asas

asas

sintah

sintah

NAGHARAMIA OFFICIAL VIDEO S OUT


Leo tupo na King Kiba ametoa kichupa chake tayari kipo hewani jeee umekisoma?? uwiiii mujini kuna raha ya ajabu....

14 comments:

 1. King,amebarikiwa sauti sana.

  ReplyDelete
 2. video haina mwanga wa kutosha wimbo makelele wamebana pua mwanzao mwizo utadhani nyuki ndani ya box , by the way sina team mimi huu ni mtazamo wangu huru!

  ReplyDelete
  Replies
  1. acha wivu makelele imba wewe basi tuone ondoa ujinga wako ...mtazamo wako wa kizamani timu nyokooooo

   Delete
 3. asingejiweka kwenye timu timu za insta hii video ingekua gumzo ila saiv ya kawaidaaa. mwanga mbaya haing'ai.

  ReplyDelete
 4. YANI HUU WIMBO MWEEH NI REPLAY MWANZO MWISHOOO KING LONG LIVE BABA 2DAYS NA IMESHA ANGALIWA NA MORE THAN LAKI MOJA KHAAA HAINA KINGEREZA WALA MAYAI ILA ITAFIKA MBALI SAAANAAAA

  ReplyDelete
  Replies
  1. we acha uongo mbonahaipo huko youtube? mtakaa sana kwa Mondi hahahahhahaa

   Delete
  2. alafu mbona video ina ukungu?

   Delete
 5. Enter your comment...hahaaaa eti ukungu looh

  ReplyDelete
 6. Sijaiangalia hiyo video ila kwakuwa maneno ya CEO ni machache itakuwa ni nzuri sana

  ReplyDelete
 7. Sina team ila honestly nyimbo mbayaaaaaaaa video mbayaaaaa Ila kiba alipendeza sana kwenye video

  ReplyDelete
 8. Nyimbo nzuri sana. Nakukubali sana kiba. poleni team upupu.

  ReplyDelete
 9. Video mbaya tu, mbaya sana haina mwelekeo zogo sana mashairi hayakupangika kama mtu anapiga zogo sokoni tu!

  Sina team ni mtazamo wangu.

  ReplyDelete