asas

asas

sintah

sintah

KICHUPA KUTOKA KWA RAYMOND - KWETU

Haya sasa Wasafi Classic Baby wanakuletea Official video ya mwanafamilia mpya wa Wasafi Raymond, haya hebu tukiangalie and rate out of 10, wewe ungeipa ngapi??

27 comments:

 1. VIDEO BOMBA SANA.

  ReplyDelete
 2. hivi mirror nyota ndo imegoma kumbemba?hahhahahhaaa

  ReplyDelete
 3. fitna kwangu mwikoApril 14, 2016 at 11:09 PM

  sina habare na wimbo kibinti kizuurii… ilonigusa ni hayo maisha ya uswaz mimaji michafu inapita mbele ya mlango sijui watotot wanaishi nvipi humu kipindupindu kikija kinazoa tuu hakuna hata barabara yani mtu ukiugua gari haiwezi kuja kukuchukua nyumbani nashangaa wajawazito huko sijui inakuwaje wakishikwa na uchungu msimu wa mvua.

  hivi jamani nini maana ya kuwa na mainjiania wasomi? pamoja na viongozi? kwanini nchi inakuwa haina mipango miji? tena hapo ni bongo wasomi kibao na viongozi wa nchi wamejishindilia hapo halafu mazingira ya wananchi wanaowatumikia ndo mabovu na namna hii.
  ndo hayo majitu yalikuwa yanapishana angani kuja huku majuu kula bata kwenye nchi za wenzao kwa kodi za hao hao walala hoi muuwasaidie basi noo ni kuendelea kuiba tuu shenzy sana, yalikuwa yanapanga foleni za kuja majuu huko kwenu kumeoza basi mkija huku mjifuze myapeleke bongo hapana ni kurudi na kwenda kuendelea kuiba zaidi na kutaka mnyenyekewe, mlaaniwee nyie majambazi papa hii video imeniuma mnoo… africa viongozi ni mijizii tuu na kutaka umaarufu huku nchi zimeoza mfyuuu walau Magufuli wetu ameyakomesha hayo malafi na anaguswa na pia ana uchungu, imagine awamu zote za marais waliopita wanafunzi wanakaa chini bila aibu hao waroho wanaendesha migari ya bei mbaya maisha ya hali ya juu ati wanatumikia wananchi mfyuuu uroho tuu na ubabe walao kipindi hiki mtanyooka kama rula.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Big up mdau

   Delete
  2. Wasafi wazidishe ubunifu siyo kuigana tu ukiangalia style zao za kucheza zinafanana katika nyimbo zao na hata baadhi ya nyimbo zao zinafanana ukisikiliza hello ya D na bado zinafanana. Huu wimbo wa kwetu mzuri naupenda, video average! Halafu video si lazima iendane 100% na maneno ya wimbo

   Delete
 4. very nice song and i really like the video 10/10 imeelezea uhalisia wa maisha ya uswahilini

  ReplyDelete
 5. Very beautiful song and video.8/10

  ReplyDelete
 6. mbona kavaa sweta la dimond?maskini au ndio kuambukizana ufreemanson?

  ReplyDelete
 7. hakuna lolote. kila cku ndo yale yale. wanafikiri kumuiga boss wao Domo watakuwa kama yeye, hawamuulizi anafanya nn cha ziada.

  ReplyDelete
 8. basi wabongo kwa kujifanya, hakuna ambaye hajui maisha hayo kama hukupitia basi ndugu yako kapitia au anaishi hivyo coz wabongo wengi wetu tunaishi huko maeneo ambayo ni squatter bongo ni mengi kuliko yaliyopangiliwa na watotot wanazaliwa kila siku tena hospital ukajifanye hujui wanafikaga vipi na kipindi pindu kikilipuka n mji mzima kinakuwepo tena usikute huko wala hakifikagi KHAA ACHENI KUJIFANYA FANYA WABONGO MNAPENDA MAIGIZO HADI KTK MAISHA HALISI ndo maana hatuendelei mtu anaanzisha NGO ya kupigania umaskini wakija wadau anawapeleka masaki na mikocheni ktk bangalores na villas ss huko kuna umaskini gani wa kuonyesha lets be real people hayo ndo maisha yetu halisi kama si ww basi yupo tu mtu ktk familia yako anayo na ushaenda sana tu ktk mazingira hayo au usikute huko ndo chimbuko lilipo

  ReplyDelete
  Replies
  1. kama hupendi maendeleo utajinye bibi sio kila mtu anayecomment humu amepitia maisha ya uswazz kama wee umeishi huko na familia yako kimpango wenu ila huko ni kuchafu mnoo kuliko nijidai ati naishi dar ni bora nikae kinjijini nipate hewa safii ya miti kuliko mauharo yapite mlangoni mwa nyumba yangu polee sana ndugu ubongo wko utakuwa umeathirika n maji taka ulokunywa wakati mdogo huko uswaz kwenu ulipokulia, Mungu niepushie mbalii ndugu yangu yeyote asije ishi maisha ya ajabu kama haya.

   Delete
 9. wimbo mzuri sana lakini video hajaindea haki, kiufupi mbayaaaa

  ReplyDelete
 10. Diamond vip tena mbona umemuangusha dogo kwenye video.

  ReplyDelete
 11. hata mimi siielewi kabisa hii video jamani ndio nini hiki

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kilichomcost ni kutaka kuonyesha kila neno aliloimba katika video nadhani alisahau hii ni video ya wimbo na siyo movie! Na kundi lao wanapenda sana kutengeneza video za nyimbo kama movie wakati siyo lazima! Na wabongo wanaamini video nzuri ni inayofanana kila kitu na wimbo ndiyo maana wengi huwa hawazielewi video za Ali Kiba! Taratibu tutafika lakini

   Delete
 12. Dogo anajua sana huyo Diamond na harmonize lazima wakae, wimbo nzuri lakini video hajinifurahisha uwasilia sana tofauti kabisa na kile nilichotarajia ila naamini akija tena tutazidi kupata kitu kizuri

  ReplyDelete
 13. Jamani kweli nimeamini sasa kuwa mtaa wa pili hali si shwari. Kweli tumefulia. Ila naona yeye tu anacomplicate maisha. Kwa nini asitulie tu akatafakari cha kufanya kuliko kushinda kupiga mipicha na mitandaoni??? Kakazana na mipicha tuuuuu... picha zenyewe zinajisemea mengi.. kuwa hali si shwari. Kwa nini dada asitulie akatafakari kwa kituo kuhusu maisha yake. Halafu suluhisho si kupata bwana mwingine 'mwenye hela zake'. Suluhisho ni yeye kujishughulisha. Dunia imebadilika sana. Pesa za burebure kuzipata dunia ya sasa ni bahati sana. Pia akubali kujishusha tu na kuanza upya. Ingekuwa mimi wala nisingekuwa na pressure saa hizi. Tatizo ni kupenda umjini sasa hajui ataanzia wapi. Narudia tena, kukaa mitandaoni ni kujichoresha tu. Na umri nao umeshawatupa mkono wadada wa mjini. Mitandaoni waachieni watoto. Mnatia kinyaa.. kote kote mpo.. si instagram, si snapchat. Mnapigana vikumbo na watoto wa vyuo. Na mnaiga mapozi ya watoto wa vyuo, ili mradi na nyie mmo. (Hii message ya mwisho ni kwa wadada wote - including hao anaogombana nao kila siku).

  ReplyDelete
 14. Wasafi wazidishe ubunifu siyo kuigana tu ukiangalia style zao za kucheza zinafanana katika nyimbo zao na hata baadhi ya nyimbo zao zinafanana ukisikiliza hello ya D na bado zinafanana. Huu wimbo wa kwetu mzuri naupenda, video average! Halafu video si lazima iendane 100% na maneno ya wimbo

  ReplyDelete
 15. Tuletee ubuyu wa kakake diamond kubaka au kusingiziwa kambaka huyo mdada huko Sweden. Kweli njaa siku hizi imechachamaa. Mtu anapewa ofa ya dolla elfu sita ili yaishe yeye hataki anataka dolla elfu kumi na upuuzi duuuu! Matokeo yake kakosa vyote. Kwa wanao mjua huyo mdada sijui mkenya au mbongo em tiririkeni basi Global wamedokeza dokeza tu. Sintah em peruzi peruzi basi.

  ReplyDelete
 16. Wasafi wazidishe ubunifu siyo kuigana tu ukiangalia style zao za kucheza zinafanana katika nyimbo zao na hata baadhi ya nyimbo zao zinafanana ukisikiliza hello ya D na bado zinafanana. Huu wimbo wa kwetu mzuri naupenda, video average! Halafu video si lazima iendane 100% na maneno ya wimbo

  ReplyDelete
 17. Hilo povu vepee? Kuna ambao hawana maisha kama hayo ktk familia zao. Kama huamini ndo basi tena. Ha ha ha

  ReplyDelete
  Replies
  1. nyie ndo mavi kweli hivyo mnaona poa watu kuendelea kuishi kwenye maeneo duni kama hayo utadhani enzi za mawe, mngekuwa na exposure hata kiduchu msingekuja hapa kuandika utumbo wenu humu no wonder akili zenu zimeganda mavi vile deile oxygen yenu mnayovuta imechanganyika na mauharo yanayopita mbele ya nyumba zenu.

   Delete
 18. Kwa jinsi hii dar es salaam ilivyo chafu kila pembe mnahadaika na majina ya maeneo lakini mji huu ni mchafu hatari kila kona.Na mvua hivi tunaishi kama tupo kwenye zizi la ng'ombe.

  ReplyDelete