asas

asas

sintah

sintah

UKAWA WAIKAMATA DAR-ES-SALAAM

Meya mteule wa Jiji la Dar
Kwa mara ya kwanza na tukio la kihistoria Ukawa wameiteka Dar-Es-Salaam na vitongoji vyake nikimaanisha sasa jiji la Dar litaongozwa na wapinzani na sio chama tawala, Mayor wa Dar sasa ni Isaya Mwita.

3 comments:

 1. najua umeandika kishingo upande ila ndo hivo... AMEKUWA ASSET NA SIO LIABILITY

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ki vipi?Sasa hivi nchi ni ya Magufuli sio CCM wala CHADEMA,MAGU hana hayo ya UKAWA/CCM/ADC n.k yeye ni mtu wa hapa kazi tu.
   Kwani hukumsikia juzi akiongea alipogusia uchaguzi wa huo umea?

   Delete
 2. MEYA UKAWA. SERIKALI KUU CCM SO WAPINZAN MSISHADIDIE SANA.YAAN HAPO KUNA VUTA NIKUVUTE KALI. HUYU JAMAA ATAKUWA KWENYE WAKAT MGUMU SANA KUTEKELEZA ILANI NA AMRI ZA CHAMA CHAKE

  ReplyDelete