asas

asas

sintah

sintah

LULU &RICHIE WAN'GARA NIGERIA


Majay baba na wewe ulikuwepo???

Leo tuachane na yote na tuwape hongera ndugu zetu ambao wamejishindia tuzo za best movie ya East Africa, wow thats soooooo nice, haya ndiyo mambo lakini sio mtu kuwa fashionista Insta tuuuu nothing kwenye kichwa, sasa hivi Lulu atawaacha wenzie mbali mtasikia Lulu na Richie wamefanya movie na Genevieve loooh itakuwa bomba sana, heeee nilikuwa sijui babe Majizo for shizoooo naye alienda ila Majay ulifanya la maana kwenda nyaku nyaku za Nigeria maogaaaa wasingemuachia mtoto supuuu kama Lulu heeeee mazito na makubwa ya mujini Dar-Es-Salaam, aiseee sasa simtamuuua mwenzenu na mtoto? hawezi kufa lakini maana na yeye alinyakuwa kwa BFF so what goes around comes around heeeee ngoja nile popcorn za motoooo, kwani kuna lengine huko??? mimi nabaki kuwa mshangiliajiii

29 comments:

 1. WE NAYE BADALA YA KULETA ISHU ZA MAANA UNATULETEA MITOMBO YA KINA LULU MFYUUUUUUUUUUUU!

  ReplyDelete
  Replies
  1. We nae hebu tutokee hapa. Pepo mchafu tena mnafiki. Issue za maana Sinta kaweka kama ile ya South Sudan kujiunga na East Africa Community ila haikupata hata comment moja, means na wewe kahaba mchafu hukku comment kwenye so called issue za maana. Here you are unajifanya kuponda. Mama unapenda umbea that makes many of us. So acha unafiki na kujifanya John kisomo mpenda issue za maana while you are Kihiyo namba moja. Shenzy wewe. Mnafiki wa wanafiki. Jezebel mkubwa wewe.

   Delete
 2. kichwa Panzi umenikeraaaaa mshenzi mkubwa wewe Mbwa kama Mange tu mtoa Mamangu huko kwenye Uchafu wako ??? yaani nikuulize mtu akikubaliana na Mange kwenye Ukweli inakuwa shida ?? utawatoa wangapi wewe na kuwatukana kisa wamekubaliana jambo fulani na Mange ??? Toka umeanza kuwatoa umepata faida gani na vicomment vyako vinne ?? Mbwa mkubwa wewe badala ya kufirana na Mange unamuongiza kila mtu hadi Mama zetu sasa Malaya tu na wewe vile vile ndio Maana unamsaidia Malaya Mwamy na yeye kama si umalaya na Wazungu ni nini ??

  ReplyDelete
  Replies
  1. Lulu gauni lilikua sifuri sijui nani alikuvisha mkaba koo mbona unavaaga magauni mazuri hukujiangalia kwenye kioo ulinichefua sana

   Delete
  2. Unahasira na kichwapanzi weutakuwa mtoto wa Joan Kwikwikwiiiiiiiiiiiii kwendraaa Acha mchambwe halafu kamawewe unayaweza nenda kwa kichwapanzi kamwambie huku kwa sintah niuoga tu unachachawa kama chawa mkome.

   Delete
 3. Hongera Lulu na Richie

  ReplyDelete
 4. Kwa hiyo huyo hapo juu ndio Bwana wa Lulu mpya ? Makubwa

  ReplyDelete
 5. MAAJABAU YA TANZANIA JANA NDIO NIMEJUA KWA NINI MWAMVITA ALISEMA MABINTI WA TANZANIA NI BORA WAUZE MBUNYE KULIKO KUBEBA UNGA ! HAHAHAAH KUMBE NA WEWE NI MUUZAJI TENA KWA WATALIANO WANAOJUA KUKAZA ! YESUUUUU WE DADA SHIKAMOOO

  ReplyDelete
 6. Kushangilia mapito ya wanawake wenzio si bure labda una laana

  ReplyDelete
  Replies
  1. SINTAH WEEE
   HUKUONA BUDI KUSNDIKA HONGERA LULU KWA KAZI NZURI
   NA KUMPA MOYO KWANI ALIKOTOKEA KTK FOOLISH AGE NA SASA KAWA MWANAMKE WA KUJITAMBUA HILO HUKULIONA ZAIDI TA KUMUONA MAJAY !!

   KUMBUKA WANAUME MJINI WA PEKE YAKO NI WACHACHE MNO
   WE JARIBU KUMCHUNGUZA BWANA AKO UTAJUTRAAA AMEJAZA FOLENI YA MABINTI.
   MAJAY HAKUMKUTA HAMISA BIKIRA NA MAJAY ALISHAKUWA NA WENGINE KABLA YA LULU
   HAT MAMA YAKO ANA X WAKE BWANA
   MPONGEZEN LULU ALIKOTOKEA NA ALIPOKUWA SASA NA PAKUMSIFU

   Delete
 7. Hongera zake lulu ila hilo gauni halijamkaa vzr ameonekana hana shape kabisaa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hio ndo shape yake halisi anayo ya kawaida sana ya kuvalia nguo tu na sio ya kushtua watu ...

   Delete
  2. Yaani hakupendeza,Lulu anajua kuvaa sana na sijaona chukuzwa nguo lakini sijui kwa nini hapa kachemka.Ila hongera zake sana.

   Delete
  3. So true and i was hurt when i saw a nigerian blog name her among the worst dressed.What happened this time Lulu?

   Delete
 8. kheee kazi unayo!!!!!! kwani una ugomvi na hamisa mamy naona yanakutoka tu maisha lazima yaendelee ameshamove on mamy na wee kishabiki maandazi fanya yako am sure kuropokwa huko si kuwa unakapenda lulu laa ila hamisa anakuumiza mtimaa but YYYYYYYYYYYYY sintah lol unaloo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Huyo Mwanaume mwenyewe wa kumgombea yupi ??? Hamisa si alikuwa shoga yake ?? hahahahah UNALOOO SINZA , HUCHEKANI NA KICHWAPANZI KUTWA KUWA MTUMWA WA WATU WENGINE NA MAISHA YAO WAPIIII!

   Delete
  2. Wewe mwenyewe mtumwa wa kichwapanzi,maana unapitaga kusoma ilahujielewi iloooo Fala wewe,team ntombenile

   Delete
 9. Mmmmmh kazi IPO team fulani Mara wamchambe Lulu Mara wajipendekeze kama MTU umeachwa move on wapi shoga uliemwomba dog wamchambe Lulu kisa mboo saivi wanamsifia ao ndio Wanawake wa kitanzania akili matope

  ReplyDelete
 10. Mtaa wa pili kichaa kimerud tena ata aeleweki anaandika nini mwamvita anakunyia usingizi Na bado ndio keshakuwa levo nyingine izo kelele bora uzitumie kutafuta kazi izo nguvu za kumchafua ungetumia kutafuta ela maana hakuna anaekusapoti uko kama chizi fulani amazing tukikupa ukweli unatublock

  ReplyDelete
 11. elizabethmichaelofficialKwanza ningependa kumshukuru Mungu,kiukweli amekuwa mwema na mwaminifu sana katika maisha yangu
  Pili,familia yangu hasa mama angu wamekuwa ni watu WA kuni support sana katika kazi zangu
  Tatu,watu wote walioshiriki katika movie yangu ya MAPENZI YA MUNGU...!
  Mwisho Nashukuru sana mashabiki zangu na wote mlionipigia kura kiukweli siwezi kuwataja mmoja mmoja lkn nyie ndo mmefanikisha hili..! Nimejifunza kuwa mvumilivu na kutokata tamaa ktk maisha,nimepitia magumu mengi mnayoyajua na mengine msiyoyajua lkn muda wote niliinuka nikashukuru Mungu na kuendelea na Safari,sikujali maneno mabaya ninayosemwa wala kukatishwa tamaa...Juhudi binafsi na kuomba Mungu vimekuwa nguzo yangu kwa kipindi chote...najua bdo wasioamini katika Mimi wapo lkn muda utazidi kueleza...naahidi kuwa sitolewa sifa Bali nitazidi kujituma na kuhakikisha natangaza nchi yangu Kupitia Sanaa yetu...!

  ReplyDelete
 12. Sintah we mwanamke ni mbaya sana nahisi huwa unafurahiaga sana mahusiano ya watu yakivunjika. sasa hapa Hamisa anahusikaje wakati issue ya hamisa ilishapita kitambo mbona unapenda sana kuchokoza ili mwanamke mwenzio aumie??? nina uhakika wa asilimia mia tano siku ukisikia Dai kaachana na Zari utafanya party. Nahisi hata maombi yako now ni kuwaona wametengana am sure yatakutoka yooooote wewe ni mnafiki sana sinta. Ina maana ulishindwa kumsifia Lulu bila kuweka ushambenga wako. Yaani wewe na Soud brown hamna tofauti mfanye tu muoane, maana hata lemutz sio type yako tena. Ujumbe umeupata ukiamua achia comment ukiamua ibane.

  ReplyDelete
 13. Kwanza kabisa I would like to Congratulate Lulu. Pole sikupiga kura coz huwa sikupendi,na sababu ya kutokukupenda ni kukosa kwako huruma kwa wenzako.
  walipo ita category ya movie yenu, moyo ulinilipuka paah nikajuta why sikuvote, Utanzania na mengi yaliokupata ktk maisha yako ktk umri mdogo yalinijaa akilini, na huruma ilinijaa, walipotaja jina lako, ulipofika kwenye podiam na kuongea, ukaanza kulia, wallah nililia na wewe, nikajua deep down nakupenda ila matendo yako ndo yanaharibu. Nimekusamehe, kwa ajili ya umri wako, ila machozi ya watu ni mabaya, jitahidi kulifanyia kazi hilo.
  Halaf mpende huyo bwana sio kipindi cha pesa tu, uwe nae kwa shida na raha. wishing u all the best. nakutakia kila la heri ktk kazi zako na pia tunasubiri ndoa.from now, no more hate comments from moi.

  ReplyDelete
 14. Hongereni ila lulu huo mshauo kama umeshinda oscars! Kweli ulipania

  ReplyDelete
 15. HONGERA LULU MUNGU AKUTANGULIE KTK KILA JAMBO LAKO .
  SINTAH SIULETE STORY ZA

  CHICHU WA MZEE YUSUFU
  CHIKU MTOTO WA MAGOMENI ANAYECHAMBA WATU INSTA
  AKASHODWA NA KUKODISHA MTU ALAMCHAMBIE DIDA NA LEYLA MKE MWENZIE
  DIDA ACHAMWAGIII WEWE
  MNATAKA KUOLEWA UKEWEZA HUKU HAMWEZI SIUNGETAFUTA MUME WA PEKE YAKO KULILO KUINGILIA NDOA NA KUTAKA KULETA MATUSI YA NGUONI MITANDAONI
  TUKUTANE KARIAKOO SALOON

  ReplyDelete
 16. Hongera sana mpenzi nakutakia maisha mema but punguza kulala na baba zako fanya upate mpenzi wako kwa jina la Yesu

  ReplyDelete
 17. Kusema ukweli sikupenda speech ya Lulu, alivolia mi nkajikuta namcheka alafu sio mimi tu, ukicheki audio na wale waliokaa mbele pale walikua wanakonyezana wanamcheka. It was not moving at all kiukweli it was like she was acting on a real situation.

  ReplyDelete
  Replies
  1. mi pia huwa simpendagi but pale kulikuwa hamna acting based on her real life crisis..

   Delete
  2. ongela sana kwanza kwa tuzo umetoka mbali but ulichekesha mbaka wale wadada walikua wanacheka bola richi wadada wa bongo tatizo drama zimezidi ulikua kituko nguo haikukuaa vizur kibaya zaid alikutana na watu wanao jua kuvaa next time plz msipanie sana

   Delete
 18. Nguo yake haikumpendeza wala haikukaa vizuri hasa kifuani.

  ReplyDelete