asas

asas

sintah

sintah

HELLO TUESDAY.....Unstoppable

Ms Manongi

mumie yake APM

21 comments:

 1. miss manogi una pua kubwa, hv kwa nn usiende kuifanyia upasuaji

  ReplyDelete
  Replies
  1. upasuaji wa pua dola elfu sita na hapo inaweza isitokee vizuri wakaaribu zaidi, urudi tena baada ya mwaka nyooo kupona kabisa baada ya surgery ni miezi sita hadi tisa. na asilimia 80 madr wanachakachua hadi wakupatie ni bahati sana, nipo majuu na nimefanya kwa best dr ila ndo nilirudi twice.
   kama pesa ipo aende moja kwa moja kwa dr nassif kule hollywood.

   Delete
 2. Guy naomben tips jins ya kunyoa papuchi vzur bla kutokewa vipele na muwasho vitu gan vya kupaka baada ya kunyoa

  ReplyDelete
  Replies
  1. NUNUA CREAM YA KUNYOLEA (VEET) NA NUNUA AFTER SHAVE
   ILA WADADA HESHIMA IMEKUA ADIM BLOGS BDO PA KUULIZIA MPK MAMBO YA NDANI MBPNA WANAUME HATUWASIKII NA MASWALI YA KIPUMBAVU
   TUINGIE MADUKAN TUWE TUNAULIZA
   TUINGIE GOOGLE TUANDIKE JIBU LINAKUJA
   IMEKUWA AIBU SANA MOTANDAO INATUDHALILSHA WANAWAKE

   Delete
 3. Dah,christina siamini kama ww ndo ulikuaga mzuri enzi zile za juma.
  khaa sio kwa kuchuja huko.ni mkorogo au ndo wazuri wanazaliwa kilsiku kwahiyo nyie wengine mnaachia ngazi.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Utuuzima nao
   Nawanaume wanatuvhakaza
   Mie nilichikiona ni pua ya kibantu
   Macho kaa ya Nisha maana utadhan mjusi kabanwa na mlango

   Delete
 4. Kiukweli hujapendeza maana shingo limekakamaa kama kibibi cha miaka 80, yaani hata mama yake mondi anakushinda kwa kutokelezea, ukiwa unajishauwa au unawakosoa wenzio uwe unajiangalia na wewe ulivyo maana pua kama nguruwe mfuuuuuuu

  ReplyDelete
 5. MASKINI SINTAH UNATIA HURUMA KAMA CHIDI VITZ

  ReplyDelete
 6. Maji mengi bi dada yanakuharibu sana. Picha ya zamani na ya sasa ni tofauti sana.
  Salaam zangu ziende moja kwa moja Instagram kwa kichwapanzii na govilamzung.

  ReplyDelete
  Replies
  1. hahha kichwa panzi aka mtumbua majipu kiboko ya kimbau mbau nakupoenda kichwa panzi sanaaa, wewe ndio mtetezi wa wanyonge

   Delete
 7. Sintah please usibanie comments zangu za kichwapanzii na govilamzung wa insta

  ReplyDelete
 8. MMEANZA KUMKUBALI MAMA AKE MOND HAHAHAA SOON MTAMKUBALI NA ZARI.CHEZEA UKIGEU GEU.

  ReplyDelete
 9. Huyo Kichapanzii kero tupu huo mchezo wa kutukana kila mtu unachefua sasa , anamatatizo sana , by the way ni mtumwa wa maisha ya Mange , hivi anashughuli kweli ?? wanawake wa Tanzania o SAD

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hakika Kichwapanzi ni mtumwa wa maisha ya Mange. Mpaka anatia huruma.

   Delete
 10. KICHWAPANZI KAANZA KAZI YA UTETETEZI MADAI YAKE ANAMTETEA MONDI BIN LADEN HAHAHAHAHAH YULE SUPER STAR ACHA WATU WATOE MAONI YAO , WHO ARE YOU UNATAKA ASIFIWE TU HOVYOOOOOO

  ReplyDelete
 11. Solution ya kunyoa bila vipele nenda kafanye wax uchi unakua kama mtoto soft mpaka rahaaaaa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wee kamwe usifananishe juchi la mtu mzima na mtoto. Haa!..wa mtu mzima uvokomaa vile kwa mivooz na kukwanguliwa kila mwezi utakuwaje ka wa mtoto? astafillulah!na makunyanzi yale yanayosababishwa na kwenda mwezini Come on men!khaa

   Delete
 12. Naona umepiga kitu cha KISS by Wema Sepetu....Almanusura Unoge ila roho yako mbaya ikasema hataaa you shall look like the devil you really areπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

  ReplyDelete
 13. Pua hiyo nayo kubwa? Kadogo kabisa ako. Hamjaona yangu nyie, mtajificha uvunguni. Ninavyoiringia sasa, utacheka ufe. Ok byeee

  ReplyDelete