asas

asas

sintah

sintah

CHURA ANARUKA, RUKA CHURA


Watu wengi sana wanamaoni tofauti na huu wimbo, tatizo si wimbo, tatizo ni hawa watu wanaocheza katika wimbo huu, unafikiri unaweza ukaangalia huu wimbo ukiwa na baba yako, mama yako ama mtu yeyote mkubwa? hivi kwanini sisi wanawake tumewekwa kama chombo cha kudhalilishwa? maana kutikisa matako hivyo ina maana gani yarabi, kweli kizuri kinajiuza na kibaya kinajitembeza mnooo..... halafu hii inayocheza ni mijitu mizima atiii au inadanga?? haaaa buku jero dadadekiii mume wangu hawezi kuangalia hii video hata aiseee bora na hizi nyimbo hazijui kabisa  ataniuliza baby huu ni utumbo gani??

62 comments:

 1. HUU NI UDHALILISHAJI MKUBWA WA WANAWAKE.
  TUNASHUSWA THAMANI YETU HATA YA MNYAMA INAKUWA JUU.
  TANZANIA SHERIA ZA MAANA KWETU ZIMEFUTWA, NA KUBAKI ZILE MTU AKIKUTUKANA UNAWEKWE JELA ! SNURA ,SHOLOLE,GIGY MONEY NA BAADHI YA WANAFUNZI WA VYUO WANAOWEKA PICHA ZA UCHI MITANDAONI .
  WANATUDHALILISHA MNO .
  ACHA MAGUFULI AENDELEEE KUTIMUWA WATU . KWANI WAZIRI WA HAKI ZA WANAWAKE HAYAONI HAYA ? HUKU NI KUPOTOSHA KIZAZI .....
  KISHA WASANII WANATEMBEA MASHULENI KUELIMISHA WANAFUNZI WA KIKE ETI SISTERS SISTERS ?????
  UKAMWELIMISHE MTT WAKATI WEWE HUJAELIMIKA INSTAGRAM YAKO PICHA ZA AJABU TUPU .
  NEY ALISEMAGA MALAYA WENYE VIWANGO WAPO ......

  ReplyDelete
  Replies
  1. mie ni mwanamke na nimeipenda sio udhalishaji ni usanii isiangaliwe mchana wakati watoto wako macho iwekewe level ya x
   mitaani kuna mengi ya udhalilishaji hamlalamiki hii ni ngoma za kienyeji za Tanga pwani na kwingineko sioni ubaya wake

   Delete
  2. akifanya Diomond ni sawa kafanya Sanura udhalilishaji acheni zenu

   Delete
  3. Nimeipenda hii kwa gym mambo ya mazoezi na kitchen party imekaa poa

   Delete
  4. Nasema nao ya chibu vepee?

   Delete
 2. Kha limbo gani huu! Sauti mbaya hajaipangilia vzr.....yaani umekaa kihuni tu....haunt maadili kabisa! Yaani wanawake wanajidharirisha mno! Yaani nimeshindwa kuendelea kuangalia ! Kweli watu wengine watachukua muda mrefu kufikia maleng Yao kwani nani atanunua cd hiyo na kuangalia na familia au hata rafiki tu??majanga ulikuwa wimbo mzuri....ila huu no big noooooo!kuanzia sauti,mashairi mpk video!

  ReplyDelete
  Replies
  1. ha ha ha wanawake mnajua kuyashusha mauno

   Delete
 3. Ni ujinga usiopimika,alaf ndani hawajavaa kitu.hv huyu snura ana utawala/washauri kwl?
  Basata tunaomba video ifungiwe na snura na uongozi wake wapewe adhab,ujinga huu sio wa kuentertain.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ya Diamond mbona hamkusema?

   Delete
  2. leo wanaume watashinda humu

   Delete
  3. Huyu ndio Snura Majanga tupe raha

   Delete
 4. Naupa 1/10 kwa kweli hamna kitu hapo. Wimbo hauna maadili kabisa. Sijui kwanini huyu dada anajidhalilisha hivyo na ni mtu mzima ana muwa na watoto. Sidhani kama yeye mwenyewe anathubutu kuungalia seblen kwake akiwa amekaa na watoto wake.

  ReplyDelete
 5. yaani huu wimbo utumbuliwe tu maana ni jibu mambo hayo ya chumbani na bwana wako kwa kweli haustahili kuwekwa seblen

  ReplyDelete
 6. mijitu mizima ovyooo kunukisha wenzao minduku tu. Yani isivo na haya inabong'oa hivi stejini wakati mbele kabisa kuna watoto na wajukuu wao. Nashangaa sana kuona upuuzi huu unaruhusiwa. imejilaza stejini imetanua misamba, inarusharusha mitako isokuwa na chupi, watoto wanashangaa, wanawake wanafumba macho mibaba imeduwaa. Wanafundisha nini haswa? Na kwanini wanaruhusu watoto wadogo kuingia ktk shoo kama za hawa zisizo na maadili? WHAT A SHAME!!

  ReplyDelete
 7. Maskini angalia yalivojianika ndani ya maji..ka machizi. Haya hayana wala hayajui vibaya. Uchafu bin kujidhalilisha. Wanajiona wajanja kumbe washamba. wakitoka hapo presha zimewapanda nyeti zimewavimba for what?

  ReplyDelete
 8. Nyie wenye blog mnaweza kabisa kutufikishia ujumbe, huu wimbo hapana jamani, aibu gani hii, hao wenyewe wachezaji wamefunga macho, kama alifungiwa Shilole huyu kabisa afungiwe. Snura sidhani kama anaiwakilisha vyema tasnia ya muziki, zaidi anatuaibisha wanawake.

  ReplyDelete
 9. Watu wazima hovyoooo, huu ni uchafu gani sasa na inavyoonekana karibu wote ni mashangingi wanaojiuza. Wanawake ndivyo tunavyodharaulika kwasababu ya vitu kama hivi puuuu

  ReplyDelete
 10. ha ha haaa hataree hii chura itasurvive kweli? nahisi kaingia gharama bure kuwalipa hao chura wake maana wasipoifungia hii video sijui.

  ReplyDelete
  Replies
  1. My dear pengine hao wachezaji hata hawajalipwa cha maana, wamefurahia kozi hapo wanatangaza biashara yao mwanamke mwenye stara yako huwezi fanya ujinga kama huo hata kama utalipwa mamilioni. Malaya wote hapo na hapo wanatafuta soko. PUMBAVU ZAO.

   Delete
 11. Ovyooo mziki hauna message ya maana na hauna heshima wala maudhuri yake minaona kujiuza tu

  ReplyDelete
 12. Yaani ni BIG NO ifungiwe haraka sana kuanzia nyimbo mpk video,

  ReplyDelete
 13. ni big NO haun amaadili hata kuangalia na mume wangu naogopa asije nitoroka kwenda kutafruta chura wa snura

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nimecheka mpaka nakufa kucheka

   Delete
  2. Na kama uko bongo shosti mmh itauzwa hadi nyumba ya urithi mradi chura mmoja aliwe hapo. Wenzio tulio mbali wanaishia kula kwa mijicho na kupigisha push up midushelele up n down! Chupi zitaishia kuwatuna ka si kutoboka.

   Delete
 14. watu wazimz hovyooo hawana hata haya

  ReplyDelete
 15. Yaaani uyu Dada nimemtoa thamani kwa huu wimbo mwenyewe anaona siiifa mtaishia kuzalishwa tu nani akuoe mtu kama wewe umri unakwenda badirika hivi mwanao uyo mkubwa akiangalia huu wimbo atajisikiaje jitu zima ovyooooooo sura mbayaaaaaa mkorogo tuuuuuu

  ReplyDelete
 16. JAMAN KWA ANAYEIJUA DAWA NZURI YA MBA YA MWILIN ANISAIDIE JINA NIKANUNUE

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mafuta ya break. au kama umesambaa sana utakuwa unatoka kwenye damu hivyo ni lazima uende kwa doctor upate dawa ya kupaka na kumeza.

   Delete
 17. Snura hanaga sauti ya kuimba analazimisha fani angebaki tu kwenye jumba la dhahabu kwenye scene zake za kupigana yani hapa pumbaaa kabisa

  ReplyDelete
 18. Duuuuuuu hii video haifai kabisa aibuuu hivi kweli basata wameiruhusu hii ? Sauti mbaya. Yani hii nyimbo labda ni ya kuonesha kutikisa makalio tu.

  ReplyDelete
 19. Kama kuna watu wanalazimisha fani ni huyu Snura. Sauti mbayaaaaaaaaaaaaaa, yaani hata sijui sauti yake ni ya 13 au 17 maana haipo katika ile viwango sijui sauti ya 1, 2, na ya 3. Khaaa. Hapo na yeye anasema katoa singo? Pheew! I say si kila mtu anaweza kuwa mwanamuziki aisee wengine tubaki tu kuwa mashabiki. Yaani huyu Snura hata kwenye ile sijui singeli wala hafai. Snura bhana huna sauti, unalazimisha fani!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. hahahaa itakuwa ya 101 hiyo sauti..anaimba utazani kabanwa na korido la mkoundu wa mmojawapo wa hao damn frogs!!sauti ka ushuzi wa ghafla!

   Delete
 20. SINTAH IMEKUWAJE TENA WIFI YAKE ZEE CHA MDOGO NA MKWEWE WAMEFUTA PICHA ZOTE ZA MAMA TEE? MWAMBIE ASIJALI MAPENZI NI YA 2 BHANA. WANATAKA MR. NGOLOLO AWE NA MWANAMKE GANI? MAANA HATA BI MICHIRIZI ALIKUWA MBAYA KWAO. HIVI HAWASHUKURU KUMPATA MAMA TEE MWANAMKE MWENYE AKILI NA MTAFUTAJI? WANATAKA ABADILI MADEMU MPAKA LINI? TATIZO LA FAMILIA ZA KIMASKINI NDUGU 1 AKIPATA WOTE MNAJAA NYUMBA MOJA. HUYO WIFI CHA MDOMO NDOA IMEMSHINDA AMEBAKI KUINGILIA MALOVE YA BLAZA NA MAMA TEE. HIVI KWA NINI MR. NGOLOLO ASIMWONDOE HUYO DADA YAKE CHA MDOMO AKAPANGE KWINGINE NA HUYO MKWE SI WANA NYUMBA NYINGINE WAKAISHI? WAMEJAZA MADALE WANAPISHANA TUUUU KHAA. SASA NA HUYO MR. NGOLOLO AJIFANYE KUWASIKILIZA HAO NDUGU ZAKE NINGEKUWA MIMI NDIO ZEE HAKA KA TEE NINGEMPA KAT**** KWA ROHO SAFI. MAWIFI TUPUUNGUZI USWAHILI.COM. WEWE KAMA NDOA YAKO IMEKUSHINDA USIINGILIE YA KAKA YAKO MWEEE. (NI MAONI TU)

  ReplyDelete
  Replies
  1. Samahani namba kuuliza mama Tee anajishughulisha na nini au kutafuta watombaji all over Africa? Wadada tujikubali na kujiamini, kwa sasa mm najikubali sana na kuheshimu sana kazi yangu coz nimegundua wadada wa mujini wote ni Malaya wanaojiuza kitecknolojia na kuaminisha watu kwamba wao ni wachapa kazi, hawana lolote kuanzia huyo mama Tee ni ntombe nile and all wadada wa mujini wenye viboutique uchwara ni akina ntombe nile tu

   Delete
  2. Watu ni waongo mbona picha za mama Tee zipo tena hata ya kumuwish happy birthday wife mama Tiffa Dangote zimejaa tele wewe shuku chini kwenye picha zake zote utaziona pamoja na za Tee.

   Pia kuhusu kuwa Esma ndoa imemshinda its too early to say that. Wote bado ni watoto na wamejaa pride ila I am sure mwaka hauishi watarudiana na Petiteman na maisha yatasonga

   Delete
  3. shosti unatuharibia radha ya comments bana. Ya kina zee na tee hayapandi sana sikuizi, watu washawachoka. ushakoment kuhusu huu wimbo? kama bado toa basi lako tujue umeupokea vipi ujumbe wa huu wimbo kwa maneno na vitendo. Neno ni chura anarukaruka na tendo ni kutingisha mitako isokuwa na chupi. Je waonaje mwenzetu?

   Delete
 21. Pumbavu kabisa.

  ReplyDelete
 22. MWENYE MMBA NUNUA DAKTARIN NENDA PHARMACY ZIPO

  ReplyDelete
 23. MUNGU tunusuru kama kweli mtu mzima mwenye watoto anafanya vitu vya ajabu kama hvi sielewi tunakoelekea naona shetani mwenyewe anashangaa wanadamu wamegeuka wanyama hata wanyama wana staha kweli unawezaje kucheza vitu kama hivi ukiwa kama mama.Wanawake ifike kipindi tujitambue tuwe wa kwanza kukemea vitu kama hivi tusiruhusu kabisa vitu hivi kwenye jamii mana inatuvunjia heshima unakaaje seblen unatizama vitu kama hivi.BASATA kwa kweli wakemee hii kitu lilivyotahira eti link kwenye Bio ukisubiri kwenye tv utakesha nahs ana funza kwenye ubongo

  ReplyDelete
 24. Sijaupenda huu wimbo ni upuuzi mtupu.

  ReplyDelete
 25. KWANI ZARI KAOLEWA NA DAI? HATA USEME MAWIFI NA MAMA MKWE WAPUNGUZE USWAHILI. YEYE KAJIINGIZA KWA MBEMWE NA KUZAA JUU. HALAFU ANATAKA KUWAPA AMRI MPAKA WIFI NA MAMA DAI. UNAFIKIRI WAMELALA USINGIZI KAMA MAMA PEKUPEKU.

  ReplyDelete
 26. bi masumbuko amnganganie huko us. lakini tz hana chake Domo kashachakachua zamani huku wakimcheka kisogo. upo nyonyo!

  ReplyDelete
 27. PTUUUUUUUUUUUUUUUUU,mpaka mate yamekauka.
  Ovyo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

  ReplyDelete
 28. hakuna cha ugomvi wala nini wanatafuta kiki tu nyimbo domo aliyoshirikishwa kama imebuma vile. Hivyo kwa wifi mtu kufuta picha za mama Tee watu mtaanza kelele na hapo mtajikuta mnaenda kuangalia ngoma ya kushirikishwa ya Dimondo

  ReplyDelete
 29. WAZIRI WA MICHEZO TUNAOMBA UINGILIE KATI WIMBO HUU WA CHURA WA SNURA KWA KWELI UNATUZALILISHA HASA SISI WANAWAKE. WAZIRI FANYA YAKO. TUMBU A JIPU LA UZALILISHAJI WA WAZI KABISA HATA HAUNA KUCHUNGUZWA

  ReplyDelete
 30. Hii ni haibu sana jamani basata lazima wachukue uwamuzi haraka sana mambo gani haya kuzalilisha wanawake tu

  ReplyDelete
 31. Hahhahahahhahahahhaha hizi msg, mbavu zangu hayo manungayembe yanatafuta soko,wapiiiiii,anko magu kabana kila kona, snura soko hamna bi shosti na manungayembe wenzio jaribu
  kilimo,kinalipa,

  ReplyDelete
 32. nYIMBO SI nZURI lakini matako yanatutia hamu kwenye tIgo, na nyinyi woote mloiponda wimbo huu, mpo flat kama Sintah

  ReplyDelete
  Replies
  1. utabakia kula tu kwa macho babaangu na kujiumiza bure huo uume wako. Uso haya wala kujua vibaya. Dadako au mamiyo wangekuwa hapo ungetamani tigo zao pia??mxiuuuu!

   Delete
 33. Wazee wa sikuizi sema nao wanafurahiya laana kama hizi. Ingekuwa zamani wangechapwa mitako yao hao wamama adi hiyo misamba ijifunge manake imesambaratika ka matuta ya viazi wakati wa masika. Ningekuwa karibu ningewapitishia mkia wa taa mitakoni hiyo miguo iwadondoke ndo tuone kama wataendelea kujirusha fahamu. shepu zenyewe tafrani shaghalabaghala. matako yamesawajika ka mdabwada (uji wa mchele). In short wako mvutoless. Umaarufu hautafutwi hivo jamani mmh!Shame on you Snula na hao chura wenzio.

  ReplyDelete
 34. Hee!Hao chura wapitieni mbali na mibuzi yenu..Itakuwa ishavurugwa by this time. Ikiwezekana hameni mji wale wenye vitombi. Ka naiona mibaba inavyokodolea macho hii video uku chura wakiwarukaruka ndani ya mibukta na Suruali..Mituno mitunonii!!maandamano jamani before its too late. Timua chura wachafu hao mujini wanachafua mazingira..bahari imechafukaaa!!

  ReplyDelete
 35. nimemkumbuka yule mzee aliyewatwanga risasi ya tako kanga moko...hawa risasi za tako zinawahisi...kwi kwi kwi...
  magu kakaba ...tafuteni shamba mlime...mabuzi hayana ela chafu za kuonga anymore

  ReplyDelete
 36. jamani huu ni uchafu wa mwaka yaani huyu dada ana akili timamu kweli??? du!!! hata kama kulazimisha kazi hii hapana. na hao waliocheza yani ni zero zero zero yani hamna kitu kabisa. pole zao na kwa familia zao kama wanazo. Haibu.

  ReplyDelete
 37. Acheni kulalamika Snura nyimbo zake zimekaa kihivi angalieni video zake zote ni mauno ya aina mbalimbali muacheni na ubunifu wake kelele za nini ebu mie niruke kichurachura

  ReplyDelete
  Replies
  1. Acha kujifagilia upuuzi na unyokonyoko wako. Angalia comments zote ulizoandika kuanzia 9:18 hadi 9:34 zote ni za mtu mmoja..muhusika mkuu! eti mauno. Bibi wimbo umekubumia. Hata ujaribu kutetea vipi the tribal has spoken. Enough is enough..eti wanaume watajaa humu!kwahiyo wakijaa ndo unapata nini mwenzetu? Aibuu bidada jipange upya. Fani haikufai katafute kazi vilabuni kule kwenye pombe za kienyeji kwa wachafu wenzako. Ovyooo! mijitu mizima kujirusha fahamu mchana kweupee!mfyuuu!

   Delete
 38. choi!! im still in shock, siamini mtu amekaa chini akatunga na kuingia gharama kutengeneza huu uchafu, mxiuuu.

  ReplyDelete
 39. Halafu wanawake mnapofanyiwa interview kwenye media mnasema wanaume wanatufanya vyombo vya starehe kwenye video zao.Wataalamu wanasema kuwa mala nyingi watu huwa wanakuchukulia jinsi unavyojichukulia na hii inajidhihirisha hapa wakati mwanamke anapowatumia wenzake kuonesha kuwa wao ni chombo cha starehe.Hii sio sawa.Wale wajasiriamali pitia MUKEBEZI BLOG upate elimu bure.

  ReplyDelete
 40. Sijawahi kupenda uimbaji wa snura. Sauti mbayaa, ujumbe hakuna, uchezaji zero

  ReplyDelete
 41. Mm mwenyewe siupendi kabisaa..wanaume mwenyewe wa sasa hawachelewi kutafuta hao machura...basis ni mtihani mtupu!!!

  ReplyDelete
 42. hapa umalaya unahalalishwa, basata naona wanapenda vyura.

  ReplyDelete
 43. hivi inakuaje mtu anawaza staili kama hii!! anaita watu kwa ajili ya mazoezi na kuwalipa kwa ajili ya kurekodi, kisha analipia kampuni ya kuwarekodi!! inasikitisha sana hasa pale inapokua mwanao nae ni mmojawapo ya madansa. kweli unatingisha tako hivyo mbele ya camera??? tena kwa juhudi zote ili kuonesha ufanisi.
  inasikitisha sana na inadhalilisha mno wanawake.
  Eeh Mungu tulele watoto wetu haswa kuanzia kizazi cha sasa na kijacho maana vishawishi na majaribu yamekua mengi.

  ReplyDelete