asas

asas

sintah

sintah

KIKULACHO KI NGUONI MWAKO....Lulu kaa ufikirie kwamba waliopeleka hizi yarayaraaa ni watu ambao waliompokea huyo Tekno kwasababu raia za Insta ziliandika RIP lakini wao wakaenda deep na kumueleza yote yaliyojiri katika kipindi cha nyuma khaaa tena nahisi ni wanaume, maana sik hizi wanawake wengi wapo buzy kutafua hela ila wanaume wamekuwa wananishangaza na tabia za umbea, all in all binaadamu usi m judge mtu, hivi umeshawahi kuona familia inafiwa na watu wote anabaki mmoja? ni mitihani tu na Mungu akikupa mtihani unatakiwa umshukuru Mungu na si kumkejeli maana kuna kitu kizuri amekuandalia, hivyo ndivyo nina amini na Mungu huwa ananifanyia miracle hio... watu wa Instagram wanahela za data mnatia aibuu khaaaa, yaani naomba kampuni za simu ziongeze tena bei ya vifurushi serikali naomba muangalie hili maana watu wako so idle kwenye mitandao baada ya kuhangaika mtu yupo busy kutukana watu huko, jiwekee katika nafsi yake wewe ukiandikwa hivyo utajisikiaje?

27 comments:

 1. acha kujioendekeza kwa lulu. mwenyewe anazitaka hizo kick ndo maana hakitulizi na kuiba wanaume za watu. YAAN MPAKA ANAFIKIA HATUA YA KUJISIFIA ALIKAA GEREZA MIEZ TISA.huyo sio wa kuonea huruma

  ReplyDelete
  Replies
  1. pata soda mdau ntalipa

   Delete
  2. Ahsante ndugu chukua bia kabisa hivi lulu unamuonea huruma ya nini kajitu kalikoanza kufanya na miaka 9 hebu tupishe uko, beautiful my ass, na auna lolote hapa uantaka DIAMOND ndio aanze kutukanwa kapeleka maneno wewe ANDUNJE wa mimba za majanini una shida sana

   Delete
 2. juz juzi hapa alikuwa anakejeli eti huwa anaanguka sana kwenye stuli za vioo na hapati hata jeraha.hio sio kauli nzuri wengine tunapigaga mweleka kwenye kigae na bado tunadunda town.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Alikuwa Ana hukumiwa ulitaka na yeye alilie ndani kwa ndani asijibu... Shombo kwa shombo.. Amechoka kusemwa Acha awanyooshe mnataka mpanda kichwani Sasa...we uwambiwe umeua ukae kimya...alikaa sana Sasa basii... Wajibu LULU... Kejeli kwa Kejeli... Maisha ya insta

   Delete
 3. Wewe malaya Lulu tulizana mkundu wewe unao mkosi wakuwauwa wanaume za watu NYOTA YAKO NI YAKABURINI lkn bado uoni haya mkundu mchafu , juzi tu ulitoka kisongo ukasema UTOKAA UCHI TENA, lkn sasatunakutazama dawa yako inachemka nanilazima uinywe

  ReplyDelete
 4. Wanaofanya ivyo ni wanawake tutawasingizia wanaume bure jamani wanawake wa leo mbona tunakuwa na roho za kishetani ifike mahala tukumbuke kuna Mungu tusiwe Mungu watu kila binadamu ana madhaifu yake unachukua madhaifu ya mtu ili umuumize ili iweje kumbukeni i ni dunia tunapita alafu ni aibu sana watz tubadilike angalia alichowajibu tenco yani wote mliocoment RIP mnajisikiaje

  ReplyDelete
 5. Huyu lulu hata hajifunzi,naona sasa kazidi bora hata zamani.tuwaonee huruma kwani tumewatuma kujidhalilisha kwenye social network,ndo wajue si wanajiita celebrities hawajui it comes with quoencequences.

  ReplyDelete
 6. Alivokuwa kiherehere kwenda kumharibia Gigi money aliona ameshinda? alivomnyanganya beautiful Hamisa bwana ameona sifa? anavomwambia huyo Mr. Water asimpe motto matumizi anajiona mjanja? Nasema hivi, Zalulu ni 40... kama anawaharibia wenzake, asitegemee kupona.. Kale katoto ni Jini maiti, kana roho kama kutu, hayajamfika, waiting patiently for her downfall, kama anavowaumiza wenzake, hii dunia ipo kwa ajili ya kumuumbua sbbu mtenda hutendewa...Kalivo kanafiki sasa, kanajifanya mtu wa dini kumbe fuska na roho mbaya kama yeye hakuna... ptuuuu yuk yuk mfyuuuuu... narudia tena ..... - na - walikuwa mahodari wa kuiba mabwana wa watu leo wako wapi? Lulu, Zako zinakuja

  ReplyDelete
  Replies
  1. We nawe... Uyo bwana ni stuli useme imeibiwa ...Na bado ukaongezea lulu kakataa matunzo yasitolewe uyu majizo Hana akili za kufikiria.. Au lulu kamshikia ubongo... Chaa.. Hata wewe zako zinakuja hakuna alie mkamilifu... Bwana bwana wamefunga ndoa.. Au uyo majizo Kazaa na hamisa tyu.. Mbona Ana byb boy mkubwa tu....nae hamisa aliiba.. Basi muosha kaoshwa... Hutaki haya na wee kamwibie lulu..

   Delete
  2. We nae umeona ya lulu tuu c Ndio? Na huyo hamissa
   Kumpora bestie Yake zuhura kamili gado,mr water???
   Stop hating bitch...!? If u don't have anything to bluff just shut the
   F word...!? Mfyuuuu in shot wote malayaaa Ila inaonyesha
   We lulu anakunyima usingizi Malaya wewe wa Kimboka maji Mara Moja

   Delete
 7. mi nadhani huwaga una point ila namtana ya kutota point zako ndio shida unaeza hisi nikisema hivi ntakuwa namuasa mtu kumbe ndio unaharibu kabisa haya basi badae badae...

  ReplyDelete
 8. SINTAH ulisoma DSJ eeeh HAHAH sasa hapo uemandika nini tatizo uandishi uankutupa mkono

  back to LULU uyu and anaconda sofa kutiwa alitiwa mane no fupi uyo malaya mwingine sijui gaga yeye aliliwa lakini akupendwa atulie

  ReplyDelete
 9. WASTARA SAJUKI MWENYE ROHO YA KUNUNG'UNIKAUNAINGILIA NDOA UWE MKE WA 4 WELCOME UTAJUTA MAJUTO ZAID YA ULONAYO
  WEWE HATA MUME AWE MBUNGE UNATHUBUTU KUJITOA MUHANGA NA ULOYABEBA UNASHINDWA KUYAVUMILIA
  YANAKULIZA KWA KUTAKA ATTRNTION
  KUTWA UNAANDIKA INSTAG
  WANAUME MNAKUTAMA NAO KWENYE KAMPENI ZA URAIS ETI LEO UNAJIVISHA VELINNA NDOA JUU

  WANACHUMAGA KWANZA WAONE FAIDA KISHA NDO UNAINGIA
  SASA UMEINGIA HATA KITANDA HUKUNUNULIWA
  UNAINGIA KWA AHADI ZA KUKU NA CHIPS
  NILIPOKUWA KWENYE NDOA SIKU ILE NILIKUHURUMIA
  ILA KILA LA KHERI NA NDOA ZANUEWE ZA KIISLAM
  MUME ANAWAKE 4

  ReplyDelete
 10. mbona wewe huwaonei huruma unaowaanikaga humu wachambwe? talkin about double morals..huyo Lulu aonewe huruma kwa kipindi haswa wakati yote yasemwayo kuhusu yeye ni ukweli mtupu. asofunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu. em arudi kanisani uko uku nje hakumfai!tekno my ass!

  ReplyDelete
 11. Lulu ana roho ya mauti kwan uongo?? Sinta acha kutetea uyo mbilikimo mwenzio mtt mdg ana mibalaa kuliko ata wazee ...akome kutwa kuhangaik kunyakua mabwana za watu anajikut mjanjaa kumbe fala ule ukimw alichiwa na cpt bado haujaanz mtafun eehh?? Ebdeleen tu kumfuma marinda uyo shikan ila mjue kuna ngoma live pale mtt mdg kutwa kubeba mi ky tu kwa hbag na shoga ake bib mzee muna tako la kichina.. wachawi, malaya, na wajiona wao ndio wao kumbe ushuzii tuu lulu subur 40 zako zaja mbwa wewe utakufa kundu liwazi

  ReplyDelete
 12. lulu tuna kusubiria zakwako zina chemka msenge bari wewe mfupi kama timba la Asubui malaya usiye refuka 40 yako ikojikoni popote pale utaipata na unajua watu awachezi na wewe mfupi mavi, malaya umetoka keko sasa unaleta mkosi wako wa MAITI WEWE

  ReplyDelete
 13. Bongo movie baadhi yao

  WASTARA eti kwa kuwa alikuwa ktk kampen atalala nyumbani kwa MAGUFULI
  wanaigiza mpk pasipo igizwa

  ReplyDelete
 14. nabado hii mitandao yakijamii hasa instagram itawatokea puani nyie watanzania mnatia aibu yaaani ni hivi na bado mla kwa pupaaa?.....!
  wacha sie tuendelee kutizama nini next yani watz Unatia AIBU

  ReplyDelete
 15. kweli nimeamini sintah unamuogopaga Lulu sijui anakunyosheaga wapi yule mtoto

  ReplyDelete
 16. lulu enjoy dear juzi kati kaliwa na diamond kipindi bibi yupo south,kuna mbaba anamtaka mkewe ana duka dar free market,na lulu lazima atampa tu,kweli usione lulu anapiga pamba za nguvu anazitolea jasho,big up,heeeee sintah umepata sponsor hussein pamba kali,sipati picha huko mtaa wa pili cha wivuuuu na roho ya kwanini.ila lulu ana damu ya umauti,damu ya kanumba hiyo,kampa mkosi wema azai baada ya kutoa mimba yake,kampa mkosi lulu kila mtu anakufa akiwa na mahusiano ya muda,so lulu ni kumla fastaaa na kusepa.ukisema uchukue kiti ukae kwa lulu imekula kwako

  ReplyDelete
 17. Yaani wewe ndio nguruwe pori kabisa,eti lulu kalalwa na daimond,nawewe kalalwe nae na mama ako pia utakufa ukipayuka umbea sheitwani wewe.

  ReplyDelete
  Replies
  1. lulu upo umu?haya dada kataa kama dai hajakulala,siku ileeee umevaa kanguo keusi kafupi kama wewe.

   Delete
 18. sintah nijibu ili swali hivi lulu atumii kweli madawa kunasa wanaume?anaweza kumnasa mume wako halafu na akakuchamba vilevie na kukuacha uchi,na mumeo sichukue action yoyote kuhusu lulu aliyechamba mkewe,hivi ni nini?nijibuni waungwana sielewiiiiiii yamenikutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
  Replies
  1. TUMUOMBEENI LULU ASIYAKANYAGE MAWAYA,AKIYAKANYAGA TUU,TUMEKWISHA NA WAUME ZETU

   Delete
 19. Sintah ukute hakuna hata mtu mmoja aliyemsimulia Tekno kuhusu Lulu...Chezea power of google...ukute aliona RIP aka google akakutana na maskendo...hata kama yako kwenye kishwahili unacopy na kupeleka Google translate unapata kiinglishi chake...

  Kama unajali image yako ogopa sana kuandikwa vibaya...itakufuata maisha yako yote as long as haya magazeti yako online...mimi ni mmoja ya watu wataalamu na wanaopenda kujua kuhusu watu through google....watu wa maana of course ninaokutana nao....

  Sa kuna watu ukiweka jina tu unakuta jela...mwizi wa mume wa mtu and the like...wakati wengine ukiweka jina unakuta misifa ya maana...muwe makini wadogo zangu...(nasema as if they care)

  ReplyDelete