asas

asas

sintah

sintah

UKISTAAJABU YA ZARI UTAONA YA TINNY


Tinny na TI wakaribisha mtoto wao wa saba ulimwenguni,  hapo ndipo unaamini kwamba tatizo sio unazaa watoto wangapi, tatizo kubwa una hela ya kuwatunza mpaka wakawa wakubwa na shule ukawasomesha? wengine kuzaa ni vipaji so usimseme mtu hovyo nawakati wewe huna hata mia ya urithi,, ukijisikia kuzaa mtu zaa hata kama una watoto kumi si wako huwezi jua nani atakusaidia hapo mbeleni,....

14 comments:

 1. Wewe nawe fuata

  ReplyDelete
 2. Bi dada hivi huwa unafanya research kabla ya kuandika habari zako au unakurupuka tu? T.I ana watoto 7, ila kwa Tinny ni mtoto wa 3 aliozaa na TI... Mxiiiuuuu ,.. Diplomat my fooot...

  ReplyDelete
  Replies
  1. Issue ni watoto saba,baba yao nani inakuhusu wewe au??

   Delete
  2. mdau naomba ukafanye shopping mlimani city nakuja kulipa

   Delete
  3. Kwani hujui akili ya kizee sinta umepinda kama vimiguu Baja vyake?research afanya wakati hajui hata maana yake, na hapo ana hiyo diplomasia feki sitaki kujua ilikuaje kabla. Zari kampiga kibuti na vioo kampandishia sasa anabakia kuweweseka mchana na jua Kali hili,msonyooooo

   Delete
  4. Eti ukistaajabu ya zari,yapi sasa ya kustaajab? Mwenzio anakula kuku na familia yake mapenzi motomoto,wewe utaishia kununuliwa chipsi na kutombesha papuchi lako iliyojaa vipele. Hakuna hata aliyekutambulisha mbele za watu, kiruuu sinta unamikosi. Kaogee mkojo wa mamba mwaya angalau upate hata wa kupiga nae picha

   Delete
 3. Sasa ata kama kazaa nae watatu ao wengine wanaishi wapi mi nampenda tiny ana roho ya kipekee ni mama wa kambo Ila anawapenda watoto wote bila kubaguwa Na t.I pia huwezijua watoto wako tofauti jinsi wanavyoidhi nampenda TI I wish awe mume wangu anafahamu jukumu la Baba pamoja Na bangi Na muziki Ila kwa suala la kulea nampa bigup

  ReplyDelete
 4. hayawani mkubwa kama bibi yako zari.

  ReplyDelete
 5. Replies
  1. Kama ni pumba basi ww ni kuku ✌

   Delete
 6. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œ Pyeee diplomat my foot

  ReplyDelete
 7. Sintah pole sana. Shule haijakusaidia hata kidogo. Kichwani hamnazo.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wewe ilokusaidia umefata nn hukuπŸ’ΌπŸ“–✏ haya nenda library

   Delete
 8. Nisawa kama pesa unazo nakizazi Unacho nikuzaa tu asiejua nani kama watoto ndioraha ya dunia tena ukizaa Wengi niraha muhimu kuwakabizi kwa mungu tu,maana mungu ndio mamboyote iliwasiwe majambazi au Makahaba wakakusugua nafsi.kilamwanamke na azae tu kwakweli hatawasiopata mungu atawasaidia mtapata mumtegemee yeye ndio mamboyote ilamkumbuke mungu hawahi walahachelewi in a perfect time utapakata tu.

  ReplyDelete