asas

asas

sintah

sintah

RAIS JPM AREJEA NCHINI......

Rais JPM akikaribishwa nyumbani na PM na viongozi wengine

Rais JPM amerejea Nchini kutokea Nchini Rwanda na hii ni safari yake ya kwanza toka ashike madaraka...... Rais kipenzi cha wengi, Rais anayekazania na kutetea maslahi ya wanyonge na huku akitaka haki sawa, hataki matajiri wajione superior kwa pesa za uwizi, Raisi anayependa kusiwe na gap kubwa kati ya matajiri na masikini, Raisi aliyemaliza kazi za mission town hapa mujini sasa hivi kama huna kazi na hauli n'gooo, no longo longo mujini...... HAPA KAZI TUUU

4 comments:

 1. Mwaketu umenifurahisha sana. Hasa hapo kwa mission town. Walizoea sana.. Umission town na kupush unga tu ndio zilikuwa kazi mjini. Halafu usiku sasa unawakoma humo kwenye makumbi ya starehe. Wengine siku mbili unamkuta anasukuma BMW mara Range Rover (unajiuliza huyu ana kazi gani, hupati jibu)!!!! Vijana wameharibika weeee, wengine mashoga, wengine mateja.. JPM tunakuombea kwa kweli. Hali ilikuwa mbaya sana. Sasa wote tufanye kazi, tena za halali.

  ReplyDelete
 2. Nimempenda na kumkubali ghafla.
  Mungu akupe maisha marefu JPJM.

  ReplyDelete
 3. WALE WA KUTEGEMEA MIFUKO YA VI-BOSILE WANANUNAJE SASA,MWEEEEEEE

  ReplyDelete
 4. Nakupendaje baba yangu..Roho yangu..Viva Magufuli Viva Baba

  ReplyDelete