asas

asas

sintah

sintah

CONGRATULATIONS CEO......

Lovely

stunning


Vero salon mlitisha ktk swala la nywele, utaalamu tuu...

 dress by the special Dsm


friends


Beauty+Brain= CEO

75 comments:

 1. cogratulation to u sintah uko tunakokwenda maisha bila elimu yatakuwa magumu sana

  ReplyDelete
  Replies
  1. CEO wangu wa ukwee Sintalicious maakili toto la kipare Beauty + Brain = CEO hongera Christina Manongi. shosti umelamba nondo na mama Bilali, Basila Mwanukuzi, Lameck wa ITV,Lulu wa ppf na wengineo hongera zako sintah
   Education is Power wadau wahi darasani
   Msukule wa Sintah

   Delete
 2. hongeraa mamaa diplomat elimu elimu elimu haya sasa ikukomboe sawa eeh? sio uishie kuja kutuuzia kwenye maronya ronya na vilipstic hapa huku ukiwa umehifadhi vyeti uvungunii.. na wale wauza virginal endeleeni kuuza na kubadili mibolo kila siku hamjui miboo inazeesha eeh? uza sana manake hakuna namna miss role model yani badilisha mboo sana k yako mwenyeweee wala hukuazima tiwa mama tiwaaa….

  ReplyDelete
  Replies
  1. ha ha haaa lol! fainali uzeeni kama ukimwi ukipita hiviii………. ila kwa mboo mix deile na maradhi haya mmhh!

   Delete
 3. hongera!
  labda utapunguza kuandika umbea mbea! tutaona kuanzia jumatatu kama utaandika mapoint tutajua umegraduate mind pia!!! tehee teehee

  ReplyDelete
 4. kumbe kweli ulikua unasoma,na kisomo chako chote bado huna kazi unablogua tu?makubwa haya.visomo vya kulala na malecturer ili upate vyeti lkn kukifanyia kazi cheti ndio kushineh..tafuta kazi basi kwenye ma ngo ndo tukuone kweli ww msomi

  ReplyDelete
  Replies
  1. ila mama nanihii na masters juu ila ndo kaishia kuuza hadi boro umeme ha ha haa ati mjasiriamali loh! siwezi kuwahold degree mbili nianze kuuza maronyaronya kama ni biashara kwa nini usifanye ya kueleweka na kudumu kuliko kila leo kubadi badili ka vile hujaenda shule? kuna watu huwa wanatafuta tuu vyeti kichwani bure kabisa.
   wengine akili kubwa degrees 3 unaishia kubloguwa eish!!!!!
   sintah tafwaa tunataka tukuone ukipiga mzigo wa kueleweka!

   Delete
  2. Lol! Hivi unajua ku-blog wengi ni hobby tu!!

   Delete
  3. Hapo juu mjini mmekuja mwaka jana? sintah ni muajiriwa blog ni kazi ya pembeni inayomuingizia pesa za ziada unapoandika utumbo wako humu mwenzako anaiingiza pesa, ukimtukana mwisho wa mwezi anachekea Benki akaunti imetuna nani kanuna?

   Delete
 5. makeup haijakukaa vizuri imekupausha then ukoanekana kama umezeeka vile, next time chagua makeup nzuri.

  ReplyDelete
  Replies
  1. kubali ukweli shosti usitufie na presha humu, amelamba nondo make up inahusu nini

   Delete
 6. Ulikuwa unasomea nini vile?

  ReplyDelete
 7. Hongera sana kwa kuhitimu. Sasa jitahidi na kwenye kuandika na kuweka koma,nukta na herufi kubwa mwanzo wa sentensi au baada ya nukta vinakushinda.Jitahidi uandike kama msomi.

  ReplyDelete
 8. Hongera sana our C.E.O
  LE AKILI KUBWAZ

  ReplyDelete
 9. hongera mwaya, n makeup by urself chaaa pua imegoma contouring usoni shagalabagala!!!, wish ur education will not only put food on the table for ur family but also help society as u have blog it may one wisdom words from u can make change for some people n not insulting peoples as ur very good at it,,, anduuu "hubby" hajaja kwenye graduation wapi pichoo!!!??

  ReplyDelete
  Replies
  1. kubali Sintah amelamba nondo ndio issue tunayoongelea hapa, joto limekuathiri mawazo shosti nakushauri uingie ofisi yenye air condition upoe kidogo

   Delete
 10. hongera sinta iron lady wachache wapo kama wewe mwanamke elimu

  ReplyDelete
 11. Hongera mwaya sintah, naona umeamua sasa, kila la heri na Mungu akusimamie. Naona watu amekaa kimya leo hawachambi maana hawana la kuchamba, ila binadamu hatukosagi la kusema, badala ya kukupa hongera watakuja hapa kuandika shombo, ila langu kwa leo ni neno hongera tu my dear.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Neno ni moja leo hongera sintah

   Delete
 12. niisubili kwa ham sana hii post hongera hongera kwa upendeleo tu nijibu nijione super star

  ReplyDelete
 13. CONTRATULATION MY DEAR.

  ReplyDelete
 14. Hongera Sinta. Onesha mfano kwa mabinti wanaopenda vya bure wasiotaka kusoma. Sijui umesomea nini but whatever it is may God bless your career. Comment by #WOMENWITHPOSITIVEMIND

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nimekupenda bure mwenye hii comment,sintah ni mfano wa kuigwa hashtag womenwithpositivemind mungu akubariki mdada

   Delete
 15. Hongera Sintah
  Elimu haina mwisho
  Bora uloongeza ujuzu na Elimu ya umbea
  Mungu kakufungulia umepata degreee ya unafiki na umepewa cheti chenye shahada za wivu kwa maisha ya wenzio
  Nakuombea kila la kheri ujiajiri ktk mema sio uakuandika yule kachukua bwana wakati wewe mwenyewe sawa na bajaji
  Hongera kwa kumaliza masomo yako bi chakunabe

  ReplyDelete
  Replies
  1. Angalia usije ukagongwa na gari chuki itakupeleka pabaya

   Delete
 16. hongera sinta umesoma kozi gani?

  ReplyDelete
  Replies
  1. pre- form one tu.

   Delete
  2. hahahaha aaahh jamaniiiii hhmm!!

   Delete
  3. Wenye wivu leo tutawajua

   Delete
 17. Congratullations Sinta! am happy for you

  ReplyDelete
 18. Hongera sana! Tunatumai elimu uliyoipata itakukomboa

  ReplyDelete
 19. Congs Sintalicious . Yeah Beauty and Brains make an attractive woman!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Gonga tano mdau hongera kwa sintah uwe mzuri na maakili juu patamuje ss

   Delete
 20. Watu humu wanapenda ku comment sinta acha umbea, mara acha kuandika ya watu wakati wao wenyewe kinachowaleta huku ni kusoma umbea na kuhukumu wenzao. Naona wengi hawajui maana ya blogging. Anyway Sinta big up, endelea ku blog, I hope saive utaboresha blog yako jaribu kuweka vidude vya like na dislike. As a blogger usipendelee wala kuonea wala kuogopa mtu.....blog wisely na be more creative katika uandishi wako tafadhali. Hakuna mtu alie perfect inajulikana lakini katika kurekebisha wadogo zetu ambao siku izi wanajiuza sana na wameharibiwa na social media jaribu ku blog kwa kuwashauri zaidi ya kuwahukumu. Alafu pia uwe unatembelea blog za nchi za nje..Nigeria, Kenya, USA, SA n.k ili ujifunze mbinu tofauti za blogging za wenzetu. Ukiufata huu ushauri wa msomi mwenzako utafika mbali i tell u, blogging pays alot if your serious. Love you Sinta and all the best.

  ReplyDelete
  Replies
  1. NOEL KIHUNRWA
   we nawe umelalaje na umeamkaje??
   Sasa ukiingia BLOGS Zote ipi inayozungumzia maisha ya watu????
   Ni Sintah blog tuuuu
   Asiogope mtu kwa maisha gani alonayo ya kutekebisha ya wenzake
   Kama uhuni aliupitia ujanani Sinta alivuma enzi zile kaa ugonjwa uso na dawa unawasumbua wataalamu.
   Kwa sasa hana pakuonekana ndo anajutia na kumalizia hasira kwa wadada.
   Kiboko yake Dida TUUU
   Alosoma nao wote wanamaisha wengine tuko majumbani mwetu YY Bado anatafuta degreee za kuandika ya WATU
   Nipe BLOGS za ulaya zinazoandika fulani Kakaa uchi kafumaniwa .
   We utakuwa ulaya BULGERIA ,Spania,Rumenia , Portugal AU Cypern huko wananchi asilimia 50 masikin kaa bongo
   Mtu mwenye u busy hana time ya kublog ya watu

   Delete
  2. Nakuunga mkono anony huyu Noel Kihurwa
   Hata jina lako la ajabu .
   aloshindikana kwao na wewe nawe mwehuuuu
   Unahitaji msaada wa matibabu kuliko hao mnaotaka kuwarekebisha
   Hizi ni shughuli za watazania na waafrika wasokuwa na kazi .
   Rekebisheni makwenu kwanza .Pigania ajira kwa wanawake hapo utawaona wanaojiuza kama watakuwepo wengi.
   Unataka kumrekebisha usomzaa wakati wewe umezaliswa na baba za watoto huwajui
   Mnaona ya wenzenu yenu hamuyaoni
   Ukamrekebishe mtu kaa GIGY money thamani ya mwili wake haioni
   Noel rudi darasani ujue nani mwenye kumrekebisha nani
   Mshauri afungue kitengo cha kusaidia wadada
   ETI AREKEBISHE WANAUJIUZA !!!WE NDO MUOZO WA AKILI
   TOKA AMEANZA KUBLOGG KAMREKEBISHA NANI ZAIDI YA KICHAMBO
   MSHAURI AKATUNZE DEGREE SIJUI DIPLOMA CHINI YA KABATI AENDELEE KUOMBA MUNGU APATE KAZI
   MJINI BAHATI ELIMU NI KUONGEZEA UJUZIII NA MAARIFA
   Ingieni bloggs za wanawake uone wana base ktk nini??
   Dinamariou
   Lady JAYDEE
   8020 fashion
   Adela kavishe
   Jestina George
   Miss popular
   HIZO BLOGGS ZINGINE ZENYE MAANDISHI YA KANGA NI ZA WATANZANIA TUU INAMCHAMBA MTU BLOG AU FACEBOOK ,INSTG
   SIUM FACE

   Delete
  3. Nakuunga mkono anony huyu Noel Kihurwa
   Hata jina lako la ajabu .
   aloshindikana kwao na wewe nawe mwehuuuu
   Unahitaji msaada wa matibabu kuliko hao mnaotaka kuwarekebisha
   Hizi ni shughuli za watazania na waafrika wasokuwa na kazi .
   Rekebisheni makwenu kwanza .Pigania ajira kwa wanawake hapo utawaona wanaojiuza kama watakuwepo wengi.
   Unataka kumrekebisha usomzaa wakati wewe umezaliswa na baba za watoto huwajui
   Mnaona ya wenzenu yenu hamuyaoni
   Ukamrekebishe mtu kaa GIGY money thamani ya mwili wake haioni
   Noel rudi darasani ujue nani mwenye kumrekebisha nani
   Mshauri afungue kitengo cha kusaidia wadada
   ETI AREKEBISHE WANAUJIUZA !!!WE NDO MUOZO WA AKILI
   TOKA AMEANZA KUBLOGG KAMREKEBISHA NANI ZAIDI YA KICHAMBO
   MSHAURI AKATUNZE DEGREE SIJUI DIPLOMA CHINI YA KABATI AENDELEE KUOMBA MUNGU APATE KAZI
   MJINI BAHATI ELIMU NI KUONGEZEA UJUZIII NA MAARIFA
   Ingieni bloggs za wanawake uone wana base ktk nini??
   Dinamariou
   Lady JAYDEE
   8020 fashion
   Adela kavishe
   Jestina George
   Miss popular
   HIZO BLOGGS ZINGINE ZENYE MAANDISHI YA KANGA NI ZA WATANZANIA TUU INAMCHAMBA MTU BLOG AU FACEBOOK ,INSTG
   SIUM FACE

   Delete
  4. Noel uko sahihi mdau 3:00 bloggin ni umbea na yaliyojiri mitaani usifananishe na gazeti la Daily News linaandika habari muhimu za serikali na jamii, bloggin ni matukio ya kila siku ya maisha, sintah anapoblogua anawakilisha tu sio ana chuki na mtu au anadonge nae muelewe tofauti

   Delete
  5. Acheni sinta afanye yake wadau wake tunapenda umbea aige wanaigeria kwani wao ni mungu tuondoleeni shobo zenu hapa kila kitu Naija ulaya fyokofyoko msituletee tuko bongo tunablogua kibongobongo au vepee tumechoka na nyie visorondo hamna jipya badilibadilika ukiletwa umbea wa kwanza kujadili muacheni sintah afanye yake na nyie fanyeni yenu kukosoa tuuuuuuuuuuuuuuuuu hamchoki?

   Delete
  6. Jengeni tabia ya kusifia vyenu, hapa kazi tu

   Delete
  7. anoy 5;27 utamaliza list za duniani mchambo
   kwa sintah ndio habaree ya muji

   Delete
 21. Congratulations dear...Unastahili pongezi dear.. af humu watu wakuda.. mfyuuu

  ReplyDelete
  Replies
  1. we ndo mkuda mxhuuuu

   Delete
  2. umeonaee shouger Sinta mwaya hongera

   Delete
 22. Kuna kidada cha upande wa kushoto kabisa kicute mno jamani. Make up yake imekaa mkao hasa. All in all, hongereni wote hapo kwenye picha. Sintah hongera sana my dear. Haya ndio mambo tunayotakiwa kuwekeza wanawake wenzangu. Mambo ya kushinda instagram na wanaume hayatufikishi popote.

  ReplyDelete
  Replies
  1. kula buku mdau kuna watu insta ndo inawafanya wajione malaika kumbe uharo mtupu mtu unapenda kuabuduliwa huna be wala che ntombe nile baasi na kujisheua deile kusubiri kuhongwa uringishie mambururaa wanaokuabuu huuh! mie inst naingiaga za macelebrity mbalimbali wa majuu yani wanavyoishi maisha ya ukweli mavacation ya hataree inavutia mnoo na kutamanisha huwa na burudika sana tuu kuliko kuingia kwa hao wapenda maujiko wa bongo huna hata kazi ya kueleweka zaidi ya kuchuna tuu ……….

   Delete
 23. Mungu nisimamie na mie mwakani nifikie safari yangu, picha ya mwisho imenikuna

  ReplyDelete
 24. hakuna blogu yenye umbea kama ya mama mzungu mule kuna wambea wenye ujinga wa kufatilia maisha ya watu wamekariri data za watu yakwao yamewashinda oneni sinta busy na madegree igeni mfano mkasome hata english beginer class

  ReplyDelete
  Replies
  1. kama likoku la kule mtaa wa kumi yani linalamba matako ya yule kibibi kinajigonga ili kitumiwe ile pochi ya LV aliyohaidiawa miaka mitatu iliyopita tangu mimba hadi mtoto anakimbia pochi giiiiiiii. basi kaishia kuwa mbeya kama analipwa ili bosi fekeroo amkumbuke lakini wapi kazi uchochezi tuu.. utadhani kuna mtu alimlazimisha aishi na mzungu govi mzee bahilii basi hasira kuchokonoa watu na kumpampu yule kibibi jitu koku ana dhiki sanaa ile blog ndo inampaga ahuenii….

   Delete
  2. Nyie huwa mnafata nini huko? Nyie pia wambea, kama huyo alie muongelea koku, khaa, we ndio umekariri sasa.

   Delete
 25. Hongera sana kwa kuhitimu my dear, kaza buti binadamu ndio tulivo; jamani akifanya jema mnaponda, akikosea mnaponda.... afanyeje sasa? Acheni hizo bwana mpongezeni kwani ni hatua kuhitimu.

  ReplyDelete
 26. diploma tuu,ingekuwa degree je? hahahhaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

  ReplyDelete
 27. Enter your comment...beaut without brain u get wema

  ReplyDelete
  Replies
  1. beauty gani make up.. make up.. make up.. ebu fukunyua zile picha kaenda kufanya fujo ofisi za shigongo uone alivyokuwa anafanana ka baba ubaya hata wewe ukienda kupaaka make up kule kwa glamadam utanoga tuu!

   Delete
  2. But kakuzidikimaisha kabisaa na lait ungepewa formula ya maisha ya wema ungeifuata haraka kuna wazuri sana na wapo wapo tuu wamegawa papuchi zao maoficn kwa matajiri lakini wapo vile vile kama wema ni mpumbavu na anaishi maisha yake mazuri anajikim hajawahi poromoka kimaisha duuu hata Mimi nautamini huo upuuzi wa akili yake niishi maisha mazuriii

   Delete
 28. Hongera sana Sintah.

  ReplyDelete
 29. Ila kuna watu wana roho mbaya, badala ya kumpongeza Sintah kwa hatua alofikia wanaponda. Hongera sana sana Sintah

  ReplyDelete
 30. Hongera sana Sintah Mungu akubariki ufikie malengo yako uliyojiwekea. Amen

  ReplyDelete
 31. jamani mnaotafuta watoto. acheni kuwang'ang'ania hao wanaume,wengine mbegu zao hazina nguvu kumpa mwanamke mimba. si mmeona dada wa efm radio! kampiga kibuti mume kaenda kwa mwingine na mimba imeingia faster!! alidumu kwenye ndoa kwa miaka 15 bila hata mimba.

  ReplyDelete
  Replies
  1. ni kweli mdau kuna wanaume wengine ni wagumba bunduki haina risasi watu wamekalia tuu wanawake ndo wenye matatizo kumbe wanaume nao wamo wengi tuu wenye matatizo ndo mana inashauriwa wote wawili bibi na bwana mfanyiwe uchinguzi ila wanaume wa kibongo ni wabishiii wanadhani siku zote mwenye tatizo ni mwnamke.
   hata mie nishaona mwanamke waliachana na mumewe wa miaka mingii baada ya mwaka mmama wa watu akabeba mimba na mtu mwingine shwariii...

   Delete
 32. Sintah mwaya hongera achana na wenye vijiba vya roho

  ReplyDelete
 33. wote mnaomponda hata pre form one hamkufaulu,wivu ni kidonda,mkishiriki mtakonda,big up Sintah,mungu akutangulie kwa safari yako,achana navitoto vya sekondari vilivyojazana humu kutuchafulia blog yetu,hadi siku hizi tunawaachia wao watambe manake hakuna cha maana wanacho comment.ila leo nimeona nikupongeze CEO wetu ,HONGERA SANA

  ReplyDelete
 34. Hongera sintah,tupakule wanaokusakama,wengi ntombenile,Hongera kwakubukua ndiovile tena ule untombenile haukuhusu hapo,maana wanaokusama ooh blog ya umbea maza Fanta maambegeresi mxeeeeeew,wanaa kufa hamfi umbea mnaupenda nyoko nyie nandiomaana kutwa kujileta umbeani,blog zingine hamzioni mkashinda hko huku mmeitwa,wanafiki sana endeleeni kutombeka ili mle,sintah safi upate haja yamoyo wako,naundelee kuwacheki tu ntombenile wanavyoumia nakuropoka hapa kama tgo zilizokosa Mteja wanawashwa mfyuuu.akiweka yamaana mnapita kushoto ziro brain nyie nandiomaana tunawaita ntombenile.ni kwa dharau tu maana hamna akili.

  ReplyDelete
 35. sinta hivi juma nature yupo Enzi zako ulitesa kweli kha

  ReplyDelete
 36. eeh yani toka 2004 ndio una graduate leo hahaa kweli kazi ipo 2004-2016=? Umetisha mana sio kwa kufeli huko hahaa

  ReplyDelete
 37. Ntombenile Yaani haufichiki kama mkanda wa jeshi haya hasira yako yanini fala kweli Hata ange graduate 2020 ada umemlipia wewe Huna akili iko kwa tigo yako kimba wewe.

  ReplyDelete
 38. eeeh sio kwa hasira zile..lol ukweli unauma nakumbuka ulivyo zomewaga office za scandinavia Kampala maskini walimwengu waliniambia kuwa yule demu wangu hafai iloooooo hahahaaaaa 2004 mpaka 2016 na bado hujaelimika nishidaa kweli Elimu ikikuchagua raha hahaaa

  ReplyDelete
 39. eeeh sio kwa hasira zile..lol ukweli unauma nakumbuka ulivyo zomewaga office za scandinavia Kampala maskini walimwengu waliniambia kuwa yule demu wangu hafai iloooooo hahahaaaaa 2004 mpaka 2016 na bado hujaelimika nishidaa kweli Elimu ikikuchagua raha hahaaa

  ReplyDelete
 40. Wow!! Hongera ceo mbona hujanialika jamaniiiiii....mi mdogo wako nasoma hapo hapo jamaniiiiii.
  Hongera mwayaaa umejua kunoga wallah

  ReplyDelete