asas

asas

sintah

sintah

RAIS MAGUFULI AFUTA SHEREHE ZA MUUNGANO MWAKA HUU.....

Rais JPM
Taarifa ktk Ikulu juu ya kufutwa maadhimisho hayo.....

7 comments:

 1. Safi sana JPM ukiendelea ivyo tutafika mbali

  ReplyDelete
 2. Asante Rais wetu. CCM walizoea kula kula sana, sasa wakale makwao. uwiiiiiiiiii nafwa.

  ReplyDelete
 3. ASANTE,NA MWENGE HATUTAKI.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mibio ya mwenge ndo iliyotutoa wenzio vijijini na kutuingiza jijini dalisalama. Sasa unataka ukae pekeyako jijini? aaah ubaya huo! mwenge huo mwenge mbio mbio mwenge tunaukimbiza mbio mbio mpaka makao makuu mbio mbio makao makuu Dodoma mbio mbio!!mbio za mwenge ni muhimu bana lazima tumuenzi Nyerere baba mpendwa..Nyerere mwana mapinduzi eee!

   Delete
  2. Jamani wewe uliyesema mwenge umekutoa kijijini umenichekesha. Na wimbo ukauandika. Nilishasahau huu wimbo wa mwenge. Umetishaa. Pata soda kwa Mangi nitalipa.

   Delete
 4. Kama kiongozi wa nchi tu,tumempata tuseme mengine,huyu J.P.M kama kashushwa vile,big up Mr Presdaaa.

  ReplyDelete