asas

asas

sintah

sintah

SHILOLE ASHTUKA....

Shishi baby
Mwanamuziki Shilole ameshtuka wakati pamekucha, awaasa watu wasichore tatoo za kuwaandika jina wapenzi wao, ila watu wana mahaba niuweeee khaaa wewe kama kweli unapenda huo ujinga wa tatoo kwanini usimchore mama yako ama mwanao? mpaka ukamchore mtu mliejuana ukubwani tena undugu wa shuka kukutana ktk kitanda, kuna kipindi tuliliongelea hili hapa sintah.com lakini watu wakaona sie haters sasa mmeyaona na kuyasikia ktk mdomo wake, anyway ndio ujifunze shilole hapa mujini Dar es salaam watu wanapenda kutumia akili sio moyo....

10 comments:

 1. Sijaona kibaya alichoongea, sema tatizo ni kama vile hajui kujieleza

  ReplyDelete
  Replies
  1. hahhahah kumbe an wewe mdau umeliona hilo, mtu kajielezea na kutoa ushauri wewe tena bi. chau lazima uongeze udakuz

   Delete
 2. Wapunguze kujiolesha kwa nguvu wanawake wa cku izi tunapenda kuolewa bila ya kuangalia mbele jamani kuna maisha zaid ya izo ndoa ndio ivyo shishi bby bora umejitambua mapema

  ReplyDelete
 3. ndio akome kaishapoteza muda huo muda aliokuwa anazunguka na hako aktoto angeutumia kusave pesa na kufanya la maana, kweli sisi wanawake mwalimu wetu kipofu.. ndio mkomage

  ReplyDelete
 4. ACHANA NA HAWA KINA GIGY MONEY
  VICHAKARAMU VYA DAR VINASIKILIZIA UTAMU
  WEWE NUHU ALIWEKAGA INST PICHA ET ANALILINDA TAKO LAKE HUKU KASHIKILIA TAKO LA SHISHI
  WAMALIWA TIGO MPAKA WANAANZA KUNUKA VINYESI
  TULETEE ZA MAANA HATUTAKI STORY ZA WASIOJIELEWA
  MTU MZIMA HOVYOO SIANGEANDIKA MAJINA YA WANAE

  ReplyDelete
 5. Hiyo nahisi itakuwa ni movie mpya inatengenezwa, Ok tunaisubiri ikiingia sokoni

  ReplyDelete
 6. Enter your comment...shishi yale mapenzi yasingefika mbali

  ReplyDelete
 7. kashatombwa hana jipya

  ReplyDelete
 8. huyu mama wa watoto wa tatu anajitoa ufahamu na watoto wake anavyowaficha kama alilazimishwa kupanua miguu,na agnes masogange kajikausha insta utafikiri hana mtoto tena mkubwa tu jamani duuuuuuuuuuuuuuuuu

  ReplyDelete
 9. Wamezidi kuchukua vitoto kuna jimama moja limeacha mtoto kijijini limejifanya halina mtoto limezaa na kavulana kadogo, mpaka kalikua kanajifichaficha mwanzoni wapangaji wengine wasikaone lkn sa hv kanajionyesha. kituko wakiongozana bibi mbele bwana nyuma maana dar wasivyonadogo huwatania fataki ha haaaa watoto wa kiume wanapenda sana mimama. madhara uzeeni ukifika 40 mwenzio ndo 22 ee bwana utaonawanalinda km mtoto wake vile

  ReplyDelete