asas

asas

sintah

sintah

OPERATION OKOA VIJANA WA IRINGA

dume zima halina hayaaa

Kama una mtoto wako haswa wa kiume anasoma Iringa unatakiwa ufanye jitihada arudi ama mpeleke sehemu nyingine, aisee si kwa kujichetua huku wanaume wa Iringa, hebu tufanye operation okoa vijana wa Iringa town, hivi kabisa kijana mwenzio anakupumulia kisogo laana kum, hebu msitutie wazazi katika majaribu na haswa wale waliozaa watoto wa kiume..

Halafu nimegundua kitu haya mambo ya ushoga yaananzia katika umario, mwanaume ukizoea umario ndio inakupelekea katika ushoga, ni kama wale madada poa kama hufanyi kazi lazima maisha yako yatakuwa ya kudanga tuu, sasa baada yakufanya kazi kwa bidii mnaanza kuleta ujinga wa namna hii msituharibie watoto kwa tabia chafuuu halafu hapo Iringa si kuna chuo kikubwa cha sheria hebu wapeni lecture hao.... mxiuuuuu

7 comments:

 1. kazi kwelikweli tuombee tu mwenyezi Mungu atuepushe na hili balaa

  ReplyDelete
 2. Hakuna hata umarioo mie kuna kaka namjua ana kazi nzuri demu wake mkali na mtoto mmoja sikuhiz anapigwa naye na alianza kuwala mashoga mbaya zaidi ni afande tusali sana ukimuona huwezi hata kumdhania kajengeka kiume na mademu pia anao

  ReplyDelete
 3. Ww mwenyewe wa kwanza kuwachekea kina bilal au bilali yy ni tofauti na hao na unamnadigi humu leo unaongea nn ww acha unafki

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nakuunga mkono mdau.Sintah kila siku unaandika kukemea ushoga lakini unasahau kwamba rafiki yako mkubwa bilali mashauzi.ulianza kuongea na bilali kwanza kabla ya kuandika humu?nyie mablogger mbona hamjielewi?msiendekeze dhiki mpaka mkajitoa fahamu.leo unaandika humu ili iweje wakati kutwa nzima mnashinda nao huko bar.hata sijui mnaongea nini cha maana.mnabore sana mablogger uchwara.bana ni kwaajili yako

   Delete
 4. Enter your comment...maskini vijana Wa iringa kweli mnapumuliwa dah! takribani vijana1500 aisee idadi kubwa sana hii

  ReplyDelete
 5. Mimi nilijua ushoga upo zaidi uchagani,,,Iringa tena?
  Samahani wachagga lakini bahati mbaya mashoga ninaowajua tena familia bora ni wachagga...correct me if I am wrong...sijajua ni kwa nini lakini

  ReplyDelete
 6. Acha umang`aa wewe anonymous 3.54AM.nani kakuambia uchagani kuna ushoga zaidi ya hivi vitoto vinazaliwa kwenye maji chumvi uzaramoni humu vinajifunza vitabia vichafu chafu kama vya wenyeji wao....... Wachaga original ni kazi tu hawana muda wa kuhangaika na ugasho

  ReplyDelete