asas

asas

sintah

sintah

Nze NDI NDI NDI. ...BY LADY JAYDEE


Huu mchezo hauhitaji hasira, ni kitu taratibu ila message inakufikia, haaa hata mie nilisahau kwamba chizi huwa haponi daaah nimejivua kikomandooo, jide kwa mashairi, ila jide mimi nataka siku ufanye concert uanze na zile nyimbo zako za album ya binti mbona nitacheza na kuruka ruka....

10 comments:

 1. mimi binafsi huu wimbo nimesikia tu bits ila maneno sijaskia hata neno moja. sijui anatumia lugha gani huyu mtu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nenda ukachekiwe masikio yako yana shida gani

   Delete
 2. Hatari sana ni nze ndi ndi ndi kaujumbe mazuri jide umetisha

  ReplyDelete
 3. Jide anajielewa sio awo Malaya wa vilabuni washakunywa viloba hapo hatari awaelewi kitu

  ReplyDelete
 4. NAMKUBALI SANA JIDE,NYIMBO ZAKE NI NOOMA, KWELI MALKIA WA BONGOFLEVA KARUDI

  ReplyDelete
 5. HII NYIMBO NI DONGO KWA X WAKE HABASH.

  ReplyDelete
 6. ninaupenda sana big up jide.sio chura

  ReplyDelete
 7. Sunura....Hawa ndio wenye hiyo kazi....wacha kujizalilisha, kuimba ujui umebaki
  Kujizalilisha , maana ujazalilisha hao chura wako umezalilisha mwenyewe....
  Snura na Shilole...kuimba sio fani yenu....
  Well done!! Lady jd.

  ReplyDelete