asas

asas

sintah

sintah

CHIBU DANGOTE WA BONGO NA MBWEMBWE ZAKE....

Katika hali ya kuchekesha na kusikitisha pia maana walikechi mpaka ungewaonea huruma, jinsi mashabiki walivyokuwa wanaropoka na kusema mbofumbofu katika IG kwanini atoboe pua, wajameni wa Tz wanapenda mitandao sanaaa pepo wa mitandao katawala na ni baya maana hakuna tunachofikiria ni fulani ka post nini  ili tuchambe mwenzenu alikuwa katika swagga matata nyie mnatokwa na maneno hebu nicheke mie na kawakomesha wanaopenda kupaniki halafu maisha si yao ni ya kwake mwenyewe, tumejuana ukumbwani na tuendelee kuheshimiana, IG sio ya mama yako wala baba yako yanini utokwe na mapovu....

27 comments:

 1. mtaa wa pili pole sana. talaka on fleek

  ReplyDelete
  Replies
  1. WATZ BAADHI KAZI HAMNA .
   MTAINGOJEA SANA TALAKA YA MWENZENU KAA NYI NDO MLIMWOA
   GOD BLESSSSSSD
   MANGE NA WANAWAKE WOTE WALOKAA KTK NDOA ZAO
   NA MNAOWAOMBEA WENZENU MABAYA YAWARUDIEEER.

   Delete
  2. we nawe utakuwa mnusa matako wa kichwa mdudu,wewe ulikuwa wakati wanaachana??unakuta unashobokea ya wenzako wakati mume wako au mshkaji wako anakitombesha kila kona...pumbafuuuu

   Delete
 2. Hivi angetoboa Idriss ungemsifia au ungemtetea hivi ? afu wajiita diplomacy khaaa!! diplomacy my stinking cunt..... DOUBLE STANDARD BITCHHHHHHH

  ReplyDelete
  Replies
  1. so true...double standard biatch...

   Delete
 3. NYANI HAONI KUNDULE
  Mbona mapovuuuuu!!!
  Maisha si yao ni yake!!
  Wanaoenda mitandao kujua nani kapost nini?
  SINTAH YOTE ULOYASEMA YANAHUHUSUUU WEWE!!
  KAA FASHION WATOBOE WANAO PUA NA MASIKIO
  TUULIZE SIE TUKUHADITHIE USENGE NCHI ZINGINE UMEPITISWA NAMAKANISA YANAFUNGISHA NDOA.
  SASA MOND ANAPOKIFANA NI MSOUTH AFRIKA ! WAKATI ALIMWIMBA CHID BENZI YY NA NEY NDO HAPO !WATU POVUUUUUUUUU

  ReplyDelete
 4. wewe mbona huwa unatokwaga mapovu kwa wengine au kwa kuwa Diamond ni Mungu?

  ReplyDelete
 5. Hahahaha he knows Tanzanians well.They like dictating people's lives .Good promotion for the reality show if its true.We are anxiously waiting.

  ReplyDelete
 6. Hahaha anyone noticed he is putting on Zari's diamond ring?

  ReplyDelete
 7. wacha kujikosha nyamafu wewe mbona wewe kutwa kufuatilia maisha ya watu. na wewe waache watu na maisha yao hilo umeliona kwa mondi tu.

  ReplyDelete
 8. Dada Munalove, kwanza shikamoo, japo najua utaikataa shikamoo yangu, maana mpaka leo bado unaji-bebisha wakati kidali poo ulicheza na shangazi yangu wa Kimara....Anneth. Shangazi yangu sa hivi mashavu yashachuma kunde....shauriro.

  Leo naomba niongee na wewe kidogo kuhusu huu mwenendo wako na unapoelekea.

  Da Muna, kwanza mie nakupenda sana...sana, na ni mmoja wa follower wako kule Instagram, japo si kwa user name hii.

  Da Muna, unakumbuka jina lako la kuzaliwa, namaanisha lililopo kwenye cheti cha kuzaliwa pale ofisi za RITA? Nakumbuka ulikuwa unaitwa Maimuna Hassan, leo nasikia hutaki hata kulisikia, na unajiita MunaLove, Muna mapenzi....kwa mapenzi gani haswa?....ungekuwa unajua mapenzi na kuhandle bwana usingemkimbia Peter, mumeo wa kwanza, ndio.... kwani hukuwahi kuolewa wewe?....unajisahaulisha? Maana katika page yako kule insta hakuna hata picha moja ya baba mtoto wako....sio vizuri.

  Zari yuko na Diamond lakini kwenye page yake picha za Ivan zipo, hata kwenye page ya Dina Marious kamuweka ncha kali wake Ndege japo wamebaki kulea mtoto. Mh. Sugu na matusi yote aliyopata na anayoendelea kupata bado hajafuta picha za Faidha na mwanae Sasha, itakuwa wewe ng'anda wa karatani?

  Haya sasa turudi, hivi Kalala jr a.k.a mariyoo ndo mshaachana jumla eeeee, basi kazi. Kwani hiyo Mil.1 'uliyomkopesha' ndo tiketi ya kuachana kwenu?
  Kwanza aliyekwambia 'ukweni' panakopeshwa nani? Kwa akili zako ulijua Kalala ukimkopesha hiyo pesa atakulipa? Kweli mjini umekuja jana na roli la makabichi, Ila ushajifunza kuwa wapenzi hawakopeshani...elewa hivo.

  Haya bidada, hivi unakumbuka asili yako wewe, unalikumbuka kabila lenu kweli? Unakumbuka enzi za Kanumba wewe na Dida mlivyokuwa mmepauka kama goti la kilema?.... Leo hata kutoa fungu la kumi kusaidia wasanii wenu mnashindwa? Wewe (inasemekana) unauza ngada, Dida (inasemekana) anauza ngada, ila yote maisha.

  Hivi unakumbuka kama ulikuwa na mume wa ndoa anaitwa Peter, mtoto wa Magomeni? Najua huwezi kumkumbuka maana ushawapata akina Kalala jr na Petiti man..

  ReplyDelete
 9. mmmmhu mhuuuu nlikua cjajua kumbe ndo maana jana sokoni mwana kwerekwe nimewakuta vijana wanawazomea mashabiki wa diamond kuwa keshaolewa huko ulaya kumbe katoboa pua duuuh wala sikuungi mkono mpendwa

  ReplyDelete
 10. Dada Munalove, kwanza shikamoo, japo najua utaikataa shikamoo yangu, maana mpaka leo bado unaji-bebisha wakati kidali poo ulicheza na shangazi yangu wa Kimara....Anneth. Shangazi yangu sa hivi mashavu yashachuma kunde....shauriro.

  Leo naomba niongee na wewe kidogo kuhusu huu mwenendo wako na unapoelekea.

  Da Muna, kwanza mie nakupenda sana...sana, na ni mmoja wa follower wako kule Instagram, japo si kwa user name hii.

  Da Muna, unakumbuka jina lako la kuzaliwa, namaanisha lililopo kwenye cheti cha kuzaliwa pale ofisi za RITA? Nakumbuka ulikuwa unaitwa Maimuna Hassan, leo nasikia hutaki hata kulisikia, na unajiita MunaLove, Muna mapenzi....kwa mapenzi gani haswa?....ungekuwa unajua mapenzi na kuhandle bwana usingemkimbia Peter, mumeo wa kwanza, ndio.... kwani hukuwahi kuolewa wewe?....unajisahaulisha? Maana katika page yako kule insta hakuna hata picha moja ya baba mtoto wako....sio vizuri.

  Zari yuko na Diamond lakini kwenye page yake picha za Ivan zipo, hata kwenye page ya Dina Marious kamuweka ncha kali wake Ndege japo wamebaki kulea mtoto. Mh. Sugu na matusi yote aliyopata na anayoendelea kupata bado hajafuta picha za Faidha na mwanae Sasha, itakuwa wewe ng'anda wa karatani?

  Haya sasa turudi, hivi Kalala jr a.k.a mariyoo ndo mshaachana jumla eeeee, basi kazi. Kwani hiyo Mil.1 'uliyomkopesha' ndo tiketi ya kuachana kwenu?
  Kwanza aliyekwambia 'ukweni' panakopeshwa nani? Kwa akili zako ulijua Kalala ukimkopesha hiyo pesa atakulipa? Kweli mjini umekuja jana na roli la makabichi, Ila ushajifunza kuwa wapenzi hawakopeshani...elewa hivo.

  Haya bidada, hivi unakumbuka asili yako wewe, unalikumbuka kabila lenu kweli? Unakumbuka enzi za Kanumba wewe na Dida mlivyokuwa mmepauka kama goti la kilema?.... Leo hata kutoa fungu la kumi kusaidia wasanii wenu mnashindwa? Wewe (inasemekana) unauza ngada, Dida (inasemekana) anauza ngada, ila yote maisha.

  Hivi unakumbuka kama ulikuwa na mume wa ndoa anaitwa Peter, mtoto wa Magomeni? Najua huwezi kumkumbuka maana ushawapata akina Kalala jr na Petiti man..

  Hivi unajua Peter alipo? Ndio, Peter, baba wa mtoto wako Patrick. Nasikia unamwambia Patrick mwanao kuwa baba yake ni Kalala jr, haya, ushaachana na Kalala jr, mtambulishe kwa Petit man maana kila kukicha baba wapya.... mpaka mimba kakupachika!

  Mumeo Peter alikupenda sana, ila ndio kisicho riziki, ukamuendea kwa mganga, ukamfusha na mafusho yako sabini....baba wa watu kawa kama zezeta, wewe ulikuwa sio wa kumlaza mumeo wa ndoa Peter chini sakafuni, kitandani ukalala na Kalala Jr,....haya kiko wapi.

  Peter alikusitiri sana kaka wa watu, we sio wa kumcheza shere ilikuwa.
  Alikutoa mafichoni na vi-maigizo vyenu uchwara... ulikuwa umekauka kama Rubby,....ulikuwa unanuka vumbi. Ila hukumbuki hata moja lake, kweli tenda wema.....!! Leo wamlaza kaka wa watu chini.

  Peter akawa zuzu mzuzue, ulivyoona anakubana, ukaamua kuhamia kwa Kalala jr, huko hamkudumu mkaamua mpange nyumba. Haya.. Kalala kaosha rungu weeeeee, Petit kiulaini kaja kufunga goli, kweli Mungu shibidu.

  ReplyDelete
 11. Halafu ujue Hamisa japo haongei ila inamuuma, wewe sio wa kumkuwadia Lulu kwa Majey, ndio hata kama Hamisa alimpokonya Majey kwa Zuhura, ila kumbuka kazaa nae... Ona anamlea Fanta na baba mwingine, William Bugeme, (Bossmtoto)... Hamisa nae alimpokonya William kwa Linnah, walah wasanii wa Bongo wachafu sana!

  La mwisho kwangu, Da Munalove ndugu zake Peter wanaomba ukamzindue ndugu yao maana kawa kama ndondocha. Mpaka leo hajaoa, nyumba yake kaikimbia... anakaa kwa mama yake mzazi. Usiku kucha anakutaja wewe Maimuna Hassan, (mganga wako kiboko).

  Pia hiyo mimba ya Petit jiandae kugombana na ukoo mzima pamoja na team nzima ya Diamond, Esmakham, Zari, Kiba na Kalala jr.

  Halafu wewe sijui una zindiko gani....unajua mwanaume akiwa nawe halafu akija kuachana nawe, hapandi juu ng'oooo. Nahisi unawabebelea nyota zao.
  Au ndo Kinje anavyowatuma nyie punda wake?

  Mie sijakuchamba sana maana naogopa usije ukakataa kunialika kwenye baby shower yako bureeeeee!! Si unajua mie team Wema and Muna.

  Ila Da Muna, kama kweli Lulu anataka kufunga ndoa na Majey waambie wahamie angani....si unajua muosha huoshwa eeeee. Sie yetu macho na masikio!
  Muone, ndio maana umem-bambikia Peter mtoto....Patrick sio wake.

  ReplyDelete
 12. halafu wanasema mama yake ndo aliyeenda kupokea mahari

  ReplyDelete
 13. Huyo mtoto si wanasema wa yule mtangazaji wa Cloudz TV Castor Dickson. SENT AS RECEIVED FROM JAMII FORUMS.

  ReplyDelete
 14. House girl wa kichwapanziApril 8, 2016 at 4:01 AM

  Jamani mashauzi yanataka pesa now kwishney....... Mume anatrasfer dollar 100 pole.. Pole jirani and welcome to single mothers club.... Yote ni maisha jirani

  ReplyDelete
 15. Kichwapanzi oyeeeeeeeeee
  Ndio habari ya mjiniπŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½

  ReplyDelete
 16. We sintah ww Huyo chibu hata akinya hadharani utamsifia. Mjinga mmoja kaniudhiiiii!!!!

  ReplyDelete
 17. Mbona wanamuhukumu Diamond tu na mapovu yanawatoka kupita kiasi km sio maadili basi hata kina Joti na kina Masanja, Mpoki kuvaa nguo za kike na kujiremba kma wananawake sio maadili yetu pia je hao nao tuwaite nani?

  ReplyDelete
 18. MM mi kiwe kipini cha kweli au si chakweli sijapendezewa kabisa na alichofanya du kweli huko tunakoelekea sasa......

  ReplyDelete
 19. Anatuabisha huyu jamaa kwakweli

  ReplyDelete
 20. HUYU MALAYA NURU THE LIGHT ANA ROHO MBAYA SANA
  Diamondi yupo ulaya anafanya tour lakini hauweki picha yake hata moja kwenye blog yake aache wivu kama mziki hauwezi hauwezi tu unasubiri diamond anasubiri achemke ndio apate cha kuweke tbt zake anaweka mbona anavyoshaini haweki alikuwa hapo sweden hakuweka wivu kwa simba utawauwa nyie ndio wachawi wa watu tusione post za diamond kwenye blog yake hata siku moja tutamvua nguo

  ReplyDelete
  Replies
  1. lakini kweli diamond kasaini mkataba na spotify hata kuweka jamani huyu dada kwani huwa ana matatizo gani yaani anakuwaga na chuki tu akiona unatoboa alikuwa anamnunua vanessa kisa ommy dimpoz sasa na diamond anamnunua kisa wema au zari tujue basi sio kwa wivu huo ka, kimziki amekufa kitambo azae tu alee watoto maana umri umemwacha kama sio 40 huyu ni zaidi lakini kutwa kujishebedua kwenye facebook na blog yake na vichupi nani ana mda na wapigwa pasi amkome simba afu utasikia wasanii tuungane nani aungane na wachawi kama hawa

   Delete
  2. Khee! kumbe basi ana roho mbaya! Siyo mtu mzuri huyo. Alitakiwa amsapport diamond na siyo kujifanya hana habari nae. Kumbe roho inamuuma!

   Delete
 21. Anon ugumba unamsumbua huyu ukitaka kujua matatizo ya ugumba yana stiresi ndio hayo chibu kamkosea nini kama alitaka dudu si aseme tu hatupondei wagumba ila hawa wa ugumba wa kujitakia kwasababu ya kutoa mimba wanakuwa na hasira sana amuache simba wetu hana shida na blog za bei chee Sintah we love you weka chibu humu

  ReplyDelete
 22. ivi kweli mnakaa kumjadili huyu fungu la kukosa hilo

  ReplyDelete