asas

asas

sintah

sintah

KABLA HUJAFA HUJAUMBIKA

mtoto ambaye ni raia wa congo akiwa NY na Dr

Mungu yupo jamani tumshukuru kwa kila jambo
Wakati mwingine binaadamu jiulize umempa nini Mwenyezi Mungu? kajisemea Mwana Fa kabla ya kuomba utajiri kuna mambo mengi ya kuomba na moja na kubwa la kumuomba Mwenyezi Mungu ni afya njema wapendwa wangu, wewe ni mzima unapumua na unaenda shule/kazini na kurudi salama mwambie ahsante Mungu kwa kila jambo, kama unaona una matatizo jua huna kuna wengi wana matatizo na wanashuukuru kwa kila jambo, huyo mtoto hapo juu ni raia wa Congo yupo nchini Marekani kwaajili ya surgery ya uso, mimi nampa pole na namtakia kila la kheri surgery yake iende vizuri, nakushukuru Mungu mimi  ni mzima wa afya na familia yangu, popote pale ulipo sema ahsante Mwenyezi Mungu....

5 comments:

 1. kweli hujafa hujaumbika aise mungu amupe uponyaji huyo mtoto wadau sasa hii ni mada pls mje kwa wingi so dai zari na wema tu ndo sms 50

  ReplyDelete
  Replies
  1. Umenena
   Sie wanawake tungekabidhiwa TUSHIKE MADARAKA DUNIANI
   Ingekuwa nchi na nchi KUSUTANI,MAUMBEA,MAENDELEO YANGEKUA HAKUNA ,TENA NCHI MASIKINI NDO TUNGEKUWA MAFUKARA
   .
   Weka mada ya Maana comment huzioni.
   Weka Giggy money mkaa uchi
   UTAONA wanajazana NA ma comment kaa wamemzaa
   Mtu hana aibu bado mnataka kumrekebisha na ndo life style yake.
   MUNGU MPE WEPESI MTOTO HUYO NA WENGINE WENYE MAZITO

   Delete
 2. WASTARA SAJUKI
  HII STORY IMFIKIE WASTARA KWANI ANALALAMIKA KILA KIKICHA WAKATI ANAUWEZO HUWA NAJIULIZA HAJAWAONA WENYE MATATIZO DUNIANI?
  ANATAKA KUCHANGIWA?
  ANATAKA ATTENTION?
  JIBU SIPATI UTAKUTA KAANDIKA MSG YA UZUNI KAMA VILE HANA MIKONO WALA MIGUU
  SIKATAINKAPITIA MENGI ILA MITIHAN NDO NJIA YA MAISHA
  .UNGEJITULIZA AACHENE NA KUVUMA KALALA NA BOND MPENDA TIGO LINE
  KALALA SIJUI MA NANI
  ATANIAMBIA ATAPATA MWANAUME WA KUMWEKA MDANI NA KUISHI KAA MKE


  EE MUNGU WANETU WASOTAMANI KUINGIA BONGO MOVIE HUKO NI KISIRANI TUUUU NA KUPOTEZA CHANNEL ZA MAANA DUNIANI
  MUNGU MBARIKI MTOTO HUYO KWA KHERI ZAKO NA UTUJSALIE WATOTO WENYE KHERI NA BARAKA
  AMEEEN

  ReplyDelete
 3. Alhamdulillah! Mungu atuongoze kwaweli wakati wote tuwe tunakumbuka kuwa hapa duniani tunapita tu na siku ya hesabu ipo.

  ReplyDelete
 4. M/mungu amfanyie wepesi

  ReplyDelete