asas

asas

sintah

sintah

BASILLA MWANAKUZI AANZISHA FOUNDATION YA KUSAIDIA MAMA LISHE

Basilla akiwa na mgeni rasmi

mkurugenzi akimkaribisha mgeni rasmi

Mrisho Mpoto, Marium Ikoa na wageni wengine

dada yenu katika ubora wakeee

Mh Waziri akisalimiana na Hahim Lundenga

mgeni rasmi waziri wa afya Mh Ummy Mwalimu

Former Miss Tanzania Basilla Mwanakuzi ameanzisha tasisi yake ya kusaidia mamalishe wajiwezeshe vizuri, kama tunavyosema mwanamke akiwezeshwa anawezaaa, hongera sana Basilla beauty with a purpose, am happy for you, by the way Basilla ni my classmate pale Center of  Foreign Relations Kurasini, tumekuwa tuki supportiana sana tu, shukrani pia ziende kwa Waziri Ummy, Covenant bank na taasisi zote zilizompa support, taratibu mammy utafika tuu...

CEO..

11 comments:

 1. ok. Seen....next?

  ReplyDelete
 2. HONGERA BASILA 👏🏾
  WANAWAKE TUKIWEZESWA TUNAWEZA.
  NAFURAHI NA MFUMO WA TZ KWA SASA.KWANI WANAWAKE WATAFIKA BALI NA WATAKUWA THAMANI KWA WANAUME KAMA MATAIFA YA ULAYA .
  SINTAH ULIONEKANAAA !! NAMAANISHA UMETULIA

  UZEE MWISHO CHALINZE WOTEE MABABYYYY .FATA NYAYO SINTHA ACHA KUBLOG UMBEA HAPA HAYA NDO TAKUTULETEA .
  MUNGU MBARIKI BASILA NA WOTE WATAOMPA SAPORT

  ReplyDelete
 3. Hebu tuwekee pic za Ray c alivyo sasa na alivyomtembelea Jide na wanasemaje sinta tupe umbea wa moto vichwa vichangamke. Hongera kwa wanaoendelea kufungua foundations sisi tupo tu hadi Mungu atakapotujalia.

  ReplyDelete
 4. Hebu tuwekee pic za Ray c alivyo sasa na alivyomtembelea Jide na wanasemaje sinta tupe umbea wa moto vichwa vichangamke. Hongera kwa wanaoendelea kufungua foundations sisi tupo tu hadi Mungu atakapotujalia.

  ReplyDelete
 5. mshamba wewe pochi huwa haziwekwi mezani mkipenda kuiga muige na ustaarabu. hii ni kwa wote mademu wa kibongo mtu anaenda mtoko wa dinner na mpochi mkuubwa akifika anaubwaga mezani huo si ustaarabu. mjifunzege vitu muhimu sio kutwa kushika vibendera vya umbea.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Huyu nyampua utamuweza? ushamba umemzidi. hiyo pochi aliiweka hapo ili itoke kwenye picha muione. pochi yenyewe ya kawaida sana tu. labda aseme ndio kanunua mpya leo.

   Delete
 6. Mrisho mpoto sio kwa hicho kilemba babaaa nkikii. sinta hebu tuwekee emoji...kwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiii

  ReplyDelete
 7. TAYAR USHAMUITA MSHAMBA, hivyo haina haja ya kuwa mjanja. sinta long live. hiki kijiwe chako kitamu ila unakiharibu sana kwa kuchelewa kuachia comments

  ReplyDelete
 8. Comment humu hata 10 hazitofika.watu wanapenda umbea tu, na uki post umbea wanalalamika, ila angalau comments zina jaa jaa

  ReplyDelete
 9. Huyo basila sijui walimchaguaje huo u miss majanga tu huko usoni. .

  ReplyDelete
 10. Centre of foreign relations! Centre FOR foreign relations. !

  ReplyDelete