asas

asas

sintah

sintah

HUSSEIN PAMBA KALI VALENTINE SPECIAL

wadada muje muonyeshe mahaba kwa wenza wenu

nalipenda hili gauni from HPK please nimetoa order yangu je weye??

pia tuna nguo za watoto so mulete na familia pia
Ukisia duka shurti duka kweli sio unatuwekea pochi 5, viatu pair 2, na upuuzi mwingine mdogo haaaaa ukifika Husein Pamba kali katika maduka yetu yoteee mujini Dsm hutakuwa disappointed kwani utajishopia mama, baba na mtoto pia umeona wapi hapa Dar duka la namna hio?? sasa njoo HPK tuna valentine special kwa wale wanaojua mahaba ni nini, na sie wengine wenzangu na mie twendeee tu tuka shop other stuff kwani mzigo ndio umetua.... mambo yote ni HUSSEIN PAMBA KALI

2 comments:

  1. Mimi pia nimeipenda Sintah, swali je kuna rangi ngapi ama hio maroon tuu? Bei? Sipo dar na je naweza Nunuwa online ama nitume hela kisha wanitumie. Tfdl nijibu au nipe no zao.

    ReplyDelete
  2. duka lipo pande zipi?

    ReplyDelete