asas

asas

sintah

sintah

AJALI AJALI

Jamani jamaniii hizi ajali kwanini hawa madereva wanalala sana? usiku wanafanya kitu gani na matajiri wao kwanini wasiwapumzishe?  maana chanzo cha ajali ya simba mtoto na lori ni usingizi wa dereva wa lori....

7 comments:

 1. Mmmmmm eeh mwenyezi Mungu tuepushe na mabalaa haya

  ReplyDelete
 2. OOOT munalove shughuli hasa yake ni nini mujini mm nakaona kama kachafu chafu tu kujipiga vipicha na kuedit hayo magari na hyo nyumba ni kwa biashars ipi siku hizi maisha yamekua simple eeeh watu wameajiriwa insta sijui unamuona mtu asubuhi mchana jioni insta end of the day kabadilisha gari anachezea pesa siri ni nini?

  ReplyDelete
  Replies
  1. anachezea pesa????????? za kwako? achana na maisha ya watu mama we fanya yako. umewekewa ajali hapo badala u sikitike ajali kubwa imetokea wewe unatafuta maisha ya watu

   Delete
 3. Yule Zaminaj ana isue gani jamani mjini ?Wenzetu maisha kwao ni mepesi kiivyo kutwa safari dah tujuzane chimbo la mihela

  ReplyDelete
 4. HIZI AJALI JAMANI. DEREVA UNAPOJIONA UNA USINGIZI SI UPAKI PEMBENI GARI ULALE KISHA UENDELEE NA SAFARI YAKO. JAMANI YULE MWANDISHI WA HABARI HAMISI DAM-MBAYA ANASIKITISHA JAMANI KUFIWA NA MKE, MTOTO NA MKWEWE INAUMA SANA. JAMANI POLE SANA NA MUNGU AKUTIE NGUVU KIPINDI HIKI KIGUMU. INSHALLAH

  ReplyDelete
 5. Tatizo kubwa wanakunywa viroba eti wanaweka kwenye maji . Mungu atunusulu kwa hili serikali inatakiwa iangalie .

  ReplyDelete
 6. Enter your comment...sina hamu na hii ajali imenichukulia anko angu, inauna sana#bogus#

  ReplyDelete