asas

asas

sintah

sintah

BURIANI HERY NASE (PACO)

Kijana mdogo sana hebu mwanadamu fikiri, duniani sisi tunapita ndugu zangu tusichukiane na tupendane,Paco umetangulia ila sisi twaja, RIP fellow Gemini.....

29 comments:

 1. marehemu aliumwa? au kifo cha gafla?

  ReplyDelete
 2. nini kimesababisha jamani

  ReplyDelete
 3. R.I.P
  Japo namuona kama alikua bwabwa!

  ReplyDelete
 4. huyu alikuwa shoga au xxxx.

  ReplyDelete
 5. mbona kakaa kama msenge? nijuliseni jamani.

  ReplyDelete
 6. May he rest in peace. I'm a Gemini as well Sinta. When is your bithday?

  ReplyDelete
 7. RIP but Sijaelewa kaumwa ama ghafla?Sorry to ask nilikua simuelewi alikua ni kawaida ama G ?Apumzishwe kwa amani

  ReplyDelete
 8. Alikua anajishughulisha na nini nilikua namuona tu kwa devota divas ila sikuaga namuelewa na naona wanawake ndo zaidi walikua rafiki zake.RIP

  ReplyDelete
 9. Ajali au alikuwa anaumwa??

  ReplyDelete
 10. Ajali au alikuwa anaumwa??

  ReplyDelete
 11. MUNGU AMLAZE ALIPOMPANGIA .
  NILIONA PICHA ZAKE ALIKUWA KAPUNGUAA
  TUJIFUNZE NA TUOMBEE VIZAZI VYETU VINUSURIKE NA HILI JANGA INAUMIZAAA KWA MZAZI
  MSIBA UKO KWA BIBI NDO ATAKAYE MZIKA

  ReplyDelete
 12. UUUWIIII JAMANI HERI NINI JAMANI UUWIII R.I.P

  ReplyDelete
 13. Inna lillahi wainna ilayhi raajiuun, alikuwa anaumwa?

  ReplyDelete
 14. maradhi haya!! mmmh! huyu si ndio mwenzake na bilali mashauzi!apumzike kwa amani!!!

  ReplyDelete
 15. That man is a gay

  ReplyDelete
 16. Mwenyezi Mungu amrehemu. Ila mbona kama mwanaume wa wenyewe? Mungu anisamehe

  ReplyDelete
 17. Punzika kwa amani. Amen

  ReplyDelete
 18. Mungu ampe pumziko la amani jamani, so so sad..pole sana saray raqey, devota diva,jaki mafuru. Mungu ni mwema yeye ndo anajua nini mbeleni

  ReplyDelete
 19. Ukiona watu wa karibu hawataki kusema marehemu kafa Na ugonjwa gani ujue ni ngoma au ugonjwa wa utata

  ReplyDelete
 20. ila jaman kiukweli kabisaa tuwe tunawaombea watt wetu sio siri dunia imebadilika sana hasa vijana kuna changamoto nyingi wanakumbana nazo,
  dini zote hawaruhusu mambo kama haya ya akina r-paul, s wa mks
  narudia tena tuwaombeeni watt wetu sana tena sana
  tena wale ambao bado hawana watt mkibeba mimba anzeni kuwatabiri yaliyo mazuri watt wenu wakiwa tumboni hiyo ni ishara nzr na silaha nzr dhd ya shetani
  acheni show off za mimba kwenye mitandao hasa mkiwa naked, acheni kuwaiga akina kim wengne wana mikabata na shetan ndo mana wanafanya hayo mabaya ili kuharibu akili za watu wamsahau MUNGU
  jaman MUNGU yupo na anatenda kazi usiku na mchana kufanya watu wake wasitekwe na shtn
  tumekaribia mwisho wa dunia ndo kama haya

  ReplyDelete
  Replies
  1. umenena jema aise

   Delete
  2. umenena jema aise

   Delete
  3. umenena la maana

   Delete
  4. Wapendwa tumwamchie Mungu lakini sio kumsema mtu vibaya hakupenda kuwa vile ni ushawishi tu wa vitu vichache..Kama alivosema Anonymous hapo juu tuommbee vizazi vyetu..Leo ww unamtukana Mungu hapendi japo anajua ni KOSA....angalia sie sote huwa tunakosea lakini ikifika siku ya maungamo huwa twasamehewa...Tafadhalini wapendwa tuombeane sana hata kama sio sisi basi hata vizazi vyetu..Tupendane kumbuka kumwombea hata adui mana unapofanya vile unajipa heri na kujipunguzia adhabu toka kwa Mungu....

   Delete
 21. mwenyezi Mungu atusaidie na vizazi vyetu kwa kweli maana sasa hivi kama fasheni tu

  ReplyDelete
 22. Ok watanzania Tuache kuhukumu, wewe unayemsema Gay wewe ni Nani? ask ur self na kama wewe siyo gay au Lesb Mangapi unamkosea M/Mwenyezi Mungu mimi sitete Makosa Ya Mwanadamu Lakini Tuache kutoa hukumu tuache Mungu afanye kazi yake.na tujue ukiHukumu na wewe utahukumia...
  Pili Mjue huyo Kaka yes alikuwa gay lakini unajua aliishi vipi na binadamu wenzake? Ndiyo maana Alipendwa sana.sasa jiulize wewe ambaye siyo bwabwa au gay unaishi vipi na walio kuzunguka,
  Ok Marehemu kafa na Nini ukisha jua utamponya?Utamrudisha kwa Wazazi wake? Utamrudisha kwa walio Mtegemea nakumpenda.
  Cha kufanya ni kumuombea kama utapenda na kama utaweza wacha yapite sababu wote Ni Marehemu Watarajiwa.

  Kuna aliyesema kweli Tuombee watoto wetu yes that is Good na wazazi pia Muwe na Mifano Mizuri siyo kuomba tu ukasubiria miujiza omba na onyesha Mifani.
  Chetani yuko kwenye Edge anataka kukusanya wafuasi as Much as he Can.his days are numberd.upendo ..tenda mazuri .acheni tamaaa.Ombeni sana.

  ReplyDelete
 23. Yasemekana alifanya surgery ya kujipunguza..ikaleta complicationz

  ReplyDelete
 24. kwakweli tusiaje kuomba jamani.shetani huyu. R I P

  ReplyDelete
 25. OOH PACO alikua mtu mwema sana kama anonymous wa hapo juu alivyosema tumuombee na wala hatuhitaji kumuhukumu kwani sisi sote ni binadamu, pia wewe msomaji huna haja ya kujua eti paco aliumwa nini alikufaje hayo mambo ni ya famili yake aumwe nini akonde yeye ametangulia na sisi siku moja tutakuwa kama yeye inaa lillah wa inna illah Rajuun

  ReplyDelete