anakupinga yani wakina shamimu mlifanya la maana kumuacha tatizo la uzazi lina mambo mengi mwingine katoa mimba ad na kizazi kimetolewa ameolewa anataka kuzaa ndio yanakuwa ayo wanawasumbua waume bure na nyie wasichana ambao hamjazaa endeleeni kutumia uzazi wa mpango uzazi wa mpango ni kwaajili ya waliozaa lkn utakuta mabinti ndio wanakazana matokeo ndio ayo ugumba unakuja kwa juu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Haya endeleeeni kusema ni wivu...dk mwaka tunamjua long tym ni mganga, uliza wanaokaa karakata alipokuwa anakaa zamani wakwambie! Haya hata kama ni tiba mbadala, hayo ya kuchokonoa watu yanahusiana vipi?? Kuingiza migagani kumani ndio mnaona ujanja?? Simpendi mange ila kwa hili namsapoti.....ye anatibu nguvu za kiume wakat ye mwenyewe nasikia tako moja hoii!! Wanawake ndio maana waganga wanatulala ovyo...ukiwa desparate unajitoa kwa lolote. Mbona hatuoni mastar akiwatibu kina millen na wema?? Endeleeni kuliwa hela zenu ila mtoto utapewa kwa maombi na gyno. Huko kwingine mnaenda kutafuta majini....hela zenu anakula na kuwatomba ndio usiseme! Wajinga ndio waliwao

   Delete
  2. mi ni moja wapo wa walioliwa hela kwa dk mwaka sijasema leo wala jana hapa hapa kwa sintah nishachangia kabla haijaja iyo nyimbo mondi na humu nazani watetezi wa dk mwaka wamo wengi ama wapigaji debe mana mtu akija na mada yake ya uzazi utaona commet zinatiririka muone dk mwaka hamna lolote bana, ayo mengine siyajui ila kwa hili tusipoteshe uma mana hela zake nazo ni ndefu beta stik to hospital na kumuomba M/Mungu basi

   Delete
  3. KUTO KUZAA NI MAPENZI YA MUNGU DADA
   WATU WAMEMEZA VIDOGO TOKA WALIPOVUNJA UNGO NA WAKAPATA WATOTO
   KUMBUKA HATA ENZI VIDONGE HAVIJAANZA KUNA AMBSO HAWAKUJAALIWA WATOTO

   AUNT YANGU ALIISHI KIJIJINI HAKUJUA HATA PILS NA BIBI YANGU MDOGO NA WOTE HAO HAWAKUJAALIWA
   WATZ BAADHI BADO TUKO NYUMA MNO
   HATUKUBALI. KUNA MAMBO YA MUNGU
   ANGALIA MASTAR MATAJIRI DUNIANI HAWAKUJAALIWA NA HAWANA LA KUFANYA
   NYIE KILA KUKICHA MTOTI , MGUMBA
   HAO WATOTO MLIOPEWA NA MUNGU MNAGARANT GANI NAO??

   KWA YEYOTE MWENYE UWEZO NA MAPENZI YA MUNGU AU ANAONA ALOPATA NDO CHA KUWATUKANIA WENZAKE
   NAMUOMBEA KWA MUNGU APATE JIBU AKIWA DUNIANI
   USISHINDANE NA MAPENZI YA MUNGU

   Delete
  4. Yule ni tahira ajuza hana lolote kazi ni kuponda watu tu utadhani yeye ana life nzuri sana. Akanye kuleeeeeeeeeee

   Delete
  5. wewe nyama blog yake huijui

   Delete
  6. mmmh nawewe nae..amwonee wivu dk mwaka??makuubwa. Wakati mwingine muwe mnaandika comments pombe zikishatoka vichwani na constipation zikiwa zishatibika. unaandika kichwa kinalia ziii na huku umebanwa na mavi yanayogoma kutoka matokeo yake ndo inatoka mishudu kama hii. comment hata wewe mwenyewe unashindwa kuiamini. Wivu ya deep n wide poonani! mxiuuu!!shamimu my ass..kwani shamimu ndo nani??bitch!Sintah mambo?hihihi!

   Delete
  7. we chizi unaandika bila nukta wala koma unadhani tutasomaje? Shenzi taipu wewe! pumbaff kabisa..alaaa!

   Delete
  8. aya mchawi wa obama ndio keshafanya kusave jamii weee mchawi wa tz ulitaka wanawake wenzio waendelee kufa nyooo huna kheri wee

   Delete
 4. Nobody cares biiiitch! Am biziiiii

  ReplyDelete
  Replies
  1. Awww u really care coz u commented bitch

   Delete
 5. Ila Sintahuna roho mbaya Mwenyezi Mungu akubariki iPi siku you will reap what you saw bitch na ukidhani nakuogopa wala unashindwa ku log unafatilia maisha ya watu kumbe jina Lol

  ReplyDelete
 6. Video: decent according to Tanzania standards,certainly not internationally.
  Lyrics: decent,above average…!!!
  Makeup&wardrobe: Decent
  ZARI looks like Diamond aunt or something..shes beautiful but she needs to tone her body particularly her flabby arm

  ReplyDelete
  Replies
  1. mweee watu kwa kucopy & paste.....!!!

   Delete
 7. hemu fafanua sintah sijaelewa hivi dai alikuwa anamnyoosha mtu kumbe!!!??? kuhusu maoni nishatoa toka friday n sato okay bye

  ReplyDelete
 8. Video nzuri ila Zari ametokea kama mzee saana yaan ameonekana mkubwa sana kama mam yake kwa diamond

  ReplyDelete
 9. Jamani natafuta kungwi mieee.nimeolewa miezi saba iliyopita mume wangu ananipenda hapa nilipo sijafundwa vizuri na Nahisi sijakamilika Jamani...... Nataka kungwi anifunde mambo yote mazuri ya kumfanyia mume chumbani..au ukikata kiuno tu mwanaume anaridhika?!! Labda mume wangu anaona tabu kunambia japo sijawahi kusikia ana mchepuko ....makungwi mpo wapi?

  ReplyDelete
 10. Make up ya kikongwe imezidi mpk imemzidisha kuonekana kikongwe zaidi upande wa video sijui wataalam wanasemaje lkn iko km bongo movie ndruuuuki

  ReplyDelete
 11. Zari mkubwa jamani uso unamsuta. utafikiri mama na mtoto. lol

  ReplyDelete
 12. Du! sura ya Zari inaonyesha kabisa ni mtu mzima, kama bi Sandra wallahi.

  ReplyDelete
  Replies
  1. mmmh jamani Binadamu sisi, yani ile sura kweli inaonekana kama ya Bi sandra? hebu tuache chuki binafsi jamani

   Delete
 13. Video ni nzuri sana mistari imepangika, sasa hapa ushauri wangu kwa washabiki wa michirizi kumpa ushauri wa bure na yeye aende kwa Dr. Mwaka alau apate mtoto wa kufutia machiozi, isiwe kila siku kulitoa lile domo lake kwa kila mwanamume kulinyonya atakuja kupata fangaz za ulimi bure. Utanipenda tuu kwa ushauri wa Dongote

  ReplyDelete
  Replies
  1. mmmh wewe dada kama Mungu amekujalia watoto Mshukuru na sio kuwakejeli wanao tafuta watoto. hujui ni maumivu kiasi gani wanapata laiti ungekuwa unajua ungekuwa wawaombea na kuwatia Moyo. Mwombe Mungu akusamehe ndugu

   Delete
  2. KUPATA SI UJANJA NA KUKOSA SI USHAMBA , JIHADHARI SANA MWANAMKE NA ULIMI WAKO ! MAISHA TU HAYA BIBIE USIPITILIZEEE HATA MATAHAIRA NA WALEMAVU WALIZALIWA

   Delete
 14. nyimbo ni nzuri diamond kachagua mwenyewe kuwa na zari walimwengu awakosi la kusema, sasa wanamwambia zari mzee nenda kaone ao watu wanao mchamba zari ni wabaya mpaka wakimuangalia mtoto analia

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nyimbo iko uhalisi na ninzuriiiii ila kuna vitu vya marekebisho
   Na iko nzuri na inasikitisha
   Bi Snura kacheza ipasavyo inaumiza na inatia changamoto, Diamond,Tale,
   MkubwaTale wote walicheza uhalisi

   MAISHA SAFARI TUSIYOIJUA
   Wolper alijishaua jicho kalizungusha kaa KINYONGA!!!!

   Open car mmhhhh hata zari wa uganda aloanza kutumia kijiko kabla ya wabongo ATAINGIAJE KTK OPEN CAR NA MTT MDOGO
   WAANGALIE WA MAJUU
   Mezani walikaaa kama hawajuani
   BIBI &Bwana hukaa karibu
   Zari alijishauwa sana wakati wako mezani utadhani hakuwahi kuimba kitambo

   Wabongo tunahatibu video zetu kwa Mashauzi yanazidi mno
   Mengine sinta malizia

   Delete
  2. Mdau wa 2:39 uchambuzi wako on point

   Delete
 15. video nzuri sana hongera diamond, zari kapendezajeee

  ReplyDelete
 16. hahaa mtasema sana ila ukweli ZARI ANAJIKUBALI SANA TU. VIDEO NZURI.BI SANDRA KAIGIZA VIZURI SANA

  ReplyDelete
 17. bora zari anajikubali kwa uzee wake sio akina tunzo za kugawiwa wanaorudisha miaka nyuma badala ya kwenda mbele

  ReplyDelete
 18. Team mbulula lazima wakosoe uyo binti yenu mbona hana ata wa kumwambia gmornin amebaki nunga embe kajambeni mbele na zari anawapa homo

  ReplyDelete
  Replies
  1. hata wewe wema anakutoa roho kwani umekosa mfano mwingine mpk umtelee wema wewe mwenywe anakukimbiza nuka embe kisimi chako

   Delete
  2. jitambue wee mbilimbi mbovu huyo wema zaidi ya kuuza k na kujiedit hana kazi hata wewe una kisimi kenge mfu wahed wema muuza kuma maarufu ndo mana mnampapatikia kwa kazi gani mijinii?

   Delete
 19. Na nyie mnaomsema zuri mzee, nyie mama zenu vijana? diamond amewaacha vijana amekimbilia kwa Huyo mzee ndio chaguo lake.age is just a number, waacheni wenyewe wale raha,riyamma amemzidi mpenzi wake miaka 10, hamjui vijana wanakimbilia kwa waliowazidi, Iwe isiwe maisha yao wenyewe

  ReplyDelete
  Replies
  1. nashangaa zari mzee zari mzee utadhani kawazaa wamesahau mama zao wana makunyanzi kila kona na wengine humu wana sura nzitoo na wameanza kujizeekea ila wamemkomalia zari timu ya wema mna kazi sana hamjitambui kama huyo muuza kuma wenu manayemuabudu kwa uuzaji tuu hamna kingine

   Delete
  2. dah na weweeeee!! yani hamsasikii raha bila kumtaja wema dah! sasa mmezidi hapa tuna discuss video ya domo hapo sasa wema katokea wapi??sikujua ukimkosa zari ushakua team wema.

   Delete
 20. Sio kwa make up kama kajimwagia popa. Kuact hujui nifull mashauzi. She has acted as diamond aunt. Atlist bibi Sandra kaact vzur

  ReplyDelete
 21. Nimeusikiliza wimbo mara mbili na tayari nimeisha uweka kapuni.....binafsi hilo tangazo la Dr Mwaka sijui lina fanyanini humo kwenye video ya domo...wimbo kama kawaida marudio hakuna jipya tumesha mzoea zaidi yakuonyesha jinsi gani bado ex zake wanampa homa ya tumbo na ubongo hahaaa yani lisingekuwepo hilo tangazo la dr mwaka lingeimbwa PRADO la Madam#MapenziYanaRunDuniaOnTheReplay

  ReplyDelete
 22. Bi age kaoga make up alizani ataonekana under age hahahaaaa eish domo kweli unayaweza majukuhu ya misifa hahaa kama ndo kupenda mamakubwa sibora hata ungemchukua Sintah mana Sintah nae age nimepaa ila uzee wake hauja mfikia Zari sura ya Zari naona sasa hata aogelee kwenye make up bado imegoma trust me kama Sintah akipiga ma make up ya Zari najua Utampendaga

  ReplyDelete
 23. Ila kwenye ukwel tuongee zari kaonekana mzee sana sijui kwann

  ReplyDelete
 24. sasa naamini Zari yuko 41yrs. si kwa sura ile. hata mkitukana ukweli utabaki pale pale. Zari kama kahariu kila kitu. bora angecheza sehemu ya Bi sandra.

  ReplyDelete
 25. old Mama kaharibu sana halafu kanenepa kammeza mwanae Domo.

  ReplyDelete
 26. big up dangote the music is fantastic with the video too my wifi look fabulous ooooooh manshallah............

  ReplyDelete
 27. HATERS KEEP HATES THEY ARE GOING FOWARD PEOPLE

  ReplyDelete
 28. Ninaomba no. Ya Diamond Nina kitu nahitaji kumshauri. Namkubali Zari she is beatiful lakini ukisubutu kufunga ndoa naye elewa Kuwa warithi wako kisheria watakuwa Zari na watoto wake wooote haitakuwa Tifany tu! Kaa ukilijua hilo

  ReplyDelete
 29. ALIE PEWA KAPEWA JAMANI............

  ReplyDelete
 30. Hi sintah, hata mimi ambaye si mtoa comments wa mara kwa mara, lakini Diamond ninampenda sana kwa kazi zake nzuri. Huu wimbo ni mzuri sana na una mafundisho ya kutosha kwa jamii. Hongera sana baba Tiffah. Hata wifi yetu Zari ametokea vizuri sana, Mama Sandra ndio usiseme. Aidha, mezani Zari amekaa mbali sana na Baba Tiffah kama mmoja alivyo-comment, ingekuwa poa angekaa karibu yake ingeleta maana sana kwa wimbo kwa maana kuwa alikuwa akimweleza yale maneno ingeonekana kwamba kweli anayasikiliza kwa makini akiwa karibu yake.

  ReplyDelete