asas

asas

sintah

sintah

R.I.P PAPA WEMBA


Mwanamuziki wa siku nyingi mwenye asili kutoka Congo amefariki jana akiwa kukwaani Ivory Coast, enyi walimwengu tupendane maana kila siku unasikia mapya fulani ameondoka, hebu fikiria mtu yupo jukwaani anaimba na hapohapo Israel anamjia, tunatembea na kifo ndugu zangu tumrudie muumba wetu....

5 comments:

 1. R. I. P Papa Wemba kweli atujui cku wala SAA tuishi kwa upendo tuishi tukikumbuka duniani tunapita tusijisahau

  ReplyDelete
 2. Mmmm pole yake nimependa nay wa mitego kauvaa uwanaume angekuwa mwanaume mwingine angefanya sherehe tena wanaume wetu wa kibongo wanapenda akikuacha uchakae matatizo yote yawe yako nay utabarikiwa sana Na ikiwezekana mpe mtaji afanye kazi

  ReplyDelete
 3. "KUKWAANI" ndio nini sasa uwe unaedit kabla ya kupublish we ni msomi makosa madogomadogo yatakutia dosari.

  ReplyDelete
 4. let him RIP kwakweli tupendane na tusameheane

  ReplyDelete