asas

asas

sintah

sintah

MASIKINI BABA KIJACHOOOOUwiiii jamaniii  hakuna kitu kinauma kama mzazi kupoteza mtoto, nakuelewa sana Idris na pole kwa matatizo, next time msiwaamie walimwengu mapema kuna husda nyingi sanaaaa tena sana, binaadamu hawapendi mwenzie awe nafuraha,  poleni sana wewe na mama watoto wako Mwenyezi Mungu awape moyo wa subira

96 comments:

 1. Jamani pole sana Idriss.

  ReplyDelete
  Replies
  1. hakuna mimba iliyotoka wanafanya promo la reality show yao wataishi kama Kim kadashian na kanye waonyeshe mimba mpaka kuzaliwa mtoto, acheni uzushi mitandaoni

   Delete
  2. Message wamegushi wazushi wa mitandaoni wakapachika jina la Sultan Mimba haijatoka na insta sio ya Idris wambea wa mitandao kazi ya kugushi mnaiweza

   Delete
 2. sinta nawe umechelewa kupost hii issue hivyo jamani. Tumeisoma IG tumelia hadi tumechoka. Unatukumbushia machungu

  ReplyDelete
  Replies
  1. pleni kwa kuingizwa mkenge!

   Delete
  2. Asante tunampenda hata akituingiza shimo we will always stand for her fake wetu. Idris poleni sana kama ni kweli au si kweli kama ni drama, tarumbeta, piano whatsover kuna kitu hapa mnatakiwa wewe na mpenzi wako mjifunze. Tatizo la Wema ni moja tena kubwa sana. Wema hawezi kuficha hisia zake especilly akiwa happy. Mpenzi wangu mimba siyo kitu cha matangano hawa ikiwa bado ndogo kiasi hicho. Naelewa kwanini uiiamua kuwaonyesha walimwengu tumbo lako. Matusi yalizidi and u wanted to prove them wrong ukasahau kuwa hicho ni kitu ambacho ulikuwa ukikisubiri for years ukiomba usiku na mchana. This world is a not safe anymore my dear Wema. Its not what you think. Binadamu wamekuwa na roho za ajabu kuombeana mabaya. Look at Aunt Ezekiel aliposhika mimba ya Cookie alinenepa sana na watu wakawa wanampongeza kwa kumsanifu na kumuuliza maswali ya unafiki but alikaa kimya mpaka tumbo likakua wakanyamaza Wema wewe ni star mkubwa sana na haina ubishi chohcote ukigusacho kinapata umaarufu hkuna ubishi. For the first time in your life jifunze kuweka maisha yako ya mapenzi kuwa siri usiichi kwa kufuata fulani anafanya nini. Usiwaone watu wengine mchana wana sura za binadamu usiku wengine hugeuka nyoka, paka, ndege, simba kila aina ya uchafu wengine ili wawe on top, wengine wapate pesa, wengine wamerithi ili mradi kila mtu na balaa lake. Umeambiwa mengi lakini hukutaka kusikia ukayadharau matokeo yake ndiyo hayo. We are very sory for what happened. Ukianguka usiangalie nini kimekuangusha usitafute mchawi bali simama, fut machozi anza kutembea tena bila kujali ni wangapi walikuona na kukudhihaki ulipoanguka. I think Idris is a nice guy anaweza kubadilisha maisha yako kama Kanye West alivyobadilisha maisha ya Kim Kardashian na sasa amekuwa mke na mama bora kabisa. Msipende watoto wa nje ya ndoa ni haramu. Kama mnapendana fungeni ndoa ili mupendeze machoni mwa Mola wenu. Uliamuacha Diamond kwa kauli zake kwenye media kuwa hajawa tayari kufungu ndoa. Usikubali Idris arudie kauli zile zile kuwa hajafikiria kufunga ndoa. Zinaa haimpendezi Mungu wetu ni dhambi. Nawapeni pole na wanawake wote mnaohangaika kupata watoto Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amen

   Delete
 3. hawajapoteza hata pini nini mimba wema hakuwa na mimba ni zile drama zake kamuambukiza na huyo mburulaa mwenzie. hizo picha idris kapiga siku ya valentine na mimba imetoka jana yake halafu mwenywe yuko poa hapo anakila bata na hao mademu wanatwanga kilaji huku mama naye yuko bills anakusanya pesa wadanganyeni hao timu misukule wanaomuabudu na kuamini matambara ni mimba.. tweens my foot!

  ReplyDelete
 4. leo achia meseji mapemaa ili tuchambane vizuri team matomaso na team misukule...

  ReplyDelete
 5. Pole idris na wema

  ReplyDelete
 6. Hahahaha i dont believe this.This drama queen was never pregnant.Sorry Idris for getting entangled in this web of lies.God is not human to be mocked.Team Wema god is punishing u for all the bad things you have been calling other people's kids.Love u Sintah from California

  ReplyDelete
  Replies
  1. Idris copied that poem off google hahahaha Pole

   Delete
 7. wajifunze kutokana na makosa yao. si kila kitu open vingine wamezeee. Allah kareem km uzazi upo watapata tu watoto. Poleni sanaaa.

  ReplyDelete
 8. wajifunze kutokana na makosa yao. si kila kitu open vingine wamezeee. Allah kareem km uzazi upo watapata tu watoto. Poleni sanaaa.

  ReplyDelete
 9. tumeumbuka nilitamani iwe ni uongo mungu mjalie wema apate mimba nyingine soon

  ReplyDelete
  Replies
  1. kwi kwi kwiiiii kazi mnayo!

   Delete
 10. nimelia sababu i put my self in her position mimi mwenyewe am TTC kwa miaka zaid ya kumi na sijafanikiwa u can imagine Allah anakupa kabla hakijatimia anakunyanganya yote mipango yake, kwa wale wanaosema ni kiki sidhani jamani kiki ina limit hawawezi kujipisha laana kama mnavosema, mie hushangaa watu wanavosema ovyo juu ya watu wasiozaa jamani jamani mungu mkali nyie halafu uko insta wengi wasemao ovyo ni visijacha na vivulana ata yao hawayajua bado, atlisti wema amejitambua anaweza shika eeeh mungu kuna sie ata ya kusingiziwa hatuna MUNGU NI WETU SOTE INSHALLAH UTUTAZAME NA SIE WENGINE....

  ReplyDelete
  Replies
  1. Pole dia. kushindwa kushika mimba ni kitu kinachouma sana jamani.

   Delete
  2. USEMALO NI KWELI HATA KAMA NI FAKE, HAINA HAJA YA KUMTUKANA HATA KAMA UNAMCHUKUI MTU, YEYOTE ALIYE MSAFI NA AKAMPIGE WEMA MAWE. MIMI SIO TEAM YOYOTE BALI INASHANGAZA WANADAMU TULIVYOKOSA UTU SIJUI NDO MAMBO YA GLOB!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

   Delete
  3. we Shu umefrahi anavyodanganya watu wazima na mavuzi yao? uongo gani huo yani me limenikera kama nini saivi Team yake tunaonekana wote mavi tuu! I hate her from today!

   Delete
  4. anonymous @7:20AM as for me still not clicking that she can fake on the issue, if so she need a huge/successive prayer. she has a heart,

   Delete
  5. Msiombe miscarriage nyinyi especially Kama mwanaume anataka mtoto

   Delete
 11. pole sana Idris am sure mmejifunza kitu, kitu kabisaa hasda ipo ila pia jua mungu hakupanga viumbe vyake vije duniani yeye aliye juu akiamua hakuna atakayeweza kupinga haikuwa riski yenu inshallah mungu atawapa wenye kheri na nyinyi ila kaushauri tu fungeni ndoa fungeni ndoa simple tu n wema vile anaendelea sasa nadhani ako sawa business first, yote haya mapito yatapita na watu wataendelea na yao binadamu kusema ndio zake am very very sorry to ema n idris

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hanna cha pole wala nini! Idriss kakopi maneno Google. Ile ilikua SMS ya mtu

   Delete
 12. Kama ni ukweli na kama ni uwongo MUNGU atakupa kilicho bora tena wa halali namaanisha wa ndani ya ndoa,Aweze kukurithi kihalali.Maana mjini kumejazana watoto wa nje ya ndoa.Mungu namie nijaalie niolewe nizae vya halal

  ReplyDelete
 13. akuwa na mimba wanazingua tu na kama alikua nayo kwanini mimba bado changa wanafanya matangazo kama nini sijui why asiwe na siri ya maisha yake izi team na kutaka kushindana na watu kuna muaribia sana wema inabidi ajifunze kupitia iyo mimba kama kweli alikua nayo si kila mtu ni mzuri kwake wengine ni maadui zake na wengine wanatumia jina lake kwa ajili ya kujipatia kipato

  ReplyDelete
 14. Kuna cha kuficha ila mimba haifichiki jamani tusiongombeane na hamna mchawi km kweli imetoka kila kitu ni mapenzi yake mwenyewe mungu, tusilaumiane au kulaumu wema haya yote yanaezeka kwa mwenyewe muumba. awe na moyo wa subira inshallah mungu amfanyie wepesi tena

  ReplyDelete
 15. kusemwa kusemwa anasemwa maiti sembuse binadamu, kwani hao wote wanaoharibu mimba au kupoteza watoto wanapenda ila ni mapenzi yake mungu, tuache kujazana chuki watanzania kwa watanzania, tupendanene na kuombea mema si mabaya

  ReplyDelete
 16. kuna msg moja jana nilisoma kwa timu wema iniumiza sana mtu anasema maneno bila hata kumuogomba mungu eti wema asippozaa walahi natoa kizazi changu du nikasema hivi huyu anajua kweli kuna mungu???? je huyu kweli anajua analolipanga mungu binadamu hawezi kulipangua kwanini anatoa kauli mzito hivi ila yote mungu awape subira Inshallah watapata mwingine kwa wakati allah atakaopenda

  ReplyDelete
 17. Wema kweli wewe mtambo.

  ReplyDelete
 18. Duuh kama wema hakua na mimba na mtumbo uleee ni balaa basi hahaha shosti seriously fanya mazoezi hata km ulikua unatunisha tumbo mwenzetu upunguze bia na manyama chaaaa

  ReplyDelete
 19. yaani ommy kakosea kumjibu, angempeleka mahakamani akatoa faini ya nguvu ndo angemshikisha adabu. nawashauri na wengine aliowaimba wafanye hivyo angeuza kila kitu akafilisika.

  ReplyDelete
  Replies
  1. duh mwenzetu umekurupukia wapi???teh teh teh tuko na Wema hapa mwenzetu uko na da Neema hihihii

   Delete
 20. Hivi Jamani Mama Wema yuko wapi? wako wapi ndugu za Wema? siyo vizuri kumuacha mtoto wenu katika kipindi kama hiki!!!! mimi siyo ndugu ya Wema lakini imeniuma sana kuona jinsi Wema anavyoteseka. hivi hamna huruma na mtoto wenu jamani!? naombeni tafadhalini sana msaidieni wema ushauri tena ikiwezekana msafirisheni aende nje ya nchi kwanza kupunguza mawazo. Wema anahitaji ushauri sana. Kipindi ambacho ameachana na Diamond kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwa Wema jamani. ona vile ana dhalilika sasa!!! mko wapi Sepeto's family? please take responsibility. huyu Idris siyo kabisa type ya Wema! Ebooo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wanajua ndugu yao ni mnafki na muongo thts y wamekaa kmya!

   Delete
  2. Wema muongo anama group ya ajabu ajabu na dada zake wote wana heshima zao ndio mana wanaamua kumuacha tu, namshangaa yule aliyekomaa vigoko kujifanya mama ushauri puuuu.... uyu Idris nae dooh naishiwa maneno.. marafiki wasagaji, wasenge wavuta bangi unafikir uyo mtu anakuwa kwenye hali gani

   Delete
 21. Team wema wajifunze kuto mkufuru Mungu, ingawaje sizani kama hata hiyo ilikuwepo, ila kama kweli ilikuwepo na kweli imetoka basi basi thats Karma. Manake team yake ilimtukana zari kipindi ana mimba jamani loh wengine hadi kumuombe kifo akiwa leba, na yeye hapo kati akamalizia kwa kusema mtoto wa mwenzie ni mbaya, haya huyo wake mzuri yuko wapi? na mbaya zaidi alipotutangazia hiyo so called mimba yake hao team yake wakiongwa na huyo cha unafki matikibokoyao wakawa kila picha ni kuweka caption eti mungu si wa tandale, sijui sio diamond wala zari sijui Mungu sio nini, kwa akili zao zisizo na ibada wakazani huko ni kumtukuza Mungu wasijue wanaliltukani jina lake, manake tunaambiwa kuto litaja jina la Mungu bure, sasa wao kwenye huo upuuzi wao kila saa wanalitaja jina la bwana. Acheni kuishi kama vile mmejiumba laana zingine mnazitafuta wenyewe, manake hizo team huko insta zinaongea vitu mpaka unabaki kujiuliza huyu kajiumba au.

  ReplyDelete
 22. Hii kutumbua majipu sasa inatumbua hata mimba feki!! kwakwkawkawakwa!

  ReplyDelete
 23. tatizo wema bado anampenda sana Dimaond tuwaache wenyewe wanajuana wenyewe ila atambue kila kitu kina mwanzo na mwisho mapenzi sasa yamekwisha basi na yeye akubali hivyo yamekwisha aendelee na maisha yake mbona ni nzuri sana atapata mwingine tu ila anachoharibu sana wema ni kutaka kushindana na X wake sasa hilo ni tatizo kubwa sana matokeo yake huo ushindani unamuathiri sana yeye, anakula hata kile kisichofaa kuliwa na yeye ili maradi tu amuumize mtu fulani, na mimba hivyo hivyo imekuwa matangazo sana kila kona kila midia ili maradi amuumize huyohuyo hayo ndio matokeo ya ushindikani

  ReplyDelete
 24. Wems wema uzuri wako na mamboo yako unayoyafanya aibu tupuu du..... yaani unaniumiza utazani ni ndugu yangu tumetoka tumbo moja we si wakufunuliwa na watu hata wasiositahili kukufunua why wema hata huyo Idrisa sio mapigo yako kabisa ila haya

  ReplyDelete
 25. MUNGU ATAMPA KWANI AKIAMUA LIWE LINAKUWA
  ANABENABA SAIDA MWILINI MPK MIEZI 9 . KHADIJA YUSUPH NA WENGI . MUNGU ATAKUJAALIA KWA KUWA UNATAMANI

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tatizo la Wema hatulii anapenda sifa sana, kwani kama ni kweli alikuwa mjamzito si angejituliza watufanyie suprise? yeye mwenyewe anajijua uzazi wake wa shida bado anafanya maonyesho mara kuvaa viatu virefu hatulii na inawezekana alitakiwa awe in bed rest

   Delete
 26. Mi nasema wema bado ana mimba na haijatoka huyo idrisa kazoea comey zake alafu huyu jamaa mi simpendi kabisa sijui wema anampendea nini mjinga mjinga haileweki kabisa a yaani tufanyaje na sisi tunampenda wema ila kwa ;kwweli kwa mwanaume amebugi

  ReplyDelete
  Replies
  1. Amebugi bonge la step dear. Wema pale kachemka. Ana misifa na lihuni kama dog mtcheew zake

   Delete
  2. bora iwe kweli mdau

   Delete
 27. Wema pole sana na Idriss poleni sana sana!! ila kwa kweli next time ukipata mimba jaribu kufatilia ushauri wa madokta, pia usipende kuvaa viatu virefu si kila mwanamke mimba yake inataka heka heka nyingine zinataka utulivu wa hali ya juu sana... na siyo kufanya mimba ni matangazo yasiyokuwa na mpango!! macho ya binadamu yenyewe tu tayari ni sumu tosha, bado midomo!! next time jichunge sana acha drama zisizokuwa na msingi... Mungu atakupa tena usijali. Mimi nilipoteza mimba ya miezi 8 mtoto wa kiume, na hapo nilikuwa na skendo ya kutokubalika kwenye familia ya mume wangu! na nilikaa muda mrefu sikushika mimba ila nilikua sijaamua kuzaa nilipozongwa sana na familia ya mume ndipo nilipoamua kushika mimba na ndio hiyo ikatoka ikiwa na miezi 8!! Lakini Mungu amenipa three sons magiant hasa... Na wewe usijali Mungu atakupa wengine wazuri kama nyie wenyewe.. Waswahili uwa tunasema hao walikuja kufungua njia tu, wenyewe wako njiani wanakuja. So chill up the children they are coming soon... God Bless you all. Amen

  ReplyDelete
 28. Uwiiii hajaandika yeyeeee, iyo barua IPO Google kitambo sana, kaichukua AF akapaste kwenye page yake, kabadilisha ile miezi tuuuu!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kwani tatizo liko wapi?kama watu wanacopy misosi google sembuse barua,mxiiiiiiiu,umenichefuaaaaaaaaa

   Delete
  2. kawaida yake kucopy poems na kuzibadili kiduchu hata juzi kati wakati anajidai kumsifia my wife bla bla alicopy mashairi yakizungu sijui anadhani watu hawapitagi huko. basi watu wakampa credit kumsifia ati yuko romantic kumbe mwizi tu sishangai sana manake yuko na mama fekeroo….

   Delete
  3. Hahahaha aibu zake COPY AND PASTE

   Delete
 29. Yaani nimelia machozi... Why Wema? Yaani umefikia kwenye usanii wa design hiyo? Huoni kama unawaumiza loyal fans wako? wanakutetea but inafika sehem sasa na sisi tunaamini kuwa wewe ni mwongo, fake na sifa zote mbaya ni za kwako....
  Na huyo Idris amezidi kujipunguzia heshima..baada ya kujiona kafilisika. naona yeye ndo amekuomba uzushe hivo issue ya mimba..ili aendelee kuwa juu yamfyuuu zake... hajui kias gani ametuumiza twiga mwenye miguu ya upande... Wema umeniumiza mnoooo mpaka now najiuliza why why why umezusha ya mimba???!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. ati dr mwaka, hakuna cha dr mwaka wala dr wiki uzushi tuu waliopota miscarriage hawaendi bills kuvuta shisha the following day awadanganye hao wanafunzi wasiojitambua wanafanya nini shule kutwa kumtukuza hata akisema uongo.

   Delete
  2. ama kweli Mungu si wa tandale mlimtukana diamond weee mkaona mmemaliza, kumbe mwenzenu alikuwa anawachora tuu wema hakuwa na mimba full stop!

   Delete
  3. Umelia umbea ungekua loyal fans wake wa ukweli usingeamini kama aliongopa Mimi sio team Wema lakini siwezi kuamini kama angeweza kujiongopea hivyo naamini alikua na mimba kweli ila kwa mapenzi ya m/mungu amekichukua alichokitaka na nampa pole sana atapata mwingine

   Delete
  4. We anoni hapo juu acha kutetea ujinga. Wema needs to be told when she's wrong. asa we unatetea upuuzi hata ukijua hiili ni change la macho? nyie ndo hamumtakii mema mfyuu zako

   Delete
  5. MDAU UMEJUAJE KAMA IDRIS KAFILISIKA SIKU HIZI?YAANI HANA HELA KACHOKA ZIMEBAKI KIKI ZA MIMBA TU

   Delete
 30. Kama kweli imetoka pole sana wema though team yako inaniboaga bt kwa Hil i feel sorry for u dear... Ila kinachoshangaza u act like nothing happens, jana video yako unapuliza shisha like for real a lady who goes thru miscarriage anafanya hayo hasa aliyetafuta mtoto for long, nlitegemea uwe home ukiomboleza

  ReplyDelete
  Replies
  1. daaah binadamu kwakweli ni mzigo afadhali mbuzi..sasa mnataa ajifungie ndani aomboleze itasaidia nini exactly?? yeye kashakubali yote asema Alhamdulilah,mwenzenu anasonga mbele na maisha mnataka ajifungie ndani apate depression?si bora aende kuchangamsha akili mtaani

   Delete
  2. We nawe tutolee ujinga wako hapa kuchangamsha akili mtaani? Hivi unajua kweli kupoteza kitu ambacho ulikuwa unakitamani inavyouma loh! Asitulie basi hata kwa muda apumzike damu zikate?

   Delete
 31. MIMBA YA WEMA HAIJATOKA. HII NI DANGANYATOTO TUU!MIMBA IPOOOOO

  ReplyDelete
  Replies
  1. ANGEKUWA NA MIMBA ANGEVUTA SHISHA. MIMBA MY FOOT. MSYUUUUUUUUU

   Delete
  2. ACHANA NAE HUYO ANAE COMMENT NI WEMA MWENYEWE TASA MKUBWA,KIZAZI KIMESHAARIBIKA KWA MASINDANO YA KICHINA YA KUKUZA MATAKO.

   Delete
  3. Basi ni mpumbavu,kujichulia mimba imetoka maana yake nini?

   Delete
 32. Yaani hapa ni changa la macho. Kwa taarif rasmi ni kuwa mimba bado ipo. na hapa Idris kaamua kucheza na akili zetu tu. kwani zilianza kutapakaa mimba ya Wema imetoka tena ni Pacha. Sasa
  hapa Idris Na Wema wake wameamua watufunge midomo. Mwisho wa siku tutamuona madam kwenye Baby Shower na tumbo lake. Ila hapa kaamua kijiweka mbali na Media. Na kwa Taarifa ni kuwa Madam hatakua haonekani mara kwa mara. anakuza tumbo sasa

  ReplyDelete
  Replies
  1. KADANGANYE WAJINGA WENZIO,MIMI WEMA SHOSTI YANGU NA JANA NIMEMUONA SEHEMU ANAKUNYWA,HANA TUMBO KAMA LA WIKI ILIYOPITA KI UFUPI HANA MIMBA KABISAAAA KWA MACHO YANGU NAMUONA ANAKATA KONYAGI NA MASHISHA JUU.WEWE ULIYOCOMENT HAPO JUU UTAKUWA NI WEMA.

   Delete
  2. Thubutuuuuuuuu!Si kwa Wema huyu tunaemjua,
   tupo hapa.

   Delete
 33. Wema anatakiwa aanze kujifunza kukaa kimya na mambo yake. Lakini sasa anaonekana kapata mtu wa kumshikia bango kutangaza mambo yake. Bad combination. Idris anaonekana nae anapenda sana attention. Inahuu kuandikia embryo ujumbe wote huu mbele ya kadamnasi? Hata kama unataka uonewe huruma ila mmh wangapi wanapitia haya ila wanaongea na watu wao wa karibu tu?? Sasa umati ukitangaziwa ndo inakuwaje kama sio kujitakia kukashifiwa. Next tym kaeni na mambo yenu kama ni ya kujulikana yatajulikana tu muda muafaka ukifika. Na mimba kabla ya week 14 haitakiwi kutangazwa coz risk ya miscarriage ni kubwa sana ndani ya wiki hizo. Zikishapita itajitangaza yenyewe kwa muonekano wa tumbo. Huo moyo wa kwenda clubs na mimba juu ya high heels nao ni wa kipekee. Hakuna kipindi kigumu kama mwanzo wa mimba kwa wengi ingawa sio wote. Sasa Jokate, Kajala, Wema wote wamepatwa na hili.. ts scarry kwa kweli.

  ReplyDelete
 34. Maneno mnayoyasema kwa Wema ndo hayo hayo mliyasema kwa Zari mwanzoni kuwa alikuwa anafeki mimba na Tiffa akazaliwa salama usalimini. Kusema mimba ya mtu ni feki kama mtu huna uhakika mi naona ni kujitwisha mzigo wa dhambi pasi sababu. Lakini kama una uhakika its okey. Ukweli wa hili anaujua mwenyewe muhusika. Ila hizo ultra sound si huwa zinachukuliwa mimba ikawa na miezi minne. Sasa twins wamejulikanaje walikuwemo humo au ultra sound ilifosiwa kabla ya wakati? basi yawezekana hiyo ndo iliyoharibu mimba ka ndrohivo..

  ReplyDelete
  Replies
  1. With regards to ultrasound mimba atleast ya wiki 8 unaeza kujua kama una mapacha au lah ila jinsia ndo hutaeza kujua mpaka miezi minne. Mimba ujue hata wiki 6 unaona mapigo ya moyo ya mtoto kwenye ultrasound. Mimi nliona kwa mwanangu. Hayo mengine ya ngoswe namuachia ngoswe

   Delete
 35. Waachage na kufanya utani na Mungu team wema ebu mrudieni Mungu kidogo tu hasa wewe unaejiita dogimaster machozi ya watu co mazuri nyie mmekuwa Mungu mtu wa kuwatukana watu na kumkosoa Mungu

  ReplyDelete
 36. Sasa zari tumbo joto

  ReplyDelete
  Replies
  1. HEEE Zari ndo katoa hiyo mimba au? ha hah ahhahaha mumuache dada wa watu mmesha msema sana hadi mkafikia kusema Mungu si wa zari wala wa nini sijui. of course Mungu si wa kuchezewa kiasi hicho

   Delete
 37. ee mungu fanya miujiza yako allah kile ninachoomba kila siku wema na diamond wawe kitu moja tena

  ReplyDelete
  Replies
  1. haiwezekani tena Muombee apate Mume mwema thats all

   Delete
  2. Utangoja saaaaaana

   Delete
 38. Mimi kama mwanammke nimeumia sana kwani ni jinsi gani alizoea kiumbe wake hata kabla ajamuona ni jinsi gani alivyokua unampenda bila ya hata kumuona pole sana m/mungu akupe nguvu

  ReplyDelete
 39. Changamka mama kuachia hizo comments. Huwezi nambia topic kama hii ina comments 34 tu adi muda huu giza lishaingia. Changamka huu ndo wakati wako wa kushine na mikomenti. Si unajua wakati mwingine hata comments 10 huwa hazifiki. Changamka mamaaa tatizo kwani Ni nini haswa??Achia mikomenti hiyo watu tukomenti..khee!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. kwani kuachia comment ni biashara au ni umbea tu na midomo yenu msiyolipia kodi!!?

   Delete
 40. Really?WEMA HAKUWA NA MIMBA WALA NINI. YAANI KILA AINA YA DALILI No KWAMBA HAKUWA. UMRI WA MIMBA NA LILE TUMBO WALA HAVIKUENDANA. LABDA KAMA WEWE MBULULAZI UTAAMINI HILO. WALITAKA TU KUSTOP ILE KAULI YA UGUMBA BASI LAKINI KWA MIMBA HAKUNA CHA MIMBA MSITOE MACHOZI YENU BURE.BORA MUMUOMBEE ABADILIKE MANAKE HII ANAYOTAFUTA SASA NI LAANA KUSINGIZIA MIMBA WAKATI UNAJUA SI KWELI.

  ReplyDelete
 41. kweli hii bidada kapatia kweli ENDLESS FAME!!!

  ReplyDelete
 42. IDRIS UMEUMBUKAJEE? UMEKCOPY HIYO POEMS AIBUU HATA ILE NYINGINE KUJIFAFRAGUA UPO ROMANTIC UKATUMA LIUJUMBE LIREEEFU KUMBE NAYO ULICOPY NA MACHALE YALINICHEZA TUU NIKASEMA UMECOPY NIMEONA KULE JF WAMETOA MUANDISHI ORIJINO WA ULIPOKOPY WAKAATTACH NA SHAIRI LAKO LA KUCOPY HE HE HEEE DRAMA JUU YA DRAMA ULIVYO FALA UKAANDIKA MARA 6 MONTH MARA 13 WEEK SASA KAMA NI 13 WEEKS NA WEWE NA WEMA HAMNA HATA MIEZI MIWILI IT MEANS THAT MIMBA FEKEROO HAIKUWA YAKO NI YA MUNANA SIJUI MUNAA MHHH KAWADANGANYENI HAOO TIMU YENU WAOWAHOBOKEA WAKIKUA WATAACHA NA KUJIONA MAFAALAA ILA KWA SASA HIVI MBO NI MISUKULE YENU INAWAHESHIMU NA KUWAPENDA SAANAAADUUH!
  IDRIS SIKU NYINGINE UKIWA UNACOPY POEMS ZA WENZIO UWE UNATOA CREDIT!!

  ReplyDelete
 43. heheee wamekutana wote pwagu na pwaguzi. Mie kwanza nilijiuliza why ujumbe fulu kingereza akati kiswahili hunoga zaidi ktk mambo kama haya? Pia upangaji wa maneno nkasema labda wamesaidiana kumbe ni copy n paste hahahaaa huyo idi basi ni kituko cha ajabu sana. Na wakiendelea kukaa na Wema mtasikia mengi msiyoyategemea..Nchi nzima itatetemekaa..hahaaa what a couple!!huyo idilis namvulia kawigi kangu ka synthetic khee!halooo!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ncincincinci mbavu zanguuu eti namvulia kawigi

   Delete
  2. hahha mdau umeniuwa mbavu mwee me mwenyewe nimeona hawa waongo wooote yani wanacheza na akili za watu puuu

   Delete
  3. tehetehe mdau eti namvulia kawigi mbavu zangu mie

   Delete
  4. Na dada ake, a.k.a muke ya mudhungu nae kasema ukweli wanaujua wenyewe.mmmh,hapo!

   Delete
  5. KWANI WAPI ALISEMA HAYO NI MANENO YAKE NA NYIE USHAMBA TU

   Delete
  6. anonimaz 7:02 unaongea upuuzi gani??eti 'wapi alisema hayo ni maneno yake' sasa si yeye ndo mwenye uchungu iweje tena aandikiwe na mwingine ku express feelings zake? mtu yeyote mwenye akili atajua kuwa kaandika yeye mwenyewe. Wasanii kama wewe mwenzetu mlozoea kufeki na utapeli ndo utawaza vinginevyo. Nadhani ulikuwa na hamu tu ya kuandika neno ushamba kuprove you are the mshamba one. ufakamizi wa pombe na supu ya pumbu za mbuzi badala ya chai asubuhi nao ni shiiddra.

   Delete
 44. Mbona alipimwa na .......hospital ya......... hakuwa na kitu?
  USANII TU.

  ReplyDelete
 45. Mmmh!mbona inatisha jamani?
  Kama kweli watu wanasingizia mimba si wanaweza
  kuiba watoto na kujifanya katoka kuzaa?
  Eeeh hapana jamani,sidhani.

  ReplyDelete
 46. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 eti namvulia kawigi lol umenifurahisha sana wacha movie iendeleeeeee kila kitu fake

  ReplyDelete
 47. walitaka wenyewe sioni hata huruma, wema anajua anamaadui kibao alikuwa anajitangaza ili iweje? kwani wange kaa kimya ingekuwaje? walichokitaka ndio hicho wavumilie tu next time wajifunze, mambo binafsi kuyaweka hadharani utadhani wao ndio watakuwa wakwanza kuwa na mtoto dunia nzima, kiki zao ndio zimewafikisha hapo

  ReplyDelete