asas

asas

sintah

sintah

HONGERA SAVIO YA DON BOSCO KWA USHINDI MNONO (MICHEZO)


Unaowaonahapo juu ni mabingwa wa mpira wa kikapu mkoa wa Dar-Es-Salaam 2015/2016 Team Savio ya Don Bosco Upanga, ambao walicheza na vijana wa City bulls ambapo mpaka Sintah.com inaenda mtamboni Savio walikuwa wanaongoza kwa 66 dhidi ya City bulls 59.....

No comments:

Post a Comment