asas

asas

sintah

sintah

YAMETIMIAAA

mtu na babe wakeee atiiii


Nani ahame mujini?? na kuna mambo mazito kama haya haaaaa, Said Tully kaamua kurudi kundini maana alikuwa ana ruka ruka tuuu karudi kwa mutoto Yasmin na kapiga kitanzi kabisa cha uchumba, mmmmmh ila kuna watu wavumilivu ndugu zangu nyie acheniii tu huyu dada khaaaaa  kavumilia sana maana shemeji yetu naye si haba kwa kucheza kama ronaldo, tunawatakia kila la kheri katika uchumba usiishie tu katika kuvishana pete nyie wote waislam ni kumuita tu shekhe na ndoa ikafungwa, raha ya mujini ni mambo kama haya......

37 comments:

 1. Sintah una matatizo gani lakini? Km alikua lakini kaacha kuna maana gani kuandika hayo yote! Au unataka tuseme dada king'ang'anizi!?? Sio vizuri waombee wafikie lengo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Sintah hajawahi hata kuvalishwa pete
   Anafunuliwaga tuu
   Unadhani ataandika kitu gani kizuri cha mwanamke mwenzake????

   Akija na story ni Negativ tu.
   Analeta kavumilia utadhani yy ni mtatuzi wa wapendanao
   Sinta utabakiii ulipo nahakika mpk watu waache kunung'unika na wewe.
   Watoto wadogo ulowaona wakicheza wanamaisha yao majumba na biashara za maduka
   Wewe utamiliki blog na matangazo ya simu huko insta
   Uliandikaga na kukashifu DIDA hajui lugha
   Nenda kamuone mjengo wake na maisha yako ndo utajua watu mjini wanaishi
   Sio wanasondikiza watu kwa kuwakashifu

   Unasndika mwanaume karudi kundini
   Inamaana wewe unamjua kuliko huyo alovaliswa pete
   We ingetulia siungehifadhiwa NA MPARE MWENZIO

   Delete
 2. Nyoo sintah we mshakunaku sana angalia ulivyo na sura ya panya full kungata na kupuliza,,ndo keshamvalisha pete.Kama kicheche au la ndo kawa wake..
  Habari za watu zisizo kuhusu unazibebea mabangooooo mxiiiuuu nyoko zako mpua ule kama msomba kokoto

  ReplyDelete
 3. Jamani Huyu ndio nani?

  ReplyDelete
 4. Enter your comment...Jamani anaemfahamu vizuri dj sam chom wa huku kansas naomba file lake, maana mgeni mie marekani sasa jamaa kanitokea

  ReplyDelete
 5. ndo kina nani hawa?sintah utoaji wako wa habari bhana tuelezee kwanza ni kina nani na wana umaarufu gai?......hongera zao.

  ReplyDelete
 6. jamani naombeni ubuyu wa dina marious na ncha kali ndo mambo kwisha?naona hawarushani tena kwenye page zao.....na kuna cku dina aliulizwa kwenye ukurasa wake insta akajibu cna mwanaume.aiseeee c vzur kama kuna tofauti wazimalize

  ReplyDelete
  Replies
  1. ha ha haa mie nikishaona mwanaume ana jina la ajbu ajabu sidandii treni kwanza aisee, ati ncha kali majina mengine yaishie huko huko kazini ukishayaleta mtaani inakuwa ncha kali kweli inatoboa toa kila mahali mbona utajutraaa! HAPPY HOLIDAYS

   Delete
 7. KAA NI WAISLAMU WANAPENDAN A KINAFIK NA WANAENDELEA KUDANGANYANA TUU
  KIPI KINAWASHINDA KUFUNGA NDOA
  NA KAMA ALIVUMILIA ATAENDELEA KUVUMILIA NA OENGINE NDOA NAYO AISIKIEE TUU MPAKA MWANAUME ATAPOAMU
  MIE SIKUOLEWAGA HIVYO JAMANI ALONIPENDA ALIKUJA NA GEA YA PETE NIKAMUULIZA NINI KINASHINDIKANA KAA TUTAENDELEA KULALANA NA PETE IWE UFRII WA WEWE KUNIDHIT NIOE TU

  WADADA PETE NI PETE TU NDOA INAUZIYO WAKE
  MUNGU AKUSIMAMIE ILA NA WEWE SIMAMA
  MWANAUME MWENYEWE NA KAA VYOMBO VYA KUKODISHA ASEMACHO SINTA RONALDO

  ReplyDelete
 8. OOT: hakika nkya aka kiboko wa rummy wapiiiiii hadi kifo kiwatenganishe wapiii naona umepinduliwa na mutoto mulito adelaide unaloooo hahahahah mjini raha jmn endeleeni kubanana hapo kweli muosha huoshwa...pole shooo ndo maisha hahahahah

  ReplyDelete
  Replies
  1. shost wee ndo ulimwagwa mwanzoni na watoto juu ukawa unalialia huko insta leo unachekelea sasa si bora huyo hakika hajazaa naye wee ndo unalooo bibi manake kakuachia kopy ukiangalia wanao unamkumbuka baba yao anavyokula maraha wee unalea na kunyariwa pyeeeeee

   Delete
 9. KHAA SINTA UNABOA NA HABARI ZAKO

  ReplyDelete
 10. ETI SINTAH WEWE NA WAANDISHI WENZAKO MLISOMEA HAKI ZA BINADAMU???
  MNAJUA MWANDIKE LIPI MWACHE LIPI?

  GLOBAL
  PUBLISHERS
  MWANAFUNZI AFIMANIWA
  HIVI HUJIULIZI WEWE UKIWA KAMA MZAZI UNAENDA KUVIZIA NA KUMPIGA PICHA UNAWEKA MAGAZETINI
  KUHUSU KUFANYA AU KUFANYA HAIJALISHI NI NINA YAMEMKUTA HUU NI UDHALILISHAJI WA KIBINAADAMU
  HAPO DAR KUNA WATOTO WADOGO WANAFANYANA NA SUALA SI KUWATOA MAGAZETINI .ILA WAZAZI KUTAFUTA UFUMBUZI
  MTU AZIMA NA FAMILIA ANFUMANIWA UNAONA PICHA GAZETINI ,MTU KAKAA UCHI PICHA GAZETINI
  HIVI HII TANZANIA INAELEKEA WAPI JAMANI
  UTADHANI MNAISH COLOMBIA HUKO NDO MTAA UKIFUNGWA MTU HUKATIZI
  RUDINI SHULE MUONE UANDISHI
  MENGI ALIMSHITAKI ALOVUJISHA PICHA YA FAMILY YAKE UNADHANI NI KWA NINI???

  ReplyDelete
 11. ASHA SALUM KIDOTI MWENDAWAZIMU
  ETI ANAMTAKA AMSAGW HIVI NYIE MNA WAZAZI AU WATOTO WA MITAANI
  HUONI HAYA KUJIELEZEA Video Queen anayekuja juu kwa kasi ya ajabu, Asha Salum ‘Kidoa’.
  Mayasa Mariawata
  Video Queen anayekuja juu kwa kasi ya ajabu, Asha Salum ‘Kidoa’ amejikuta kwenye wakati mgumu kufuatia mwanamke mmoja msagaji wa jijini Dar kumtokea na kumtaka ampe penzi.

  ReplyDelete
 12. HEHEHEH SINTA KIWAPUMBU ANAKUHUSU , UNASEMASEMA WATU ! HAHAHAHAHAHAH

  ReplyDelete
 13. Kuolewa kazi mjini hapa Jamani we Dada Hongera zako mi mwinzio nimeshajikatia tamaaa kabisa na 38 naikaribisha 2016 holaaaaaa !

  Mungu akubariki Bidada , ngangana hivyo hivyo

  ReplyDelete
 14. NILIPATA MCHUMBA TOWN JAMANI MKAKA ANAMIZINGA BALAAA , HIVI KUOLEWA NDIO HIVYO ?? NYIE MLIOKO KWENYE NDOA PLEASE TUSAIDIENI , HIVI SIKUHIZI NI MPAKA TUHONGE ???

  ReplyDelete
  Replies
  1. yani nikisikiaga hizi habari nabakigi kushangaa tu, mnawatoaga wapi hao wanaume wa hivyo? au nyinyi ndo huwa mnaanza kuwatongoza hao wanaume, manake siamin mwanaume anaweza kukutongoza then aanze kukuomba hela, it doesnt make any sense, manake haogopi na wala hajali kukupoteza, its like yuko na wewe kwasababu u r the one ambae unataka kuwa nae duh, maisha yangu yote yakudate sikuwahi kukutana na kitu hicho na hata sasa nimeolewa mume wangu hata hajui mshahara wangu ni sh.ngapi wala hajui ninaufanyia nini he provides everything mimi nikitoa hela yangu labda nimejisikia tu, Poleni.

   Delete
  2. shosti ulivosema mizinga nkajua kafungasha vilivyo hapo mbele, yaani kajaaliwa..kumbe ombaomba duh! zigo unalo dear. mie mume wangu akiniomba labda ni nyapu tu na kumpikia chapati sababu zinamshinda but kuomba pesa no. au umenunua sura mwenzetu? una plan B au utaendelea kukamulika?

   Delete
  3. Mwanamke tambua thamani yako ukiweza hilo wanaume watakukimbilia

   Delete
 15. OOT: Wabeba box mlioko sweden nipeni mchongo nami nije beba, huku kwetu kila nnachojaribu kinabuma, nahisi nyota yangu ya box. naombeni idea ya jinsi ya kuja huko na gharama ya kujikimu mpaka box likolee. msinishushue jamani natafuta maisha mwenzenu nina zigo la extended majukumu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Pole wewe mdau manake sweden akuna chochote, wana beba box kama wewe tu tena wana vitoto mgongoni kilaxku maisha yao niya shida xna nibora box la bongo na kulikoni la mabepari, wenyewe weusi awana thamani sweden wana jilazimisha kuwepo uko..... shost endelea na box lako la bongo rahaaaa vepeeee

   Delete
  2. mtafute nuru the light kwenye blog yake mwandikie sijui kama atakujibu manake kina nyodoo utadhani ana undugu na kate middlelton

   Delete
  3. acha kumpotosha wewe,utalinganisha box la bongo na maulaya???

   Delete
  4. JAMANI LI NEEMA LILILOZAA NA RUMMY KA TAAHIRA ETI LINATUPIA MIPICHA INSTA LINACHEKA KAMA CHIZI ETI NDIYO TUJUWE ANA FURAHA KUMBEEE RUMMY ANAMZALISHA TUUUU LAKINI MAPENZI YAKO KWENGINE,HATA KUMPOST INSTA RUMMY ANAONA AIBU.SURA BAYAAAA

   Delete
  5. Shost fanya kazi kwa bidii utafanikiwa watu wana maisha ya furahaa tanzania ulaya unapo takakamkwenda hawa wataki weusi , uko wana ishi kima simango kweli asikwambe mtu, bora nyumbani kwenu na familia yako marafiku zako , usizanie wanao ishi uko waana furah wana jilazimisha kuCheka wakati shida mpaka matakoni , na wengine wana fanyishwa kazi kama misikule vile mshara wanao upata unatosha kwa chakula tu wana ishi miaka nenda rudi awana chammana tuna waona maisha ni yakubanana tu, wengi wao ni choka mbaya , niache nijilie ugali wangu kila cku kwa furaa bila ya pesha za post zisizo kuwa na kichwa wala miguu bladi utumwa @ Upunda

   Delete
  6. Kwani maisha ya uko ndio yalivyo ivyo viji senti sio pesa uko ulaya, yani labda Punda wa tz ndio wavione vingi kwajilu uchumi wa Tanzania upi chini, kwaiyo kwa maisha ya bongo ataukifanya kazi nipo sana tu, sio lazima kwa Box la Marekani ndio mtu uishi,lol

   Delete
  7. Sweden hawabebi mabox shosti wanatawaza wazee kwa kwenda mbele kwasababu ndo kazi yenye mshahara mzuri na angalau rahisi kupatikana kwa upande wa wanawake. Kwa wanaume wao ni kukata sallad mahotelini, kufagia madukani, kusafisha vyoo na McDonalds. Anaekwambia anabeba box au anafanya ofisini au yeye ni full nesi kimbia adi mguu ugonge uchogoni kwani anakupiga marungu live. Na ubaguzi umepamba moto, wazungu hawataki tena wageni na kama ni mwafrika ndo kabisaa wanawaona nuksi. Msiwaone wamechangamka wanajilazimisha tu. na wakija bongo kujifanya ndio wenyewe kumbe pesa za nguo wamekopa, akirudi anatawaza adi akili inataka kuruka ili alipe madeni. Sio kila King'aacho dhahabu shosti. maisha tafuta hapo hapo ulipo. The grass is not always greener at the other side.

   Delete
  8. imefika wakati tutofautishe box na kutawaza jamani! hivi nchi gani ya Ulaya inaongoza kwa kutawaza wazee? naskia nchi za scandnavia na wingereza ndo nourmer! tiririkeni basi wa Ulaya na mutueleze ni nini haswa mnachofanya!mnatoa huduma vipi? je mnapenda kazi yenu? au ndo kazi ni kazi mradi mkono uende mdomoni? kaazi kweli kweli!

   Delete
  9. Bora uwaelezee Kweli nime kupenda bureee vimalaya vukisha Firma ukoutumwani vinapo safisha matako ya vizee wanazania AMerika ushamba mzigo hphuuu ctaki Box la matako mie

   Delete
 16. KWA KWELI WANAUME WENG NI MATAPELI NA AKIJUA UPO DESPERATE NA NDOA ANAJIWEKA KWENYE POZI LA KUMUHONGA TU,UTATUMIA PESA ZAKO MPAKA UTAFILISIKA EEEH MUNGU SITAKI HAYA MAISHA TENA MABO YA KUWA NA MWANAUME WA KUTAKA KUHONGWA TU MUONGO UTAZANI KASOMEA,JAMANI C WANAWAKE TUNA MITIHANI,NAOMBA MUONGOZO WA MUNGU SANA SAIVI NIMPATE MWENYE UPENDO WA ZATI C HAWA WAFILISI,AISEEE ACHENI INAUMA SANA LIMTU LINAKUDANGANYA NA UPENDO WA UWONGO KISA UNALIWEKA MJINI TU,ACCOUNT IKIKAUKA LINAPUNGUZA MAPENZ KWA KWELI YAAN NMEJIFUNZA NA NASHUKURU KWA MAONO YA KUJITAMBUA MAPEMA KUWA NATUMIWA TU NA C UPENDO WA KWELI.

  ReplyDelete
  Replies
  1. OOT: Wadada wa mujini mnatisha kwa kupiga hodi, ivi kwann lkn ? Utakuta mtu afanyi kazi yoyo yani kajikalia tu,utasikia bila aibu anaomba umlipie kodi ya nyumba , mwenzi ujao utasikia naomba nilipie watoto ada , naomba pesa ya chakula khaaa mnatia kinyaa jmn amkeni mkatafute kazi yoyote mfamye rahaa ya maisha ni mtu uweze kuimili maitaji yako mwenyewe nasio kuomba omba kama mgojwa yani wana kera sana watu wa namna ii, utakuta mtu kesha jizalia watoto zaidi ya 4 alafu kazi ya kufanya ana, yani anazegemea kuomba kama kilema ndio apate kuishi , wanaume wenyewe wasikuizi wapo wapi ? Mwana mme akisha kuona hauna kazi ya mana ana kubwaga , utabakia kulia na mito , akili mtt wakike fanya kazi amka asubui na mapema nenda job, yani mie mwenyewe na watt 3 na nina piga kazi kulea watt wangu lshahla watakuwa lkn kuomba ctaki , hapa kazi tu Makofuli napiata tu jmn,.......

   Delete
  2. Amina.. Mungu ayasikie maombi yetu sisi tunaopendwa kinafiki kwa chochote tunachoweza kuwawezesha.. Haya mapenzi fake siyataki tena..

   Delete
 17. Dada zangu hivi kuolewa na mwanaume Malaya ni sifa au ujanja maana umewazidi wengine?
  Kama hakutulia wakati unaenda kwake umependeza, umesafisha meno unanukia uturi atatulia ukilala na kuamka nae kila siku, mdomo hujasafisha, USO Una tongotongo? Just asking haiusiani na hao halo juu maana hata siwajuhi ndo nawaona Leo na maelezo ya sintah hayajajitosheleza

  ReplyDelete
 18. Andunje kesho toa nyimbo ya Domo na doct Mwaka kisha umseme Wema kiaina, halafu usisahau kumshtua Almasi akapime DNA. maana Katunzi anataka mtoto wake.

  ReplyDelete
 19. abeg Who are these two na!?? iiish this blog thou hahahaaa#dead

  ReplyDelete