asas

asas

sintah

sintah

MKU WA WILAYA YA IRINGA KATIKA UBORA WAKE WA HALI YA JUU

mama Nyabooo

weka na ka pilipili kidogo upate utamu kunoga

ngachoka

DC kazini.....


weka caption hii pic plzzzzmama na baba shambani

hapa ni kwa mzee wa Loliondo ama?

mazitooo


Daaah wajameni hii kasi ya Mh Raisi mbona watu watakoma?? khaaaa mtu unafanya hivi na unakaa kabisa na ku pose kwa picture ili Uncle Magu aone, unajua kitendo hiki nakifananisha na wale wanaoenda kutoa misaada kwa watoto yatima nk na kutupostia mitandao, hata kwenye maandiko ya Mungu yanasema hakikisha ukitoa na mkono wa kulia hata mkono  wa kushoto usijue, sasa hapa Mh DC anataka tuone ama Mh JPM ajue anafanya kazi, Kasesela stopppp Mh Raisi ameshakuona inatoshaaa sasa baba..... wabeja eeeeh. but this is too much wajameni khaaaaa..... everyone wants to be noticed..

Leo naomba wananchi na raia wema wa Tz tujadili hili swala kwani ni lazima Mh DC afanye haya mambo, kama ingekuwa pic moja ama mbili walau ningesema but kila siku na new thing wajameni miee ngachoka, kama una la kusema tupia katika comment, leo tupo kijamii zaidi. 

11 comments:

 1. Huyu Richard Kasesela naye bishoo tu. Anapenda sana sifa tena hana akili hata kidogo. Alikuwa amepania sana kupata walau madaraka Fulani kwenye serikali, sasa mtu mzima na elimua aliyo naye kaambulia ukuu wa wilaya, na lenyewe linaona sawa tu linachekelea. Mr. Misifa, mimi wala hanisisimui hata chembe. Anaboa.

  ReplyDelete
  Replies
  1. sasa hapo sifa zipo wapi?au hujui maaana na public figure?ukiwa public figure maana yake chochote utakachokifanya kinaangaliwa na watu ,mimi sioni sababu ya kuwasema hawa viongozi maana na nyie watanzania bila kuonyeshwa kwa picha mnakuwaga na majungu sana mara ooo hatujaona la maana alilofanya,mkionyeshwa midomo juu tena,sasa pia kama elimu yake ndio asifanye anavhofanya,unadhani kila mtu anasoma ili apate kazi sehemu kubwa?wengi tunasoma kuendeleza ubongo wetu tuwe na maarifa mengi na sivyo muwazavyo nyie
   na wewe sinta acha umbea na uchochozi sijaona kibaya cha huyo baba alichofanya hata wewe kafanye yako na upige picha,wengine wakiona watu kwenye picha wanatoa misada ndio nawao wanakumbuka kuwa kuna utoaji so sio kila mtu anafanya aonekane,dhamira ya mtu anajua Mungu peke yake so kitulizo

   Delete
 2. Guys huwezi jua kichwani kwake anafikiri nini, hizi ni fikra tu za wewe na mimi.pengine yeye yuko pure.jamani wananchi acheni mambo ya kukosoa kosoa hovyo.let them do what the want or think.hata kama na PHD na anaenjoy huwo u DC let him be.

  ReplyDelete
 3. Hapa comments zikifika kumi napiga makofi kwa matako. Halafu ukiletwa umbea watu wanajidai kumsuta Sintah eti mfatiliaji wa mambo ya watu. Haya jitopic hili changieni sasa si mnapenda mambo ya maendeleo. Thubutuu!!!

  ReplyDelete
 4. mbona akifanya makonda mnakaa kimnya? muacheni atafute sifa kwa raha zake kunya anye kuku akinya bata kaarisha

  ReplyDelete
 5. hakuna bhana kasesela hajafanya iliaonekane hiyo si kawaida na ni ajabu kuona mtu wa nafasi kama yake kufanya hvy so lazima watu wapige picha coz sio kawaida watanzania acheni majungu na habari za uchochezi
  kwanza we sinta kilaza kweli kasesela kashatolea ufafanuzi wa hizo picha mavi kunukaa wew

  ReplyDelete
 6. My Godness Sinta nimekupenda leo umeongea kitu ambacho ni cha maana sana kwenye jamii yetu. Kwa kweli he needs to stop. It is very irritating seeing someone taking those kind of pictures so that he can be noticed. On the other side mheshimiwa raise needs to discourage those acts. Hata wale wanaoenda kutoa misaada whether mikubwa au midogo hakuna haja ya kujionyesha. Siku chache zilizopita nimeona DAWASCO wameenda kutoa misaada my Godness walihitaji wasaidiwe wao kwanza kwa kupewa ushauri kwamba si lazima wajionyeshe.

  ReplyDelete
 7. Ndivyo alivyo na sio kwa kujionyesha,hii ni type ya akina Makonda,Mchemba na wengine.

  ReplyDelete
 8. Mwanadiplomasia mwenzio tehe tehe

  ReplyDelete
 9. Lipi jema mbona inaonekana kama vile kila kitu,ni kibaya na kila mtu ni mbaya,mnataka nini?kifanywe na nani?mnachosha!!

  ReplyDelete
 10. Mi hilo Hindi nikiliona tu nalitamaniiii daaah. Ila jamaa mchapakazi hatari.

  ReplyDelete