asas

asas

sintah

sintah

BREAKING NEWS.......

ajali mbaya
Ajali Mbaya imetokea leo asubuhi eneo la Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam ikihusisha malori mawili  na daladala iliyo kuwa ikitokea Gongo la Mboto kuelekea Ubungo

Kwa mujibu wa mganga mkuu Hospitali  ya  Amana, Dr Stanley Binagi, watu wanne wamefariki dunia huku 25  wakijeruhiwa.

Inaelezwa kuwa, Chanzo cha ajali hiyo, ni Lori lililobeba Mchanga ambalo liliikuwa kwenye mwendo kasi, kwenda kuligonga Daladala hilo kwa nyuma, hali iliyopelekea Daladala hilo kukosa mwelekeo na kwenda kugongana na Lori lingine lililokuwa limepakia Ng'ombe waliokuwa wakipelekwa Pugu Mnadani.

3 comments:

 1. Mungu azilaze Roho za marehemu mahala pema pepon! Amina

  ReplyDelete
 2. Mungu azilaze roho za marehemu wote mahala pema amina
  inasikitisha sana na kuumiza sana,
  jaman tuweni kwa kila kitu mana kifo siku hizi hhmmm!!!

  ReplyDelete
 3. jamani lulu jamani lulu ndio nini sasa !!!! muamini mungu jamani acha ushirikina unawaponza wenzio

  ReplyDelete