asas

asas

sintah

sintah

HERI YA PASAKA WADAUZIII FROM THE CHIBUZ........Ni mwendo wa kuzaa mpaka kieleweke kwani kuna mtu ana mnunulia sukari? kuna mtu anamlipia bills? basi kaa mkao wa kula na endelea kuangalia movie kama huna kizazi wenzio twazaaa tu, hata bibilia ilisema nendeni mkajaze dunia sasa unashangaa nini?? hebu niwatakie heri ya Ijumaa kuu, pasaka na shughuli zote, mwanawani usiogope kuzaa kama una hela ya kuwasomesha na kuwakuza zaa tuu mwanawani fastafasta halafu unatulia, hata mie sasa naongeza soon...... kufunga kizazi for whatttttt.....
mama K

45 comments:

 1. Unashaukwa. Kama ushuzi wa ngomani. Kakukataza nani kuzaa? Jizalie kimya wala shughuli hatuna. Halafu mbona sioni Zari akikupost wewe? Unatumia nguvu za ziada aiseee! Daaah!!!! Lakini hongera. Unayaweza.

  ReplyDelete
  Replies
  1. hhahahaahahaaaaaaaaaaaa mwenzangu zari hajawahi kumpost huyu pimbi lakin kutwaaaaaa yeye kiguu na njia kujipendekeza lol,

   Delete
  2. ukimpenda mtu siyo lazima usubiri akurudishie upendo publicly wajameni. Watanzania acheni mambo ya chuki pitieni hapa http://incomeday.xyz/share.php?uid=348130 mtengeneze mshiko bila jasho.

   Delete
 2. Hivi Sintah hawa watu uwa wanakulipa kiasi gani? Maana huishi kujipendekeza. Halafu jifunze jinsi ya Kublog. Utumbo gani sasa huo umeandika? Awe na mimba asiwe nayo sisi inatuhusu nini? Na huyo esma badala aangalie maisha yake wanakaa wakitafuta attention instagram na huyo ajuza wake. Watajimuder

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hayatuhusu kabisa na azae timu ya mpira.

   Delete
 3. Sijapenda maneno yako, kama unatukejeli ambao hatujaaliwa.

  Nakunukuu ..... "kama huna kizazi wenzio twazaaa tu"

  Jaribu kuwa mstaarabu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Well said mdau. hata aliyejaliwa kupata watoto mungu anaweza kumchapa fimbo ya maisha akachukua watoto wote akabaki hivyo na akatafuta mwingine asipate. Jamani uzazi sio kitu cha kuchekana jamani, kama mtu umeweza kuzaa hongera na umshukuru Mungu sio kuponda wengine wasio na watoto na ambao hawajajaliwa kupata watoto wasichoke kuomba kwa Mungu ipo siku yao. Sinta hiyo kauli yako sio nzuri acha kukurupuka.

   Delete
 4. Kwani kuna mtu kamnyima asizae? Labda Ivan

  ReplyDelete
 5. Una uandishi wa kishari sana! Like ur so hater why? Kwani ukiandika km unatoa ujumbe wa furaha hatutakuelewa?...??? Eti km Huna kizazi?? Reallly?? Wewe ni mwanamke jaribu kuwa na staha na kumbuka kuwa na watoto Basi ndo dhihaka kwa wasionao....jamani kuna mungu huyo anaekupa anaweza akawachukua...hivyo tufurahie tunavyovipata pasipo dhihaka....! Nina watoto 5 na Nina mshukuru mungu na ninawaombea 'wasio na kizazi' wapate Mahitaji ya mioyo Yao ili wafurahie.....!(sintah acha uandishi Wa kishari ...na utafanikiwa)by the way hongera mama k!

  ReplyDelete
  Replies
  1. kunywa Fanta fasheni hapo kwa mangi nakuja kulipa,in kurya's voice

   Delete
  2. Mwache afurahie kuzaliwa watoto haram hajui kesho siku ya kiama unakwenda kusimama nao peke yako. Na kujitia kote uislam ila dini hajui. Nyie zaeni watoto wa nje ya ndoa hamjui kesho mna la kujibu.

   Delete
  3. Kwa mungu hakuna haramu,na mungu husamehe natena hubariki,utashangaa watoto wa zari wakibarikiwa maisha wewe umekazania kusema wa haramu unachujuka najua labongo na ziki zako hiloooo wivu tu,nandiomaana mnaishiaha kuongea tu nakuponda nawenzenu wanafanikiwa wanawaacha naziki namajungu yenu,ndio mjue mungu si mjomba wamtu

   Delete
  4. Mdau wa 3.25 mtu anaanzaje kusifia jambo la haramu, kuteleza mara moja sawa lakini siyo ndiyo ufanye ni jambo la kawaida wakati siyo sawa unless mtu hana imani na ameamua kuharibu akhera yake kwa ajili ya sifa za dunia! Watu wote tunakosea ila kufurahia kutenda dhambi na kuzitangaza ni big no

   Delete
 6. kuzaa ni majaliwa ya mwenyezi mungu, sio kupanga wewe, sasa hapo unawaambia nini ambao hawajapata watoto????? yaan kama unawasimanga utadhani wamependa kuwa hivyo, ukipata mtoto mshukuru Mungu sio kujitapa maana hata ww mwenyewe umejaaliwa tu, zari hata akizaa 10 ni wake hakuna aliyemzuia ila tiffah bado mdogo anataka ukaribu wa wazazi bado wangesubiri akue kidogo dhen wazae, lakin hiyo mimba imewapitia tu wakiwa kwenye mechi lol..ni hayo tu sinta the brain zero!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. hhahahaahaa sintah ze brain zeroooooo

   Delete
 7. ati esmaplatinumz!!! Kusafiria nyota ya kaka kwa vile katoka. Angekuwa bado Tandale mitumbani ungejiita? Platinumz ndiyo surname? 'Amelaaniwa yule amtegemeae mwanadamu..........'Hovyooooooooooo

  ReplyDelete
 8. ETI KAMA HUNA KIZAZI WENZIO TWAZAA TUU.SHAME ON YOU..MUNGU AKUADHIBU KWA HILO

  ReplyDelete
 9. Duh mmeanza kufukunyua mimba changa za watu. Kutia nuksi tu wenzenu. Ya kwenu yamewashinda ya wenzenu mtayaweza? Naongelea nyie wawili wavujisha habari. Vichwa ka korodani za mbuzi. mxiuuu!

  ReplyDelete
 10. Woyooooooooo tunyooshe Mama tee uzazi ungalipo zaa hasa ukiwa na uwezo wa kuwasomesha we mwanamke wa ukweli huogopi kuzeeka kama kina kina michirizi mungu akusimamie zari na chibu.

  ReplyDelete
 11. Sema astaghafirullah usije ukalaaniwa

  ReplyDelete
 12. Zari umri umeenda anazaa chapu chapu kabla damu haijafunga

  ReplyDelete
 13. mbona mmeangalia kwa upande mmoja jamani unajua sijaona ubaya wa sinta kuandika hivyo ila inategemea mtu umepokeaje ujumbe na ukiangalia kwa negative utaona ubaya tu lakini ukiangalia positively utaona kuwa hakuwa anamaanisha hivyo
  Hongera Zari mwaya

  ReplyDelete
  Replies
  1. sijaona positive hapo, sio kwa uandishi huo jamani loh.

   Delete
 14. kwli sinta we huna akili leo nimeamini,unawezaje kukashfu wanawake ambao hawajaaliwa watoto? kuna watu walizaa watoto kumi na wakafa wote au wasiwe na msaada wowote wakaishia kuwa useless,mtoaji niMUNGU.acha ujinga jifunze uandishi kenge weee hata ukiibania comment yangu sawa.mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuSikiliza wimbo wa Ambwene misuli ya imani.

  ReplyDelete
 15. KUOLEWA SHERIA KUZAA MAJAALIWA
  AZAE TU MBONA MAMA YAKE ALIWAZAAWA WANNE
  WANATANGAZA BILA SABABU MAGAZETI SIO CLINIC NA SIE WATANZANIA TUMEKUWA WASHSMBA FULANI

  AMZALIE WATATU
  KISHA AJAMIE KKWA TAKIRI WA SEMBE AZAE WAWILI
  KISHA AHAMIE KWA WAMILIK EA MIGOD AZAE KAMOJA
  ATAKUWA TAJIR HUYU DADA KWA KUWA KITEGAUCHUMI CHA WATOTO
  MUNGU AMSIMAMIE
  NA AWABARIKI WANAWAKE WOTE WANAOTAFUTA UZAZI

  ReplyDelete
 16. sinta nawasiwasi na degree zako ....inawezekana kunambinu umetumia kuzipata..najaribu kukuchambua naona kabisa hunaga akili kichwani mwako...unaandika vitu vya ovyooo kama hujawahi kuhudhuria hata std seven..ndo mana wanakuitaga zerooo brain mxfyuuuuuuuuuu

  ReplyDelete
 17. Kuzaa kupata??seriously??
  Kuzaa kuponda ili kuponda wasozaa kwa hao wasenge walojazana kila kukichaau kwa mateja walozagaa kila kona tena watoto walotoka familia zinazojiweza,wasagaji nao hawako nyuma still mnaona fahari kuzaa na kuponda wasiozaa kwa mtazamo wangu bora nikose kuliko kuja kuzaa baadae yakawa majanga hayo.

  ReplyDelete
 18. Huyo Dada hajitambua , ndio maana hata kwenye ziara ya Mtoni umeachwa kwa kuwa wewe si part ya Familia , hovyoooo !

  UJEMBE WA LEO WANAWAKE

  kUPATA SI UJANJA NA KUKOSA SI UFALA

  ReplyDelete
 19. Sintah huwa naingia kwenye page kila mara sijawahi kucoment ila leo imenibidi.

  Sinta mimi ni mwanamke kama wewe 36yrs now nimeolewa ila sijabahatika kupata mtoto kabla ya ndoa na hata baada ya ndoa, nimeumizwa sana na uandishi it is as if unafurahi kuona wanawake wenzio wakilia kwa kukosa watoto. Sinta huna roho ya huruma hata kidogo raha yako ni kuona unaumiza watu mioyo yao.

  Elimu yako ya uandishi wa habari na chuo cha diplomasia iko wapi??? hivi kweli unaweza kuwa mwanadiplomasia wewe kwa uandishi huu. Kama lengo lilikuwa kumpongeza Zari ungempongeza tu mimba ni kitu cha heri, lakini kutukashifu na kutudhihaki ambao hatujabahatika kupata watoto na tunawatafuta asubuhi na mchana kwa kuomba na kufunga na hatujapata sio vizuri kabisa.

  Tunajua wewe unakizazi na unawatoto tayari ila huyu Mungu aliyewafanya wengine vizazi vyao visiwe na uwezo wa kuzaa anakuona Sinta, usitegemee kuwa atakunyamazia kama hutatubu na kuwithdraw maneno yako. Kwa kauli yako umeumiza wanawake wengi sana na wanaume pia ambao wamehangaika kwa muda mrefu bila kupata watoto.

  Sikuombei mabaya but next time watch out unachotaka kupublish before publishing it, think twice kinywa huumba usije ukakuta unajiumbia mambo ambayo utakosa mtu wa kumlaumu.

  Am very disappointed with your topic today. Umewadhihaki sana wamama wasiokuwa na uwezo wa kuzaa Sintah, tubu kwa Mungu wako.

  Naamini ujumbe umeupata ukitaka kuiachia comment ni sawa na ukiamua kuibania pia ni sawa. Mungu akubariki na abariki uzao wako usije ukapata laana kupitia kinywa chako.

  Biblia ina sema 'Nawapatiliza wana maovu ya wazazi wao kizazi hata kizazi ......' Jifunze kuwa na akiba ya maneno.

  ReplyDelete
  Replies
  1. pole saana dada ,, imeniumaa ,, Allah atakujalia mtoto yeye ndio mpangaji wala usiumize roho na sinta

   Delete
  2. Her intention was kuwaumiza watu gurupu flani. She has succeeded! Life is a bitch! How you react to any type of negativitity is up to you. I am jus sayin'

   Delete
  3. Naomba nikujibu niwewe ndio ulivyomuelewa sintah,nasema umemuelewa vibaya n she is nt responsible 4that,hilo ni tatizo lako lakukurupuka binafsi mimi na38 sijaolewa ninamaisha mazuri tu natafuta mtoto usiku namchana ilasijaona mahali sintah alipoandika akatusengenya tusiopata watoto,kwa imaniyangu najua ukimuamini mungu utazaa tu,hayamachungu tuliyonayo tusimbebeshe sintah,yeye nikama amekazia watuwazae wasitoe mimba,kama unauwezo wakuzaa zaa watoto nifaraja haijalishi umezaa au hujazaa,hayomengine nimnajishtukia,halafu usikate tamaa nakujiona mnyonge wapowaliolewa miaka20yandoa wamezaa juzi tu sema na moyowako na mungu wako ndio jibu tosha hapa hajasemwa mtu.

   Delete
 20. SENEMA AU SINEMA YA WASTARA IMEFIKIA PATAMU. MUME KAJIBU LOOH MAKUBWA. NYIE BONGO MOVIE LOCATION ZENU MUZIACHE HUKO HUKO NJE.KWENYE NDOA MUWE NA HESHIMA USTAA USHUZ TUPA KULE. JAMAN WASTARA WEWE TULIA MAMITO

  ReplyDelete
 21. kabla hatujahukumu hebe wenye ndoa mtufungukie kidogo.JE NI HAKI KUPELEKA UGOMVI WA NDANI MITANDAONI?HASA REDION? looh wastara sasa huko kwa dida ulikuwa unaenda kumwaga mchele upi?hivi sendoff na kitchen party siku hizi ni za kukisanyia zawad tu,hakuna mafunzo ee

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hao ndo hawakusikia ushaur wa mama na wa kungwi.
   Alihadithia alivyoozeshwa na wazazi wake hashindwi ya mwanaume
   Bongo movie wengi waigizaji
   Sadifa ( mbunge) Kaandika wastara ustar Sio kwenye ndoa
   Chezea mzanzibar
   Angetuuliza UDOM Dodoma tungemshauri

   Delete
 22. WAPENDA KUOLEWA
  WASTARA USIJIAIBISHE
  HUKUMALIZA MWEZI NYUMBA ULIJIA INA WAKE WAKUONGIA NA KUTOKA LOOH WANAWAKE TUNAJITIA AIBU
  SASA MEDIA WATAKUSAIDIA NINI
  UKIOLEWAU UKAZAA UNATAFUTA NDOA YA NINI SIULAE UTUBU NA KUSUBIRI KIFO
  HII KI KAANA

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nimeisoma
   SINTAH LETE MADA WAPENDA KUOLEWA BILA KUMJUA MWANAUME
   AU WABEBA MIMBA BILA KUWA NA UHAKIKA KISA BWANA ANAJINA SASA NDO WASTARA KACHEZA FILM MOYÀ SIO YA MBONI YANGU
   HII INAITWA CHUNGULIA MKATO WA CHUMBA UKIKIJUA UNATOKA
   NDOA YENYEWE YA KIUSLAM TALAKA NI MASHAHIDI TUU
   NDO MKITIKA MNASEMA AAA ALINIOMBA TIGO ILI UPEWE TALAKA
   WA NYIE NDO WADAU WA TIGO MAARUFU
   HAYA WASTARA KWENYE INTERVJU ULISEMA UNATAKA KUOLEWA OK
   OMEWA UWE NAHESABU UMEVIONA VYUMBA VINGAPI ?

   Delete
  2. Umenigusa penyewe

   Delete
 23. Evil woman, may God forgive for laughing at women who God has not yet blessed them with kids.

  ReplyDelete
 24. sintah kaa mbali na 18 zangu maana nitavunja hiyo mironjo yako hujui watu wanataabika vipi kazi kuwananga wenzio shwaiiin

  ReplyDelete
 25. Sinta siku nikikutana Na wewe toka nduki...maana silaha yeyote itakayokuwa mbele yangu nitaitumia kwako, Kama ni uma, kisu, chupa, jiwe nk

  ReplyDelete
  Replies
  1. We ntombenile utaishia chuki tu kwa sintah solee poverty,ignorance is killing u

   Delete
 26. Sinta hivi wewe unamtoto? naomba kujua samahani kama hutojali.

  ReplyDelete
 27. Nimesikitishwa na comment ya huyu mdau, Sintah please kama inawezekana ondoa hii post inawezekana hukuwa na dhamira ya kukwaza watu ila inaonekana kuna watu umewakwaza sana

  ''Sintah huwa naingia kwenye page kila mara sijawahi kucoment ila leo imenibidi.

  Sinta mimi ni mwanamke kama wewe 36yrs now nimeolewa ila sijabahatika kupata mtoto kabla ya ndoa na hata baada ya ndoa, nimeumizwa sana na uandishi it is as if unafurahi kuona wanawake wenzio wakilia kwa kukosa watoto. Sinta huna roho ya huruma hata kidogo raha yako ni kuona unaumiza watu mioyo yao.

  Elimu yako ya uandishi wa habari na chuo cha diplomasia iko wapi??? hivi kweli unaweza kuwa mwanadiplomasia wewe kwa uandishi huu. Kama lengo lilikuwa kumpongeza Zari ungempongeza tu mimba ni kitu cha heri, lakini kutukashifu na kutudhihaki ambao hatujabahatika kupata watoto na tunawatafuta asubuhi na mchana kwa kuomba na kufunga na hatujapata sio vizuri kabisa.

  Tunajua wewe unakizazi na unawatoto tayari ila huyu Mungu aliyewafanya wengine vizazi vyao visiwe na uwezo wa kuzaa anakuona Sinta, usitegemee kuwa atakunyamazia kama hutatubu na kuwithdraw maneno yako. Kwa kauli yako umeumiza wanawake wengi sana na wanaume pia ambao wamehangaika kwa muda mrefu bila kupata watoto.

  Sikuombei mabaya but next time watch out unachotaka kupublish before publishing it, think twice kinywa huumba usije ukakuta unajiumbia mambo ambayo utakosa mtu wa kumlaumu.

  Am very disappointed with your topic today. Umewadhihaki sana wamama wasiokuwa na uwezo wa kuzaa Sintah, tubu kwa Mungu wako.

  Naamini ujumbe umeupata ukitaka kuiachia comment ni sawa na ukiamua kuibania pia ni sawa. Mungu akubariki na abariki uzao wako usije ukapata laana kupitia kinywa chako.

  Biblia ina sema 'Nawapatiliza wana maovu ya wazazi wao kizazi hata kizazi ......' Jifunze kuwa na akiba ya maneno.''

  ReplyDelete
 28. Huyu anayecomment kwa jina la vesi nahisi ni Sintah mwenyewe angalia vizuri comment alizoreply unaweza kukubaliana na mimi. Yeye anareply tu

  ReplyDelete